Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
aage ili ugundue nini?Tangu Tundu lisu tangu arudi nchini hii nazani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kesema sababu yoyote hali hii sizani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya uraisi
Maoni yangu ni vyema awe anatoa taarifa kwa wanachama pale anaposafiri kwenda nje ya nchi ili watu wawe wanajua anasafari kwa dhumuni gani
Tangu Tundu lisu tangu arudi nchini hii nazani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kesema sababu yoyote hali hii sizani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya uraisi
Maoni yangu ni vyema awe anatoa taarifa kwa wanachama pale anaposafiri kwenda nje ya nchi ili watu wawe wanajua anasafari kwa dhumuni gani
Mara zote rais wako akisafiri nje ya nchi huwa anaaga?, alafu kwa nini usumbuke na mambo ya ndani ya chama cha Chadema, ? Lini viongozi wa chama husika wamelalamika kwamba hawajui alipo? Fuata maisha yako ya chadema hayakuhusuTangu Tundu lisu tangu arudi nchini hii nazani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kesema sababu yoyote hali hii sizani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya uraisi
Maoni yangu ni vyema awe anatoa taarifa kwa wanachama pale anaposafiri kwenda nje ya nchi ili watu wawe wanajua anasafari kwa dhumuni gani
Akuage kwani wewe ni mkewe?Tangu Tundu lisu tangu arudi nchini hii nazani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kesema sababu yoyote hali hii sizani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya uraisi
Maoni yangu ni vyema awe anatoa taarifa kwa wanachama pale anaposafiri kwenda nje ya nchi ili watu wawe wanajua anasafari kwa dhumuni gani
Nakubaliana na wewe kwa 100%Hakuna unachokijua mkuu. Ungejua ungefuta ulichoandika.
....PERIOD....punguza kiherehere mke wako anaenda kazini hakuagi alafu unataka kuagwa na mwanaume mwenzako!
Inawezekana huyo ni kina DABWaliompiga risasi (unaweza kuwa miongoni mwao) walitoa taarifa??
UmeuaAkuage wewe ni mke wake?
Futa huu ujinga..Tangu Tundu lisu tangu arudi nchini hii nazani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kesema sababu yoyote hali hii sizani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya uraisi
Maoni yangu ni vyema awe anatoa taarifa kwa wanachama pale anaposafiri kwenda nje ya nchi ili watu wawe wanajua anasafari kwa dhumuni gani
Uko sahihi,kuna dosari kidigo kwa Yeye Lissu kama kiongozi wa kisiasa kitaifa kuwa anafanya baadhi ya mambo kuwa ya kisiri siri namna hiyo.Tangu Tundu lisu tangu arudi nchini hii nazani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kesema sababu yoyote hali hii sizani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya uraisi
Maoni yangu ni vyema awe anatoa taarifa kwa wanachama pale anaposafiri kwenda nje ya nchi ili watu wawe wanajua anasafari kwa dhumuni gani
Kwani anaongoza viongozi wa Chadema pekee au huwa pia anajikomba kwa watanzania wote?Mara zote rais wako akisafiri nje ya nchi huwa anaaga?, alafu kwa nini usumbuke na mambo ya ndani ya chama cha Chadema, ? Lini viongozi wa chama husika wamelalamika kwamba hawajui alipo? Fuata maisha yako ya chadema hayakuhusu