blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Back to back...
Iyo ina itwa counter attack
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo ina itwa counter attack
Sababu wanapakana na nchi jirani thus akili zao zinachaji. Ila tu Kama watarudia kosa Tena wajiandae kubomolewa nyumba zao Kama kimaraMosi..
Anajua kuwa kanda ya ziwa wanamkubali sana zaidi ya alivyodhani ivyo ana uhakika wa kutapata kura za kutosha pale....
Kila kitu kasoro ujinga tuu ndio wamenizidi.Kwani wewe unamzidi nini Kibajaji au Msukuma?
Tuanzie hapo?
Lissu alishaeleweka kila kona ya Tanzania hata kabla hajaanza campaigns, Lissu alieleweka toka hata kabla hajatua Tanzania. Wengi walitamani awepo na ujio wake uliibua hisia za furaha ya wengi.... hakuna mahali wamemwelewa Tundu Lissu kama Kusini. Akiamua kwenda ni kuwajulia hali tu sio kupiga kampeni maana huko alishaeleweka kitambo sana.
Sababu wanapakana na nchi jirani thus akili zao zinachaji.
Ila tu Kama watarudia kosa Tena wajiandae kubomolewa nyumba zao Kama kimara
Ataleta tetemeko kabisa liwafukie woteUko sahihi, naueaza ubabe wa magu na kule blb walimzomea akawa mnyonge, sihipatii picha wahaya revenge watakayopewa pale atakaporudi tena madarakani, sincetely lzm tupige kura nying za hapana ili hasirud ikulu
Jichunguze sana, hasa hicho kilichobebwa na shingo yakoCHADEMA ina mbunge hata mmoja kanda ya ziwa?
Jamaa anapiga kampeni kwenye barabara za lami tu, hawezi kwenda Kyala wala Lupaso, hata huko kanda ya ziwa haendi Kibara wala Karumwa. Kaenda Ikungi hakulala kwao kwani hana nyumba, hata mamake hajamjengea, sasa hivi anaenda kula bata Rubondo, kumbe wanyiramba tabia zao zilezile
Tundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?
Maendeleo hayana vyama!
Haya ni matumizi mabaya sana ya akili
Na pia sijui kama ACT kusini wamemaliza kazi.Subiria Oct 28.
Hujui anayevunja ratiba za tume ni jiwe?
Hujui kachero mbobezi hajawahi kampeni kwingine zaidi ya kusini?
Hujui kuwa ACT washasema Lissu tosha!
Serikali zote Duniani zinajenga mabarabara.Kama kuna mtu anakiunga mkono Chadema kutoka Kanda ya Ziwa hukuwahi kusafiri na Super Najimunisa kwa barabara ya Vumbi ama kupita Nairobi via barabara ya Lami ipitayo Moshi hatimaye Namanga.