johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
CHADEMA ina mbunge hata mmoja kanda ya ziwa?Kanda ya ziwa ndipo ilipo ngome ya kipara na inawatu wengi kuliko kanda zote
Ni lini ambapo mkulu kaenda kanda ya kusini!?Tundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?
Maendeleo hayana vyama!
Naona Prof Lipumba anazunguruka nchi nzima!Iyo ina itwa counter attack
Tundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?
Maendeleo hayana vyama!
Hapa nazungumzia kurudia kanda bwashee!Ni lini ambapo mkulu kaenda kanda ya kusini!?
Hao akina Ester Bulaya, Heche na Matiko ni wabunge wa CCM? SHAME ON YOUChadema ina mbunge hata mmoja kanda ya ziwa?
Figisu za Tume ya uchaguzi. Kila akipeleka ratiba za kusini tume inamwambia Kuna wagombea wanaendelea na ratibaTundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?
Maendeleo hayana vyama!
Ok..Kipindi alichokuwa amefungiwa ndio Tume ilikuwa imempangia Tundu Lissu awe mikoa ya kusini.
..ACT na CDM walikuwa wamepanga jambo lao tarehe 3 October lakini Tume na CCM wakawahujumu kwa kumfungia TL kufanya kampeni.
..Ratiba ya Tume ya Uchaguzi ndio inaelekeza mkoa / wilaya ambayo mgombea Uraisi anatakiwa kufanya kampeni.
Kumbe!Hao akina Ester Bulaya, Heche na Matiko ni wabunge wa CCM? SHAME ON YOU
Kusini Hamna lenu,Kanda ya ziwa anarudi kumwaga Sera vizuri na kupiga spana sawa sawa.Awanu hii mtaimba nyimbo zote.Tundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?
Maendeleo hayana vyama!
Anajilinganisha na jiwe, akija kushituka kapiga kampeni dar na kanda ya ziwa tu, mwishoe aanze kulia lia kaibiwa kura!Tundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?
Maendeleo hayana vyama!
Jamaa anapiga kampeni kwenye barabara za lami tu, hawezi kwenda Kyala wala Lupaso, hata huko kanda ya ziwa haendi Kibara wala Karumwa. Kaenda Ikungi hakulala kwao kwani hana nyumba, hata mamake hajamjengea, sasa hivi anaenda kula bata Rubondo, kumbe wanyiramba tabia zao zilezileTundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?
Maendeleo hayana vyama!
Hahaha mahoka haya! Tar 28 mtajuta kuwa chama cha kibeberu! Tunachagua maendeleo, magu 5tenaKusini Hamna lenu,Kanda ya ziwa anarudi kumwaga Sera vizuri na kupiga spana sawa sawa.Awanu hii mtaimba nyimbo zote.
Pengine kuna msisitizo unahitajika zaidi upande huo, hata mwalimu huwa anarudia baadhi ya sylabus akiona umuhimu wa kufanya hivyoTundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?
Maendeleo hayana vyama!
Tundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?
Maendeleo hayana vyama!
Wewe naye takataka tu. Ester Matiku, Ester Bulaya, John Heche, Bukoba katoka Rwakatale.Chadema ina mbunge hata mmoja kanda ya ziwa?
Ok
Kwahiyo kusini hataenda tena?