Kwanini Tundu Lissu huondoka nchini bila kuaga?

Akuage we ni nani yake?
 
Huyu hapa TAL humdai lolote na hata nauli hujachanga! Humulizi yule akijisikia anakimbilia arabuni akitumia kodi yako!?
Halafu nani anajua wewe ni mmoja wa wale wauaji ambao mumewaficha waliomshambulia! ? Mnataka kumalizia kazi siyo!!??
 
Akuage wewe mke wake?.
 
Kwani katiba inasemaje kuhusu ilo? Kiongozi tuanzie hapo
 
Wewe ni mke wake hakukuaga?
 
Anakwepa risasi zenu!
 
..wasiompenda Lissu hawatakosa jambo baya la kumsingizia.

..kama amekwenda nje ya nchi kwa masuala binafsi hakuna haja ya kuutaarifu umma.

..kama amekwenda nje kwa kazi za chama basi wanachama wanayo haki ya kutaarifiwa.
 
Uvccm mnawayawaya
Wewe akili zako ni za kitoto kwelikwqeli. Siku zote nakukumbusha humu, lakini huna uwezo wa kukumbuka chochote.

Unaidhalilisha sana CHADEMA kwa mtu kama wewe kutaka wadhifa wowote ndani ya chama hicho. Watu wa aina yako ndio wanaofanya CHADEMA isikubalike kwa baadhi ya waTanzania.
 
..wasiompenda Lissu hawatakosa jambo baya la kumsingizia.

..kama amekwenda nje ya nchi kwa masuala binafsi hakuna haja ya kuutaarifu umma.

..kama amekwenda nje kwa kazi za chama basi wanachama wanayo haki ya kutaarifiwa.
'Perception' ni kila kitu; hasa kwa jamii tuliyonayo Tanzania.

This is a critical moment for CHADEMA, a make or break moment katika historia ya nchi hii.
Inaelekea CHADEMA wenyewe hawalitambui hili bado.
 
Keshazuga wenzake sasa anakwenda kuboost
 
Hoja yako haina mashiko. Na hata sababu ulizozitoa, zote ni pumba tu.
 
Hilo la ukibaraka halijaanza leo mlianza kumtuhumu enzi za jiwe lakini hamkufanikiwa mpaka mkachapa risasi napo mkafeli MUNGU wa mbinguni akakataa, ikaja uchaguzi 2020 akawapleka mpelampela mpaka mkamfungia kupiga kampeni huku mgombea wenu akiwa gereji, bado haitoshi kwa ile konga aliyokuwa anasepa nayo tena bila support ya vyombo vya habari sasa keteni yenu ya mwisho ikawa ni kuiba process ya uchaguzi. Kwa ufupi hicho ni kitasa kilichokubaliwa na MUNGU hakuna mwanadamu wa kukizuia.
 
Kipo kitu kimejificha kwake

Ila hapa subiri kutukanwa na kuandamwa maana ni ukweli mchungu
 
Wewe ni nani yake unataka kuagwa? Tatizo la vijana nchi hii hamna hoja za kujadili. Mnapenda uchawachawa ili muonekane. Hiyo strategy ilitumika kipindi cha JPM na baadhi walipata teuzi, ni tofauti kwa huyu mama. Njooni na hoja za msingi mtaonekana kuliko umbea, udaku na sifiasifia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…