Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

Nashukuru bwashee!
johnthebaptist,


Ratiba ya TUNDU LISSU inaonyesha ifuatavyo:

October 10 to 11 amepangiwa kuwa Chamwino, Mvumi, Ikungi, Manyoni, Mkalama, Singida .

October 12 amepangiwa kuwa Tabora [Igunga, Nzega] Shinyanga[ Kahama].

October 13 amepangiwa kuwa Geita [ Mbogwe, Bukombe, Chato].

October 14 amepangiwa kuwa Mwanza[ Ukerewe ], Mara [ Rorya ].

October 15 amepangiwa kuwa Simiyu [ Itilima, Meatu, Bariadi ].

October 16 amepangiwa kuwa Tabora [ Tabora, Urambo,Kaliua].

October 17 amepangiwa kuwa Singida[ Manyoni], Dodoma [ Bahi, Kongwa, Dodoma ].

Ratiba ya SALUM MWALIMU inaonyesha kati ya October 10 to 17th atakuwa maeneo ya Iringa, Mbeya, Songwe, Rukwa, Kigoma, na Kagera.
 
Ukipanda mbegu lazima urudi ukaangalie inaendeleaje? Hizo kanda unazosema kura zipo za kutosha
 
jamaa anapiga kampeni kwenye barabara za lami tu, hawezi kwenda kyala wala lupaso, hata huko kanda ya ziwa haendi kibara wala karumwa. Kaenda ikungi hakulala kwao kwani hana nyumba, hata mamake hajamjengea, sasa hivi anaenda kula bata rubondo, kumbe wanyiramba tabia zao zilezile
Taaahira jingine hili. Wanaowajengea mama zao wanaweka matangazo kwenye biilboards? mmeishafanywa mazezeta
 
Tundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.

Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?

Maendeleo hayana vyama!
Kuna yule mgombea anafanya kampeni DSM wiki sasa, anazunguka tu na akaona haitoshi akaamua kabisa kutumia shughuli ya kiserikali kufanya kampeni.

Mwambie avuke Daraja la Mkapa aende kule alikolala 'Che Benja'
 
Hapo sasa tunaanza kudanganyana mchana!

Subiria Oct 28.

Hujui anayevunja ratiba za tume ni jiwe?

Hujui kachero mbobezi hajawahi kampeni kwingine zaidi ya kusini?

Hujui kuwa ACT washasema Lissu tosha!
 
Utumie kichwa chako kufikiria sio kufuga nywele tu
 
Tundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.

Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?

Maendeleo hayana vyama!
Uoni Mwalimu anavyoibomoa ccm kusini,
Yule wa ccm anaogopa mashangazi wa kusini,Hana majibu ya korosho zao
 
Back
Top Bottom