Kwanini tunatafsiri mshale wa saa kinyume na inavyoandikwa - hii inatokana na nini?

ha ha ha haha, nimeipenda hii. nimekuelewa mkuu. duh!!:smile-big:
 

Umekosea labda mwenye picha ya saa ya ukutani aiweke hapa na mishale yake ilivo. Ila unatoa namba zilizo opposite na si namba yoyote. Mfano wametoa nane toa mbili coz ziko opposite na nane inasomwa kama saa mbili, vivo hivo tatu unasomwa kama tisa na ukitoa tisa toa tatu ndo unapata 6, fanya hivo hata kwa 6 na 12 tofauti yake ni sita na sita inasomeka kama 12 pia ziko opposite side sijui umenielewa hivo huwezi toa tano kwa moja hazishabihiani...
 

Nimekuelewa!
Thanks!
 
hata na mm nashangaa kwamba n mwanafunz gan aliekaa darasan akafundishwa 1 ni 7? au 3 n tisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…