Kwanini Tunaweka 'double consonant' Katika Majina Yetu Ya Kibongo?

Kwanini Tunaweka 'double consonant' Katika Majina Yetu Ya Kibongo?

Osaka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
1,762
Reaction score
553
Salaam Wakuu!

Uwa najiuliza, ni sababu ipi ya msingi inayofanya Wabongo kulazimisha majina yao ya Kibongo kubeba 'double consonant' kama ilivyo ktk majina ya Kizungu?
Kadri ninavyo fahamu majina mengi ya Kibongo hayana utamaduni wa kubeba 'double consonant'.

Mfano, majina kama vile:
Massawe, Muttalemwa, Mkullo, Mawalla, Lissu, Mrosso, Mollel, Marealle, Chotta, Makalla, Mgassa, Ngassa, Chollo, Ndullu, Kassanga, Mwigga, Rutta etc.

Ukichunguza utagundua kuwa ni herufi tatu hivi zinazotumika mara kwa mara (S, T & L) na mara chache herufi 'G'.

Nini hasa sababu za msingi zinazopelekea kufanya hivi? Tuelimishane tafadhali.
 
Mkuu nafikiri tunaiga kwanu ukifatilia chimbuko ama asili ya jina lenyewe utagungua kuwa hakina double consonant....
 
Salaam Wakuu!

Uwa najiuliza, ni sababu ipi ya msingi inayofanya Wabongo kulazimisha majina yao ya Kibongo kubeba 'double consonant' kama ilivyo ktk majina ya Kizungu?
Kadri ninavyo fahamu majina mengi ya Kibongo hayana utamaduni wa kubeba 'double consonant'.

Mfano, majina kama vile:
Massawe, Muttalemwa, Mkullo, Mawalla, Lissu, Mrosso, Mollel, Marealle, Chotta, Makalla, Mgassa, Ngassa, Chollo, Ndullu, Kassanga, Mwigga, Rutta etc.

Ukichunguza utagundua kuwa ni herufi tatu hivi zinazotumika mara kwa mara (S, T & L) na mara chache herufi 'G'.

Nini hasa sababu za msingi zinazopelekea kufanya hivi? Tuelimishane tafadhali.

Kwa sababu majina ni yao.

Katika nchi huru mtu anaruhusiwa kuliandika jina lake anavyotaka.

Kwani tatizo nini?

Unataka kulazimisha watu waandike majina kwa formula?
 
Ni kwassabbabbu ya kuigga ttu walla hainna maanna yoyotte

Kuiga mbona hata wewe hizo herufi unazotumia tumeiga tu, hatuna maandishinya Kiswahili.

Kwa hiyo ukiwanyooshea kidole kimoja kuhusu kuiga, vinne vinakurudia wewe kwa kuiga maandishi unayotumia.

Waacheni waandkke majina wanavyotaka, kitu kibaya ni kukosea kuandika jina la mtu, kwa maana ya kuandika tofauti na anavyoqndika yeye.

Lakiji kama mtu kaamua kuandika hata kwa Kigiriki cha kale poa tu.
 
Mkuu povu la nini, tulia andika viziri kisha pitia ulichoandika ndio upost
 
Ndio maana ukienda congo/burundi haukuti jina la francis,joseph,laurent,vicent,michael yote yanaitwa franswa,joze,loraa,vansa na misheli so jina ni wewe utavyojiita hakuna formula ndio maana kuna bizmungu na bizmana ,salim na salum na salima,kuna Musa na Moses,kuna Jimmy na Juma,kuna Fredrick na Fred,kuna Nkurunzinza na Niyonzima na Niyonzimana!!
 
Mkuu povu la nini, tulia andika viziri kisha pitia ulichoandika ndio upost

Povu anatoa nani kati yangu ninayesema kwamba katika nchi huru watu wana uhuru wa ku spell majina wanavyotaka na wewe unayeshikia bango majina ya wayu?

Hivi kweli mtu na akili zake anaweza kuuliza kwa nini mtu fulani ana spell jina lake hivi na si vile?

