mnafanya kosa kubwa sana kuabudu watu badala ya kujenga taasisi, mwisho wa tundu lisu au mbowe haupaswi kuwa mwisho wa chadema kama chama, chama siyo mtu mmoja or haipaswi kuwa hivyo atleast, chadema inapaswa iwepo long after hata hao akina tundu lisu na mbowe wasipokuwepo.
kwa maoni yangu mnawekeza sana matumaini na mategemeo kwa binadamu ambao siajabu kiuhalisia hata hamuwajui vizuri matokeo yake ndiyo disappointments kila siku, mtegemeeni Mungu na siyo sijui tundu lisu au mbowe kwa maana wote ni binadamu wenye mapungufu …