Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

Hallaa, kumbe musukuma ndie johnbaptist?? Lol
Yaani umekuwa mjinga hata kushindwa kujua kuwa Bunda, Tarime zote, Bukoba, Ukerewe kabla ya biashara ya utumwa kote huko ni Kanda ya ziwa?
Isije kuwa humu JF tunajadiliana na mtu kiwango cha Livingstone Lusinde au Musukuma anayekwenda kwa jina LA johnthebaptist !!
 
Unamjua John Heche aliyekuwa mbunge wa Tarime Vijijini, au Ester Matiko aliyekuwa mbunge wa Tarime Mjini?? au Ester Bulaya aliyekuwa mbunge wa Bunda?? Unamjua Wilfred Rwakatale aliyekuwa mbunge wa Bukoba mjini? Wabunge wote hawa walikuwa wabunge wa chadema wakitoka Kanda ya ziwa.
Ahsante bwashee nimemkumbuka na Wenje wa Nyamagana na yule Machemli wa ukerewe
 
Hallaa, kumbe musukuma ndie johnbaptist?? Lol
Hahahaaaa...... Msukuma anaweza kulipia gharama za uendeshaji ofisi ya Ufipa kwa miaka mitano bila kutetereka ukiwemo mishahara ya JJ Mnyika na vijana wake.
 
jamaa anapiga kampeni kwenye barabara za lami tu, hawezi kwenda kyala wala lupaso, hata huko kanda ya ziwa haendi kibara wala karumwa. Kaenda ikungi hakulala kwao kwani hana nyumba, hata mamake hajamjengea, sasa hivi anaenda kula bata rubondo, kumbe wanyiramba tabia zao zilezile
Hivi wewe unavinasaba na shetani?
 
jamaa anapiga kampeni kwenye barabara za lami tu, hawezi kwenda kyala wala lupaso, hata huko kanda ya ziwa haendi kibara wala karumwa. Kaenda ikungi hakulala kwao kwani hana nyumba, hata mamake hajamjengea, sasa hivi anaenda kula bata rubondo, kumbe wanyiramba tabia zao zilezile
Amekwenda hadi Rukwa-Namanyere-Kirando, mama yako amejenga Lami huko?
 
..kamati ya maadili imejaa vyama vibaraka wa ccm.

..ndio maana tunasema kuna hujuma imefanyika.

..baadhi ya vyama ktk kamati ya maadili vilikuwa vinampiga vita TL hata akiwa hospitali anajiuguza.

..kamati ingeweza kutoa adhabu ya faini, karipio, etc, lakini uchaguzi huu kamati imekuwa ikiwasimamisha wagombea wa Cdm kufanya kampeni. Je, ni kweli kwamba wanaokosea ktk kampeni ni Cdm peke yao?
Sii kweli, kwao hizo ndio mbinu walizoziita za kisayansi,hii ni mojawapo.
 
Back
Top Bottom