Tangu Tundu Lissu tangu arudi nchini hii nadhani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kusema sababu yoyote hali hii sidhani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya urais.
Maoni yangu ni vyema awe anatoa taarifa kwa wanachama pale anaposafiri kwenda nje ya nchi ili watu wawe wanajua anasafari kwa dhumuni gani.
amekua kimya mno kiongozi huyu wa kisiasa,
mahiri wa kuibua na kujenga hoja nzito na nyepesi, dhidi ya serikali na jamii kwa ujumla kwenye medani za siasa za kitaifa. Kitambo kidogo hajasikika.
Kulikoni, yuko wap.....