Hilo jina lako au lake?

What's next? Mtaenda kuuliza kwa nini anatumia hela zake hivi kucheza golf kizungu na sio vile kucheza bao Kiswahili?
 
Kwa sababu majina ninyao.

Katika nchi huru mtu anaruhusiwa kuliandika jina lake anavyotaka.

Kwani tatizo nini?

Unataka kulazimisha watu waandike majina kwa formula?

Sawa mkuu Kiranga; lakini unaonaje mfano, kama Mzee Rugemalira angeamua yeye au wazazi wake kubadili jina asilia na kuwa: Ruggemalira; je jina hili Ruggemalira lingebeba maana yoyote? Nina imani majina mengi ya Wabantu japo si yote yanabeba maana fulani.
 
Last edited by a moderator:
Sawa mkuu Kiranga; lakini unaonaje mfano, kama Mzee Rugemalira angeamua yeye au wazazi wake kubadili jina asilia na kuwa: Ruggemalira; je jina hili Ruggemalira lingebeba maana yoyote? Nina imani majina mengi ya Wabantu japo si yote yababeba maana fulani.

Maana kubwa kabisa ya jina nikumu identify mwenye jina.

Ukimnyima uhuru wa kuandika jina lake kama anavyotaka yeye, umemnyima uhuru wa kuchagua jinsi ya kuji identify. Jambo la msingi kabisa katika jina.

Cassius Clay aliona jina lake halimfai, akabadili na kuitwa Muhammad Ali. Jina tofauti kabisa na alilokuwa nalo. Mnashangaa tofauti za spelling? Je wangeamua kujiita von Masssoueai (kutoka Masawe) na O'meera (kutoka Omera) mngesemaje?

Ndiyo maana hata kisheria kuna provisions za kubadili jina ukiona jina lako halikufai, sasa ukielewa hilo huwezi ku obsess over the evolution of African names spelling.

Bottom line, kama jina ni lake, yeye ndiye muamuzi wa linaandikwaje.

Majina yenyewe tumeanza kuyaandika baada ya ukoloni. It's not like tuna rekodi za miaka elfu na elfu yanavyoandikwa.

Mnajuaje kwamba wanavyoweka hizo double letters si sahihi zaidi phonetically kwa kufuata mkazo na yalivyoandikwa bila double consonants yalikuwa hayako phonetically zaidi?
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi huwa najiuliza sana kuhusu hilo kwa sababu kwenye lugha zetu za Kibantu hatuna hiyo desturi.

Maybe they think it's kinda cool to spell their name that way.....
 
Hata mimi huwa najiuliza sana kuhusu hilo kwa sababu kwenye lugha zetu za Kibantu hatuna hiyo desturi.

Maybe they think it's kinda cool to spell their name that way.....

My thing is, a person should be allowed to spell their own name any way they want.

Its their name, not ours.
 
Ndio maana ukienda congo/burundi haukuti jina la francis,joseph,laurent,vicent,michael yote yanaitwa franswa,joze,loraa,vansa na misheli so jina ni wewe utavyojiita hakuna formula ndio maana kuna bizmungu na bizmana ,salim na salum na salima,kuna Musa na Moses,kuna Jimmy na Juma,kuna Fredrick na Fred,kuna Nkurunzinza na Niyonzima na Niyonzimana!!

Kuna Smith, Smyth na Smythe.

Thomson and Thompson.
 
My thing is, a person should be allowed to spell their own name any way they want.

Its their name, not ours.

I have no beef with that. To each his own.

But I just wonder why that is the case.

When I was in primary school I tried to write my name that way (because I saw another kid's name written that way) and I got chewed out by pops.

Now I understand why he reprimanded me although I think he'd not have an issue with it if I did it now.
 
Tatizzo wabonggo hawajikuballi, baddo wanautakka uzzungu

Yawezekana mkuu!
Wanasema, jina kama vile Zitto linasaundika vizuri kwa Wazungu kuliko Zito!
 
Back
Top Bottom