Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Si kejeli mkuu, not everything is as it seems. CHADEMA haiwezi kufa kwa sababu ya huu uchaguzi.Umeiandika kama kejeli fulani hivi...🤔🙇🏿♂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kejeli mkuu, not everything is as it seems. CHADEMA haiwezi kufa kwa sababu ya huu uchaguzi.Umeiandika kama kejeli fulani hivi...🤔🙇🏿♂
Hakitakufa kwa maana ya kufutwa kwa msajili bali amini amini amini nakuambia huu uchaguzi akipita Mbowe chama kitakukoma kuwa chama kikuu cha upinzani .Si kejeli mkuu, not everything is as it seems. CHADEMA haiwezi kufa kwa sababu ya huu uchaguzi.
Sasa Lisu ni tofauti kabisa , kesi za mchongo sio rahisi kufanikiwa kwake kwa sababu hafanyi jambo lolote nje ya katiba na sheria.Hakitakufa kwa maana ya kufutwa kwa msajili bali amini amini amini nakuambia huu uchaguzi akipita Mbowe chama kitakukoma kuwa chama kikuu cha upinzani .
Kuna watu waoga wanaomhofia Tundu Lisu kuwe ataleta vurugu ,kwa kuhamasisha maandamano ndio wanaotumia fedha nyingi sana kuhakikisha Lisu hapiti. Ni wazi moja ya makubaliano na Mbowe ni kuendesha siasa za kistaarabu na yeye apate manufaa kibiashara na asifunguliwe makesi ya mchongo .
Sasa Lisu ni tofauti kabisa , kesi za mchongo sio rahisi kufanikiwa kwake kwa sababu hafanyi jambo lolote nje ya katiba na sheria.
Tundu Lisu Ana moyo wa haki .Tundu Lisu ni muwazi , muadilifu na anaichukia Rushwa kwele kweli .
Kwa uadilifu wa Lisu ni wazi kuwa ana kibali mbele za Mungu kwa ajili ya kuijenga Tanganyika yenye haki katikati ya rasilimali nyingi alizoziumba Mungu kabla ya Kuwepo kwa CCM na Chadema . Tundu Lisu amesimama na wananchi katika kupigania maisha ya wengi tofauti na Mbowe kwa sasa anataka amrudishe Samia MADARAKANI ili aendelee kupata asali nyingi na 2029 ndio akifanya kuwa anangatuka huku akiwa amekiacha chama kikiwa hoi .
Kwa hali ya kawaida ni wazi kuwa Mbowe akishindwa atapoteza heshima yake yote na atadhalilika sana maana kwenye kampeni kila uovu wake utawekwa wazi maana kwa Muda wa miaka 21 aliyokaa kuna mabaya aliyoyafanya . Sasa kujiingiza kwenye kampeni kubwa kama hizi za mtu mwenye kundi kubwa ndani na nje ya Chama.
Ndio maana kwa miaka yote alikua anawafukuza waliokua na nguvu kubwa ndani ya Chama kuepuka kushushwa kwa heshima yake .
Kwa hali tu ya kawaida katika kujenga mfumo wa kidemokrasia huwezi kung'ang'ania kwenye kiti kwa miaka 21 halafu unapigania demokrasi hata mbele za Mungu huo ni unafiki na udanganyifu ndio maana Mbowe hana kibali kiroho zaidi ya kutumia fedha kama Mwanamaridhiano feki mwenzake anavyotumia pesa nyingi Kuelekea 2025 yote ni kwa sababu ya kukosa moral omauthority katika jamii. Dunia inaongozwa na Mungu /miungu ndio maana pakatokea watu waliko tayari kupoteza uhai ili kujenga Taifa huru lenye haki kwa watu wote .
Kama unakumbuka kipindi kile Mbowe yupo gerezani Chadema ndio ilianza kufanya siasa za uhakika na wanawake walikuwa majasiri sana kumkabili JPM kuliko uelekeo wa chama ukawa mzuri zaidi .
Mpaka sasa nachelea kumshawishi Lisu ajitoe amwachie Mbowe chama chake maana sio salama kugombea na mtu asiye na imani na mtu yeyote ndani ya chama kama wao walivyowamini kwa miaka 21.
Ili chuma kiwe imara ni lazima kipite kwenye moto mkali, kinachohitajika ni busara na uvumilivu baada ya uchaguzi, rejea kauli ya Heche.Haitakufa kamwe lakini inafanyiwa kila aina ya ubaya ili ibaki kama CUF , NCCR n the like!
Sasa tutamuonaje kama yuko gizaniCHADEMA inachezewa na walewale wajulikanao wasiojulikana🤬🥵 . Na ili kuharibu mambo zaidi wameamua kuside na upande ambao wanaona sio radical
Na ni wazi huo upande umeamua kushiriki hii dhambi.
Bila kujua bomu wanalotengeneza wakiimaliza CHADEMA watageukiana na kugeukana
Kwasasa ni wamoja kwakuwa wanaisulubu CHADEMA.
Lakini kama wangejua wangeiacha CHADEMA kwa afya ya ustawi wa Tanganyika. Kwenye maisha kila kitu kina pande mbili zinazotoshana NGUVU.
Ukiona kitu kinachotakiwa kuwa na pande mbili lakini upande mmoja ukawa dhaifu .. Huo ni ulemavu na hilo ni tatizo! Na tatizo litakuja kudhihirika upande wenye nguvu utakapolemewa na kuzidiwa
TANGANYIKA Inatengenezewa ulemavu wenye hasara kubwa mbeleni😭
Haha, binadamu wengi wakiwa tungi huwa wanasema ukweli, yaliyoko moyoni siri za moyoni.Mwamba kaweka wazi upande anao utumikia. Wenye akili tumemuelewa!
