Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

Tundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.

Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?

Maendeleo hayana vyama!

Kipindi alichokuwa amefungiwa ndio Tume ilikuwa imempangia Tundu Lissu awe mikoa ya kusini.

ACT na CDM walikuwa wamepanga jambo lao tarehe 3 October lakini Tume na CCM wakawahujumu kwa kumfungia TL kufanya kampeni.

Ratiba ya Tume ya Uchaguzi ndio inaelekeza mkoa / wilaya ambayo mgombea Uraisi anatakiwa kufanya kampeni.
 
..Kipindi alichokuwa amefungiwa ndio Tume ilikuwa imempangia Tundu Lissu awe mikoa ya kusini.

..ACT na CDM walikuwa wamepanga jambo lao tarehe 3 October lakini Tume na CCM wakawahujumu kwa kumfungia TL kufanya kampeni.

..Ratiba ya Tume ya Uchaguzi ndio inaelekeza mkoa / wilaya ambayo mgombea Uraisi anatakiwa kufanya kampeni.
Ok

Kwahiyo kusini hataenda tena?
 
Tundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.

Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?

Maendeleo hayana vyama!
Jamaa anapiga kampeni kwenye barabara za lami tu, hawezi kwenda Kyala wala Lupaso, hata huko kanda ya ziwa haendi Kibara wala Karumwa. Kaenda Ikungi hakulala kwao kwani hana nyumba, hata mamake hajamjengea, sasa hivi anaenda kula bata Rubondo, kumbe wanyiramba tabia zao zilezile
 
Mosi..
Anajua kuwa kanda ya ziwa wanamkubali sana zaidi ya alivyodhani ivyo ana uhakika wa kutapata kura za kutosha pale.

Pili.
Kanda ya ziwa waliamasishwa kujiandikishwa sana na kwa upendeleo na ccm kwan wanajua baba j anatokea uko ivyo angezoa kura za kutosha, sasa TAL ana capitalise iyo fursa ije kwake.

Mwisho.
Watu wa kanda ya ziwa ni opposers by nature hasa ukianzia watu wa musoma, wahaya na wajuaji wa mwanza wamekuwa waelewa sana wa mambo wakieleweshwa na wana misimamo.
Kwa ayo apo kanda ya ziwa ni nono kwa wanasiasa
Tundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.

Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom