Kwanini tunashindwa kumuona adui aliye gizani?

Si kejeli mkuu, not everything is as it seems. CHADEMA haiwezi kufa kwa sababu ya huu uchaguzi.
Hakitakufa kwa maana ya kufutwa kwa msajili bali amini amini amini nakuambia huu uchaguzi akipita Mbowe chama kitakukoma kuwa chama kikuu cha upinzani .

Kuna watu waoga wanaomhofia Tundu Lisu kuwe ataleta vurugu ,kwa kuhamasisha maandamano ndio wanaotumia fedha nyingi sana kuhakikisha Lisu hapiti. Ni wazi moja ya makubaliano na Mbowe ni kuendesha siasa za kistaarabu na yeye apate manufaa kibiashara na asifunguliwe makesi ya mchongo .

Sasa Lisu ni tofauti kabisa , kesi za mchongo sio rahisi kufanikiwa kwake kwa sababu hafanyi jambo lolote nje ya katiba na sheria.
Tundu Lisu Ana moyo wa haki .Tundu Lisu ni muwazi , muadilifu na anaichukia Rushwa kwele kweli .
Kwa uadilifu wa Lisu ni wazi kuwa ana kibali mbele za Mungu kwa ajili ya kuijenga Tanganyika yenye haki katikati ya rasilimali nyingi alizoziumba Mungu kabla ya Kuwepo kwa CCM na Chadema . Tundu Lisu amesimama na wananchi katika kupigania maisha ya wengi tofauti na Mbowe kwa sasa anataka amrudishe Samia MADARAKANI ili aendelee kupata asali nyingi na 2029 ndio akifanya kuwa anangatuka huku akiwa amekiacha chama kikiwa hoi .

Kwa hali ya kawaida ni wazi kuwa Mbowe akishindwa atapoteza heshima yake yote na atadhalilika sana maana kwenye kampeni kila uovu wake utawekwa wazi maana kwa Muda wa miaka 21 aliyokaa kuna mabaya aliyoyafanya . Sasa kujiingiza kwenye kampeni kubwa kama hizi za mtu mwenye kundi kubwa ndani na nje ya Chama.
Ndio maana kwa miaka yote alikua anawafukuza waliokua na nguvu kubwa ndani ya Chama kuepuka kushushwa kwa heshima yake .

Kwa hali tu ya kawaida katika kujenga mfumo wa kidemokrasia huwezi kung'ang'ania kwenye kiti kwa miaka 21 halafu unapigania demokrasi hata mbele za Mungu huo ni unafiki na udanganyifu ndio maana Mbowe hana kibali kiroho zaidi ya kutumia fedha kama Mwanamaridhiano feki mwenzake anavyotumia pesa nyingi Kuelekea 2025 yote ni kwa sababu ya kukosa moral omauthority katika jamii. Dunia inaongozwa na Mungu /miungu ndio maana pakatokea watu waliko tayari kupoteza uhai ili kujenga Taifa huru lenye haki kwa watu wote .

Kama unakumbuka kipindi kile Mbowe yupo gerezani Chadema ndio ilianza kufanya siasa za uhakika na wanawake walikuwa majasiri sana kumkabili JPM kuliko uelekeo wa chama ukawa mzuri zaidi .

Mpaka sasa nachelea kumshawishi Lisu ajitoe amwachie Mbowe chama chake maana sio salama kugombea na mtu asiye na imani na mtu yeyote ndani ya chama kama wao walivyowamini kwa miaka 21.
 
Sasa Lisu ni tofauti kabisa , kesi za mchongo sio rahisi kufanikiwa kwake kwa sababu hafanyi jambo lolote nje ya katiba na sheria.
Tundu Lisu Ana moyo wa haki .Tundu Lisu ni muwazi , muadilifu na anaichukia Rushwa kwele kweli .
Kwa uadilifu wa Lisu ni wazi kuwa ana kibali mbele za Mungu kwa ajili ya kuijenga Tanganyika yenye haki katikati ya rasilimali nyingi alizoziumba Mungu kabla ya Kuwepo kwa CCM na Chadema . Tundu Lisu amesimama na wananchi katika kupigania maisha ya wengi📌📌🔨🔨💪🏿💪🏿❤❤❤
 
Si kejeli mkuu, not everything is as it seems. CHADEMA haiwezi kufa kwa sababu ya huu uchaguzi.
Haitakufa kamwe lakini inafanyiwa kila aina ya ubaya ili ibaki kama CUF , NCCR n the like!
 
Haitakufa kamwe lakini inafanyiwa kila aina ya ubaya ili ibaki kama CUF , NCCR n the like!
Ili chuma kiwe imara ni lazima kipite kwenye moto mkali, kinachohitajika ni busara na uvumilivu baada ya uchaguzi, rejea kauli ya Heche.
 
Sasa tutamuonaje kama yuko gizani
 
Utazibaje nyufa kama unamuona Mbowe na wenzake kuwa ni takatuka?

Amandla...
 
Viongozi wa chini hawaliwi, lakini hata vitendea kazi hawaewi!
 
Utazibaje nyufa kama unamuona Mbowe na wenzake kuwa ni takatuka?

Amandla...
Hiyo ni sifa waliyo jitengenezea wenyewe, na kuidhihirisha waziwazi kwa umma wa waTanzania.
Sifa ya "taka" ni kuzolewa tu na kuwekwa mahala ake isiharibu mazingira, basi.

Sioni hizi "taka" zikiwa na manufaa ya "kuziba nyufa" tena ndani ya chama. Ni aidha, taka zizolewe ziwekwe embeni ili chama kishamiri, au "taka" ziachwe ziendelee kuenea ndani ya chama na kuzidi kukichafua zaidi.
Hakuna tena njia ya kuwa amoja ndani ya chama kimoja hicho hicho.
 
Kwaheri. Nakutakia Krismasi na Mwaka Mpya mwema.

Amandla..
 
Chieembe unaiteketeza Tanganyika wewe na rafiki zakoLuca,Choice na kundi lenu.
Mada ya Tanganyika ni tofauti, ilete ntachangia, tunaihitaji Tanganyika, and kama zanzibar was smart, tulitakiwa tuwe koloni/shamba lao LA bibi
 
Mshana Jr wewe timu gani? Mi naona bora mbowe pamoja na uzero wake ila ana hekima kidogo pamoja na ujinga wake wa kusema eti Dkt Magufuli alikuwa muuaji hahaha hivi mzee kibao kafa kipindi cha Dkt Magufuli? Yaani hilo li NGO la kijinga sana tena la kijinga sana limejaa wajinga wajinga wasiotambua maana ya utawala bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…