Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

Tundu Lissu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.

Nauliza tu kwanini haendi kanda ya Kusini?

Maendeleo hayana vyama!
Tundu Lissu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.

Nauliza tu kwanini haendi kanda ya Kusini?

Maendeleo hayana vyama!
Kanda ya ziwa ni ngome kuu ya CHADEMA.
 
Tundu Lissu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.

Nauliza tu kwanini haendi kanda ya Kusini?

Maendeleo hayana vyama!
Kwani kusini hajaenda? Ulitaka arudi huko ili useme pia kwa nini anarudia Kanda hiyo?
W
Awamu hii mmeshikwa pabaya maccm
 
Hata ahamie yeye na familia yake kazi bure , abadili kutoka kuwa mhadzabe kuwa msukuma kipigo kipo pale pale. Chiba anajisumbua.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA ina mbunge hata mmoja kanda ya ziwa?
Hoja nyingine utopolo tu, awamu hii Lisu atazoa kura za kimbunga anzia Sengerema, Kasamwa, Nyehunge, Nzera, Kome, Katoro, Buseresere,Buziku,Chato, Lunzewe, Kakola, Nyakanazi.
Kanda ya ziwa tumechoshwa na siasa za kibabe, mauaji, utekaji na kubambikiana kesi
 
Back
Top Bottom