pasi padinde
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 281
- 299
Tundu Lissu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Nauliza tu kwanini haendi kanda ya Kusini?
Maendeleo hayana vyama!
Hajawahi fika meatu,simiyu, masunbwe ,bukombe, na uelewe yeye anafuata ratiba ya Tume.
Bado mikoa ifuatayo
Arusha
Tanga
Lindi
Mtwara
Pwani
Lakini tunachoshukuru makamu yupo vizuri kwa sera kwahiyo hata asipokwenda tayari maamuzi watu washayafanya