Kwanini tunapokuwa Safarini hasa kwenda Mikoani Abiria wa Kiume na wa Kike huwa hatuoneani Aibu tunapojisaidia Vichakani?

Una utani na kina poti siyo!

Pigia mstari. Na ukipanda Gari na Waha wengi tegemeeni Safari yenu Kuchelewa Kufika kwa muda mlioupanga kwani kama kuna Abiria ambao huwa wanapenda sana Kujisaidia Haja Kubwa ( Kunya Kunya ) hovyo wawapo njiani basi ni wao Waha.
 
Kwani bado watu wanachimba dawa vichakani
 
Pigia mstari. Na ukipanda Gari na Waha wengi tegemeeni Safari yenu Kuchelewa Kufika kwa muda mlioupanga kwani kama kuna Abiria ambao huwa wanapenda sana Kujisaidia Haja Kubwa ( Kunya Kunya ) hovyo wawapo njiani basi ni wao Waha.
Kwahiyo wewe ni muhaya wa wapi!
 
Pigia mstari. Na ukipanda Gari na Waha wengi tegemeeni Safari yenu Kuchelewa Kufika kwa muda mlioupanga kwani kama kuna Abiria ambao huwa wanapenda sana Kujisaidia Haja Kubwa ( Kunya Kunya ) hovyo wawapo njiani basi ni wao Waha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kuwa hatujuani tumekutana tu.
 
Hii ni fursa kwa wawekezaji kuwekeza kwenye high ways. Kujenga Break points ziwe na petrol pumps, vyoo vya wanawake na wanaume, migahawa parking spaces ikiwezekana na bed and breakfast.

Uwekezaji huu utazalisha ajira nyingi sana
 
Kimsingi hakuna mbadala kwa hiyo unalazimika kujisaidia. Tofauti na hivyo utaaribu hali ya hewa ndani ya gari
 
Mkuu unawaza mambo mengi mpaka unakuja na nyuzi hizi?
 
Hii ni fursa kwa wawekezaji kuwekeza kwenye high way. Kujenga Break points ziwe na petrol pumps, vyoo vya wanawake na wanaume, migahawa parking spaces ikiwezekana na bed and breakfast.

Uwekezaji huu utazalisha ajira nyingi sana

Una Akili sana ( very Intelligent ) na najua unajua kabisa kuwa nakupenda japo naweza kuwa leo nimevaa Kanzu nyingine ( tofauti ) ila Mimi ni Shekhe ni yule yule tu uliyemzoea, lakini unaniudhi tu kwakua upo CHADEMA badala ya kuja huku Kwetu CCM. Bado sijachoka Kukushawishi na najua utahamia tu CCM muda si mrefu.
 
We jamaa wewe! nishawahi kulazwa pale mwananyamala aisee, acha tuu, ukiumwa akili kama inapotea kidogo, wale manesi wanakuja wanashika dushelele, alafu wala halisimami! limelala tu! shuba---keengemiti!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwa kuuliza huu ujinga huwezi kuwa ata na IQ sawa na graduate wa mapambo apo UDSM
 
kwa akili za ku tambua kijambo cha mtu hiyo ni alama kuwa wewe ni pumba na punga mixer mchele kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…