Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Chadema ndio walikuwa wamefunga njia?Kama kuna mtu anakiunga mkono Chadema kutoka Kanda ya Ziwa hukuwahi kusafiri na Super Najimunisa kwa barabara ya Vumbi ama kupita Nairobi via barabara ya Lami ipitayo Moshi hatimaye Namanga.
Bwashe ukerewe no mkundi,aliunga juhudi kama wewe BwasheeAhsante bwashee nimemkumbuka na Wenje wa Nyamagana na yule Machemli wa ukerewe
Kanda ya ziwa ni strategic zone ina wapiga kura wengiTundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?
Maendeleo hayana vyama!
Haya mawazo ya kijinga tu, ulishasikia barabara inajengwa DRC au Sudan ya kusini? nyerere miaka 25 alijenga pugu road tu tena kutoka fire hadi magomeni iliyojengwa na kajima, hivi watu walioshindwa kujenga hata ofisi ya chama wanakueleza nawewe unawasikiliza? we mjinga kiasi gani wewe?Serikali zote Duniani zinajenga mabarabara.
Nyerere alijenga,mwinyi, mkapa,kikwete , magufuli na lissu atajenga.
Tunataka UHURU kwanza.
Tundulissu2020
nahuku ndio hatutaki kusikia kitu LissuKanda ya ziwa ni strategic zone ina wapiga kura wengi
Tundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?
Maendeleo hayana vyama!
Usitupangie, Mbona mgombea wenu analala tu kila sikuTundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?
Maendeleo hayana vyama!
Jamaa Walijua tumemalizana😀Hiyo inaitwa counter attack
Pumbavu kweli Wewe, nani Alikwambia Lissu ni Mnyiramba? Wanyiramba mnao huko Fisiemu majinga yenu Mwigulu na Kitila...Jamaa anapiga kampeni kwenye barabara za lami tu, hawezi kwenda Kyala wala Lupaso, hata huko kanda ya ziwa haendi Kibara wala Karumwa. Kaenda Ikungi hakulala kwao kwani hana nyumba, hata mamake hajamjengea, sasa hivi anaenda kula bata Rubondo, kumbe wanyiramba tabia zao zilezile
leo kahama kaonja joto ya jiwe, tunamsubiri katoro akikatiza atakuwa mwanaumeLissu alishaeleweka kila kona ya Tanzania hata kabla hajaanza campaigns, Lissu alieleweka toka hata kabla hajatua Tanzania. Wengi walitamani awepo na ujio wake uliibua hisia za furaha ya wengi.
nyerere alijenga barabara gani? sialijenga magomeni pugu road na mza musoma alivyokaribia kustaafu, mwinyi alijenga ipi? tatizo jf yamejaa matoto ya 90sSerikali zote Duniani zinajenga mabarabara.
Nyerere alijenga,mwinyi, mkapa,kikwete , magufuli na lissu atajenga.
Tunataka UHURU kwanza.
Tundulissu2020
Kukatiza atakatiza na hutamfanya lolote we mlamba matako ya meko,leo kahama kaonja joto ya jiwe, tunamsubiri katoro akikatiza atakuwa mwanaume
manyoko tujenge barabara yeye aje kutupa shombo, aende ikungi aka share umasikini na wanyiramba wenzakeUtamfanya nin we kima ?
Kuna mtoto anauliza hapaTundu Lissu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Nauliza tu kwanini haendi kanda ya Kusini?
Maendeleo hayana vyama!
Kamanda baadhi ya topicsPengine kuna msisitizo unahitajika zaidi upande huo, hata mwalimu huwa anarudia baadhi ya sylabus akiona umuhimu wa kufanya hivyo
Asante kwa correction mimi sio mwalimu kwa taaluma ila naamini dhima yangu ilieleweka
Inajulikana amejipanga kutumia wahuni kufanyafujo huko hasa anatumia wahuni kutoka kwenye majimbo ya madini kutoka Kahama na maeneo ya jirani lakini nasikia taarifa zimeshavuja!Tundu Lissu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Nauliza tu kwanini haendi kanda ya Kusini?
Maendeleo hayana vyama!
Inabidi apelekwe kwenye Kamati ya MaadiliNauliza tu kwanini haendi kanda ya Kusini?