Kwanini tunashindwa kumuona adui aliye gizani?

kibaraka wa mabwenyenye wa magaharibi ndie hasa aliewapumbaza na kuwagawanya chadema mpaka hivi walivyo. Hawajui mambo ya leo, hawajui mambo ya kesho na wala hawajui wadai nini na wanaelekea wapi, ni giza totoro mbele yao
Chawa mmekosa hoja mmeanza uchawi wa kisiasa
 
Mna nafasi ya kuamua mnaloona linafaa kwa mustakabali wa Chama chenu. Tunachofanya sisi CCM, ni kukoleza moto ili mnyooshane.
 
kibaraka wa mabwenyenye wa magaharibi ndie hasa aliewapumbaza na kuwagawanya chadema mpaka hivi walivyo. Hawajui mambo ya leo, hawajui mambo ya kesho na wala hawajui wadai nini na wanaelekea wapi, ni giza totoro mbele yao
Abdul Mama yako kutwa kwa Waarabu Sio kibaraka ?
 
Tatizo CHADEMA kila mtu ni msemaji. Mngekuwa mnafanya shughuli zenu kama taasisi msingefika huku mlikofika. Haiwezekani kada wa kawaida kama Yericko anajitokeza hadharani na kumtukana makamu mwenyekiti taifa na hafanywi kitu. Kina Ntobi, Mdude, MMM na makada wengine mtandaoni ni vinara wa matusi kwa yeyote yule atakayekuwa tofauti nao au upande wanaousapoti. CCM huwa inapitia misukosuko mikubwa ila huwa inavuka kwa sababu inaendeshwa kitaasisi tofauti na CHADEMA yenye hadi Nabii feki Lema.
 
Well said!
 
Mimi ni mpinzani tangu 1984.. Ama ukipenda niite CCM mfu.. Mimi kwangu CHADEMA ni kila kitu na sina mbadala
Samaki hawezi kuzuia maji ya mto yasitembee
Sio maji yote samaki anaishi
 
Mna nafasi ya kuamua mnaloona linafaa kwa mustakabali wa Chama chenu. Tunachofanya sisi CCM, ni kukoleza moto ili mnyooshane.
Kolezeni sana moto ila msisahau kisa cha mchimba kaburi
 
Kwahiyo na nyie mmeingia kwenye mkumbo wa wasemaji? Maana sasa 24/7 hamkauki CHADEMA
 
umeongea vyema sana MKUU πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…