GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Una utani na kina poti siyo!
Pigia mstari. Na ukipanda Gari na Waha wengi tegemeeni Safari yenu Kuchelewa Kufika kwa muda mlioupanga kwani kama kuna Abiria ambao huwa wanapenda sana Kujisaidia Haja Kubwa ( Kunya Kunya ) hovyo wawapo njiani basi ni wao Waha.