Kwanini tunatafsiri mshale wa saa kinyume na inavyoandikwa - hii inatokana na nini?

Kwanini tunatafsiri mshale wa saa kinyume na inavyoandikwa - hii inatokana na nini?

misikiti yote saa husomwa kama ilivyo saa mbili mshale unakuwa kwenye mbili nilikuta jamaa anatoa hoja na kusema kuwa waafrika hatuwaz wala kuwa na maamuz saa 1 itakuwaje 7 nasi tukakubali hayo mapokeo au saa moja ya usiku iwe 19 kwa masaa 24 sasa toka utoton unaonekana mjanja ukijua soma saa kwa style ila ingekuwa amri yangu ningekata rufaa
 
Masaa unayoyahesabu wewe ni ya kiarabu vile wao huanza siku saa 12 asubuhi. Watu wa magharibi siku huanza baada ya saa 6 usiku na ndio utaratibu duniani kote. Pia kiarabu wiki huanzia jumamosi wakati wamagharibi siku huanza jumatatu.

Nilidhani siku inaanza baada ya jua kuzama.
 
Mwenye thina uhakika but kuuliza si ujinga!
Hizo hesabu ulizoziweka mbona ukiikusudia nö yoyote inakuja hivyo hivyo?
mfano, nö 4
5-1=4
6-2=4
7-3=4
8-4=4 na kuendelea....
...
Au mimi thijaelewa!
Embu alieelewa hasabu za jamaa na mahusiano yake ktk mpangilio wa usomwaji saa.

Anamaanisha mshale ukiwa kwenye hiyo namba haisomeki hiyo namba bali inasomeka namba nyingine na tofauti ya hizo namba ni 6.
akatoa mfano
8-2=6
11-5=6
nadhani umeelewa sasa hapo mshale ukiwa kwenye 8 ni saa2
 
Masaa unayoyahesabu wewe ni ya kiarabu vile wao huanza siku saa 12 asubuhi. Watu wa magharibi siku huanza baada ya saa 6 usiku na ndio utaratibu duniani kote. Pia kiarabu wiki huanzia jumamosi wakati wamagharibi siku huanza jumatatu.
Wahabeshi pia wanahesabu saa kwa mtindo wa tanzania.
 
Hata mimi nilisikia hivyo.
Yani ukichukua zile namba ukitoa namba za saa halisi unapata common difference ambayo ni 6
Hivi ulitegemea kuwe na difference that is not common??!!! Seriosly??!!! Hayo yangekuwa maajabu kwenye hesabu. Hizo saa zi zinafuatana katika hii mifumo miwili ya kuhesabu masaa??? After all sio common difference ni absolute common difference.
 
Anamaanisha mshale ukiwa kwenye hiyo namba haisomeki hiyo namba bali inasomeka namba nyingine na tofauti ya hizo namba ni 6.
akatoa mfano
8-2=6
11-5=6
nadhani umeelewa sasa hapo mshale ukiwa kwenye 8 ni saa2

Thanks kwa kunielewesha hapo!
...
Jee kwa uelewa wako unahisi nö 6 inahusiana vipi na freemanson?
 
[Nadhani ni kuhusu ile namba 666. even Vatican headquarters knows this Issue...try asking them Brother.]
 
Masaa unayoyahesabu wewe ni ya kiarabu vile wao huanza siku saa 12 asubuhi. Watu wa magharibi siku huanza baada ya saa 6 usiku na ndio utaratibu duniani kote. Pia kiarabu wiki huanzia jumamosi wakati wamagharibi siku huanza jumatatu.

si kwel wa arabu siku huanza magharibi yaan jion kwa kuwa wao hawafuti jua kama wamagharib kwa waarabu wao wanafuata mwez kwa hyo mwanzo wa siku kwao ni magharib
 
si kwel wa arabu siku huanza magharibi yaan jion kwa kuwa wao hawafuti jua kama wamagharib kwa waarabu wao wanafuata mwez kwa hyo mwanzo wa siku kwao ni magharib

Oh salalee.....siku haianzi alfajiri bali adhuhuri?
 
Mwenye thina uhakika but kuuliza si ujinga!
Hizo hesabu ulizoziweka mbona ukiikusudia nö yoyote inakuja hivyo hivyo?
mfano, nö 4
5-1=4
6-2=4
7-3=4
8-4=4 na kuendelea....
...
Au mimi thijaelewa!
Embu alieelewa hasabu za jamaa na mahusiano yake ktk mpangilio wa usomwaji saa.

NI kweli hujaelewa,alichomaanisha ni kwamba kwa mfano saa 1 inasomeka saa 7 na saa 2 inasomeka 8 sasa kwa maana hiyo kila muda utakaosoma 1,7 2,8 3,9 10,4 tofauti itakuletea namba 6
 
Hii kitu sijui ipo vipi,mana hata watu wa Aviation wana namna yao ya kutazama na kusoma mda
Wao huita UTC
e.g saa 1930hrs =1630UTC,
Saa 1320hrs=1020UTC
 
I have a question, kama hapa Tz(ingawa haifuatwi na wengi) siku huisha saa moja jioni(jua linapozama) na siku huanza saa moja asubuhi(jua linapochomoza), huu muda kati ya saa moja ya jioni na saa moja asubuhi inakuwa ni siku gani hasa? Na tarehe yake ni ya siku iliyoisha au inayofuata?

Aisee swali lako sidhani kama litapata jibu, nadhani muda wa usiku itakuwa ni aftaimu.
 
Mimi maisha yote saa yangu inasomeka Kama mshare unavoonesha. Ukiwa kwenye 1 inakua ni saa 1, Ukiwa kwenye 7 ni saa saba, nk.

Kwa ufupi inasomeka 'kiswahili' Kama wanavoiita baadhi ya watu.

Wazungu kutokana na mzunguko wao wa saa na siku inavoanza akikwambia its 1 o'clock anamaanisha ni saa 1 na sio saa saba kama tunavoeka sisi saa. Saba za uskiku mshale unaonesha kwenye 1. Why?
Tunaiga pasi na kujua maana.

Ndo maana after saa 6 usiku kwa sisi huku inaingia saa saba, lkn mzungu anakwambia its 1 o'clock in the morning, au 3 o'clock in the morning. Wkt huku ni saa saba usiku au saa 9 usiku, kwao ndo ishaanza siku mpya.
 
Masaa unayoyahesabu wewe ni ya kiarabu vile wao huanza siku saa 12 asubuhi. Watu wa magharibi siku huanza baada ya saa 6 usiku na ndio utaratibu duniani kote. Pia kiarabu wiki huanzia jumamosi wakati wamagharibi siku huanza jumatatu.

Waarab wanaanza siku after maghrib coz wao wanahesabu siku kutokana na mwezi, yaani kamaar. Na kamaar inaonekana after maghrib.

Na hio ulosema utaratibu duniani kote ni kwa sababu ya kuiga tu. Labda kwa vile mzungu ndo alovumbua saa ndo tumfuate yeye na hizo hizo saa zake na kuanza kwa siku.
 
Back
Top Bottom