SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Eti wanaomba kufutiwa deni la Urafiki ilhali Wachina hawa wanajua kuwa mliwalipa cash mabeberu mabilioni yanayozidi hayo madeni yenu kununua yale madege yanayopamba Uwanja wetu wa ndege wa Dar es salaam.Mnajipendekeza kwa mchina
Lipeni kwanza "deni la URAFIKI"
Hahahaaaa.....!Bwashe acha ushe.nzi sometime, kama wazungu ni adui zetu kwanini tuna balozi zao hapa nchini na sisi kuwa na ubalozi wetu ktk hizo nchi? Dk Slaa anafanya nini kwa maadui zetu? Kuponya Taifa?
Hahahahaha ......nilikasirika hadi nikafoka sana!Hahahaaaa.....!
Wewe ni mzalendo kweli?!Eti wanaomba kufutiwa deni la Urafiki ilhali Wachina hawa wanajua kuwa mliwalipa cash mabeberu mabilioni yanayozidi hayo madeni yenu kununua yale madege yanayopamba Uwanja wetu wa ndege wa Dar es salaam.
Ahahahaaaa [emoji23][emoji1787][emoji85]. johnthebaptist Juzi bila aibu nimeona mkikenulia meno msaada wa chini ya bei ya Cruiser moja !!.Kwahiyo Chadema siyo rafiki wa China?
Zawadi ni zawadi bwashee!Ahahahaaaa [emoji23][emoji1787][emoji85]. johnthebaptist Juzi bila aibu nimeona mkikenulia meno msaada wa chini ya bei ya Cruiser moja !!.
Daahh eti marafiki ?!
Odhis *
Usifikir tillion 134 mchezo kama.kwa mwez tunaingiz 2 tillion lin tutamaliza mkuuAliyeomba kusamehe "DENI NI NANI?"
nchi tajiri Kama Tanzania mnaanzaje kulia Lia kuomba kusamehe DENI?
Wewe umewahi kukataa zawadi?Hata ya kudhalilisha !!.
Odhis *
Hvy unafikir ndeg ni tillion sio hahahahaEti wanaomba kufutiwa deni la Urafiki ilhali Wachina hawa wanajua kuwa mliwalipa cash mabeberu mabilioni yanayozidi hayo madeni yenu kununua yale madege yanayopamba Uwanja wetu wa ndege wa Dar es salaam.
Hebu andika kama kiumbe hai hizi lugha zenu za kukunia nazi hatuzitaki humu.Hvy unafikir ndeg ni tillion sio hahahaha
Wakoloni wa Nchi gani miaka hii ya 2020? Hivi Dunia hii ya Utandawazi na Market Economy bado tunaongea Ukoloni" Colonization" ya Berlin Conference ya Karne ya 18?Kwanza nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka.
China ni marafiki zetu kama taifa tangia tulipojinasua kwenye makucha kandamizi ya wakoloni waliotunyonya na kututesa sana huku wakipora rasilimali zetu.
Ndio nauliza kwanini Tundu Lissu na Godbless Lema wameomba hifadhi kwa adui zetu wakoloni badala ya kwenda kwa rafiki zetu China?
Maendeleo hayana vyama!