Utazibaje nyufa kama unamuona Mbowe na wenzake kuwa ni takatuka?Naomba uiangalie CCM kwa karibu zaidi; na baada ya kufanya hivyo, bila ya kujipindisha akili, uje tena hapa ueleze jinsi "mfumo" unao uabudu huko unavyo fanya kazi.
Hiyo "taasisi" inayo ishikiria CCM unaiona?
Sasa utueleze jinsi gani CHADEMA inavyo weza kuinyakuwa taasisi hiyo hiyo.
Mimi nitakwambia bila ya kupepesa macho, wala kutikisa masikio, kwamba taasisi pekee yenye maana ni ya umma wa waTanzania, basi. Hakuna taasisi nyingine zaidi ya hapo.
Nawasihi sana CHADEMA, watakapo maliza kukisafisha chama chao na kuondoa hizi takataka za akina Mbowe, kazi yao kubwa iwe ni kuijenga hii taasisi muhimu na kuipa imani juu yao. Wananchi ni muhimu wakiamini hiki chama kuleta mabadiliko katika maisha yao.
Viongozi wa chini hawaliwi, lakini hata vitendea kazi hawaewi!Wametuthibitishia kwamba wanahitaji dodoki ama fagio la chuma, kumbe kauli zao hazilingani na nafsi zao, baada ya kujisafisha, waje kwetu watueleze, wamejipangaje, (what is the way forward)
Huwezi kuhuburi demokrasia wakati huohuo huna uongozi wa kidemokrasia
You are crying for democracy, but you do not Practice it in your daily life, (with your political Party)
Hitimisho Chadema ni chama kikubwa watengenezo muundo wa kuwalipa watendaji wa Kwenye chama nchi nzima badala ya kujitolea muda wote, kumbe viongozi wa ngazi za juu wanalipwa mishahara
Hiyo ni sifa waliyo jitengenezea wenyewe, na kuidhihirisha waziwazi kwa umma wa waTanzania.Utazibaje nyufa kama unamuona Mbowe na wenzake kuwa ni takatuka?
Amandla...
Chieembe unaiteketeza Tanganyika wewe na rafiki zakoLuca,Choice na kundi lenu.Mambo ya falsafa yaliisha na Plato na Aristote
Kwaheri. Nakutakia Krismasi na Mwaka Mpya mwema.Hiyo ni sifa waliyo jitengenezea wenyewe, na kuidhihirisha waziwazi kwa umma wa waTanzania.
Sifa ya "taka" ni kuzolewa tu na kuwekwa mahala ake isiharibu mazingira, basi.
Sioni hizi "taka" zikiwa na manufaa ya "kuziba nyufa" tena ndani ya chama. Ni aidha, taka zizolewe ziwekwe embeni ili chama kishamiri, au "taka" ziachwe ziendelee kuenea ndani ya chama na kuzidi kukichafua zaidi.
Hakuna tena njia ya kuwa amoja ndani ya chama kimoja hicho hicho.
Mada ya Tanganyika ni tofauti, ilete ntachangia, tunaihitaji Tanganyika, and kama zanzibar was smart, tulitakiwa tuwe koloni/shamba lao LA bibiChieembe unaiteketeza Tanganyika wewe na rafiki zakoLuca,Choice na kundi lenu.
Heri ya Mwaka ya Mwaka Mya MyaKwaheri. Nakutakia Krismasi na Mwaka Mpya mwema.
Amandla..
Same to you.Kwaheri. Nakutakia Krismasi na Mwaka Mpya mwema.
Amandla..
Mshana Jr wewe timu gani? Mi naona bora mbowe pamoja na uzero wake ila ana hekima kidogo pamoja na ujinga wake wa kusema eti Dkt Magufuli alikuwa muuaji hahaha hivi mzee kibao kafa kipindi cha Dkt Magufuli? Yaani hilo li NGO la kijinga sana tena la kijinga sana limejaa wajinga wajinga wasiotambua maana ya utawala boraCHADEMA inachezewa na walewale wajulikanao wasiojulikana🤬🥵 . Na ili kuharibu mambo zaidi wameamua kuside na upande ambao wanaona sio radical
Na ni wazi huo upande umeamua kushiriki hii dhambi.
Bila kujua bomu wanalotengeneza wakiimaliza CHADEMA watageukiana na kugeukana
Kwasasa ni wamoja kwakuwa wanaisulubu CHADEMA.
Lakini kama wangejua wangeiacha CHADEMA kwa afya ya ustawi wa Tanganyika. Kwenye maisha kila kitu kina pande mbili zinazotoshana NGUVU.
Ukiona kitu kinachotakiwa kuwa na pande mbili lakini upande mmoja ukawa dhaifu .. Huo ni ulemavu na hilo ni tatizo! Na tatizo litakuja kudhihirika upande wenye nguvu utakapolemewa na kuzidiwa
TANGANYIKA Inatengenezewa ulemavu wenye hasara kubwa mbeleni😭
Kwani sasa ni nini. Unataka iweje ndipo utambue kuwa Samia yuko 'smart'tunaihitaji Tanganyika, and kama zanzibar was smart, tulitakiwa tuwe koloni/shamba lao LA bibi
Imebidi nicheke; maana hiyo ya "utawala bora", unao tajwa katika sentensi moja na Magufuli.tena la kijinga sana limejaa wajinga wajinga wasiotambua maana ya utawala bora
Samaki hawezi kuzuia maji ya mto yasitembeeKwani sasa ni nini. Unataka iweje ndipo utambue kuwa Samia yuko 'smart'
Duh. Unaona sasa u-'smart' wa Samia ulivyo fikia. Hata vimaneno neno vyake umekuwa ndiyo njia sahihi ya kujielezaSamaki hawezi kuzuia maji ya mto yasitembee