Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha![]()
hazili mafuta eti zinanusa kama pakaa![]()
Waingereza wana msemo wao mmoja "imitation is the sincerest form of flattery".Unamkaribisha mtu ndani kwako anaanza tv nzuri umenunua wapi na mimi nikainunue kochi zuri na mimi lazima nilinunue, mwingine utasikia nguo hii nzuri umenunua wapi na mimi niinunue. Hii pia iko kwenye magari ndio maana utaona ikiingia brevis kila mtu brevis, ikija crown kila mtu crown sasa hivi vanguard si wanawake si wanaume kila kona vanguard.
Tatizo nini ushamba, hatuna taste au hatuna ubunifu au uvivu wa kufikiri?
Usiof..subiri jiwe ang'atuke tu 2020,hali itarud kuwa kama zamani utapata mamiiNa mimi nichukulie hiyo Premio
Duh....Waingereza wana msemo wao mmoja "imitation is the sincerest formof flattery".
Mimi nina tatizo tofauti kidogo na wewe, sitaki kuonekana naiga.
Halafu jirani zangu huwa kama wananijua natakakufanya nini.
Kuna wakati nilikuwa nataka kununua Range Rover Evoque,nikasema Evoque imekaa kama mtu mwenye kibiongo, ninunue Sport. He, ile najikusanya kusanaya na kuangalia reviews, jirani yangu mmoja si akanunua Range Rover Sport!
Nikasemasinunui tena, nikinunua itakuwa kama naiga.
Akahama.
Akahamia mwingine.
Akawa na Mercedes Benz SUV.
Nikasema mimi nitanunua ya tofauti, Sedan.
Sijakaa vizuri boyfriend wake akawa anakuja na Mercedes Benz AMG 65.
Nikasemaisiwe tabu, nakwenda kivingine,tusifanane kabisa.
Nikaishia na BMW M5.
Sasa hivi naona kuna jamaa mwingine naye ana BMW M5, najikusanya niende na Porsche Macan maana naona ndiyo gari ambayo mtaani hakuna.
Lol!Ukitaka wakomesha nunua Kitu asichoweza nunua
Kama kochi nunua za Danube, TV nunua ya milioni 10
Gari nunua Brand New
si tunampiga chini chamani?Kwani mwisho si 2025?
Ktk nyumba ndo nakataa kbsaa sitataka kuiga kbsaa....yaani zinafanana hadi kero...shida nyumba sio nguo kuwa itaisha yaani kila siku unaiona jinsi inavyofanana na ya Joni au Ally. Mbaya kuna wale watoto watukutu wakiingia tuu wanasema mama hii kama nyumba yetu unatamani umzame kibao cha kama kile cha mwinyi lakini unakumbuka uliomba ramani kwa baba yakeMnaweza kutumia material sawa na nyumba zisifanane. Usawa ninaouzungumzia ni ule mtu anachukua ramani yako anaenda kujenga vile vile kama wewe.
Hadi mtoto anagundua nyumba kama yao!Ktk nyumba ndo nakataa kbsaa sitataka kuiga kbsaa....yaani zinafanana hadi kero...shida nyumba sio nguo kuwa itaisha yaani kila siku unaiona jinsi inavyofanana na ya Joni au Ally. Mbaya kuna wale watoto watukutu wakiingia tuu wanasema mama hii kama nyumba yetu unatamani umzame kibao cha kama kile cha mwinyi lakini unakumbuka uliomba ramani kwa baba yake
Kila mwanaume anakuwa na hizi nguo...nimeacha kuvaa shati jeupe na suruali nyeusi kwa pamoja siku hizivitu ambavyo nilishakubali kuwa salesale na watu ni shati jeupe na suruali nyeusi tu
AhahahahahhahaWasukuma wametuambukiza hii tabia tofauti ni kwamba wao huenda dukani na kusema "Nataka shati kama la PRONDO" . Anajisahau kuwa PRONDO wanamjua mtaani kwao tu
hata katika biashara ukianzisha kitu kila mtu naye anataka kufanya.usitulaumu akili zetu kama feni zilizo simama wanataka ujaribu uwe chambo wakiona kizuri nao wana jaribu wakisikia kibaya kutoka kwako nao wanakalia kukuchekaUnamkaribisha mtu ndani kwako anaanza tv nzuri umenunua wapi na mimi nikainunue kochi zuri na mimi lazima nilinunue, mwingine utasikia nguo hii nzuri umenunua wapi na mimi niinunue. Hii pia iko kwenye magari ndio maana utaona ikiingia brevis kila mtu brevis, ikija crown kila mtu crown sasa hivi vanguard si wanawake si wanaume kila kona vanguard.
Tatizo nini ushamba, hatuna taste au hatuna ubunifu au uvivu wa kufikiri?
Waingereza wana msemo wao mmoja "imitation is the sincerest form of flattery".
Mimi nina tatizo tofauti kidogo na wewe, sitaki kuonekana naiga.
Halafu jirani zangu huwa kama wananijua nataka kufanya nini.
Kuna wakati nilikuwa nataka kununua Range Rover Evoque,nikasema Evoque imekaa kama mtu mwenye kibiongo, ninunue Sport. He, ile najikusanya kusanya na kuangalia reviews, jirani yangu mmoja si akanunua Range Rover Sport!
Nikasem asinunui tena, nikinunua itakuwa kama naiga.
Akahama.
Akahamia mwingine.
Akawa na Mercedes Benz SUV.
Nikasema mimi nitanunua ya tofauti, sedan.
Sijakaa vizuri boyfriend wake akawa anakuja na Mercedes Benz AMG 65.
Nikasema isiwe tabu, nakwenda kivingine, tusifanane kabisa.
Nikaishia na BMW X5.
Sasa hivi naona kuna jamaa mwingine naye ana BMW X5, najikusanya niende na Porsche Macan maana naona ndiyo gari ambayo mtaani hakuna.