Kwanini tupo Duniani? Hadithi ya kutisha ukweli kuhusu Biblia

SHIDA NI AKILI ZENU .....NA MAFUNDISHO POTOVU YA MAKANISANI ....MNGEJUA MISINGI YA KWELI YA DINI WALA MSINGE CHANGANYIKIWA NA LOGIC ZISIZO NA MAANA ...KWANZA ANZIA HAPA ADAM NA HAWA AWAKUPATA DHAMBI YOYOTE KWA KULA TUNDA ...maana wengi mnashindwa kuelewa kwa sababu ya mafundisho potovu mliyo danganya makanisani ambayo yanaanzia hapo mwanzo kabisa wa dhambi...mmepotoshwa kuwa kuna (dhambi ya asili) kwa sababu akili zenu ni mbovu hazina logic ....sasa nitatoa mwanga kwa kifupi ya maandiko ya biblia kuhusu adam na hawa kula tuna kama ifuatavyo ......Kitendo cha Adam na hawa kula tunda kilikuwa na nehema na hasara inategemeana na mtu mwenyewe utakavyo chagua ama kuiendea NEHEMA AU KUIENDEA HASARA hivyo hapo mungu awezi kulaumiwa maana chagua lipo mikononi mwetu wenyewe ....Kitendo cha kula tunda kilifunua mambo mawili
1) MEMA (kujua mema)
2)MAOVU (kujua mabaya)

💥Kwanye 1)MEMA ... kukazaliwa UTAKATIFU NA THAWABU NA PEPO...ambavyo ni vyema kuliko yale ambayo adam na hawa walipewa kabla ya kula tunda.
💥kwenye 2)MAOVU ... kukazaliwa DHAMBI NA LAANA NA JEHANAM.

tatizo lililopo ni hizo nguvu mbili yaani MAOVU NA MEMA ushindana mioyoni mwetu ndiyo maana ya yale maandiko yanayo sema PATAKUA NA VITA BAINA YA UZAWA WA MUNGU (MEMA) NA UZAWA WA NYOKA YAANI SHETANI (MAOVU)...
kumbukeni kama adamu na hawa wasinge kula tunda basi wangekosa jambo tukufu sana nalo ni PEPO na wangeepuka jambo baya sana nalo ni JEHANAM maana wasingekula tunda kusingekuwa na pepo wala jehanam ...tendo la kula tunda lilikuwa sawa na kuingia kwenye chumba cha mtihani na kama tujuavyo mtihani unamatokeo mawili kufaulu au kufeli....hivyo ADAM NA HAWA walichagua wenyewe kuingia kwenye huo mtihani ambao ndani yake kuna neema iliyo kuu sana na kuna hasara iliyo kuu sana...
 
SHIDA NI AKILI ZENU .....NA MAFUNDISHO POTOVU YA MAKANISANI ....
Kwa hili umeongea kama umetoka kuliwa maana umetoa tu mlio kama kitu kimekuingia
MNGEJUA MISINGI YA KWELI YA DINI WALA MSINGE CHANGANYIKIWA NA LOGIC ZISIZO NA MAANA ...KWANZA ANZIA HAPA ADAM NA HAWA AWAKUPATA DHAMBI YOYOTE KWA KULA TUNDA ...
Mtu mwenye akili haongei ujingayaani unaanza tu shutuma.. hebu lete ushahidi wako unaokubalika hata mtu akisikia hatii shaka hata kama ni nje ya bible... nyie ndio mnaoamua tu kuanza kubishana hata na wageni wenu majumbani wakija kuwatembelea. yaani from no where tu umelipuka hujui nini tumejifunza makanisani hujui tumeelewa vipi jf walevi mapunga kumbe mpo
maana wengi mnashindwa kuelewa kwa sababu ya mafundisho potovu mliyo danganya makanisani ambayo yanaanzia hapo mwanzo kabisa wa dhambi...mmepotoshwa kuwa kuna (dhambi ya asili) kwa sababu akili zenu ni mbovu hazina logic ....
Kila mtu akizaliwa kwenye dini fulani anakutana na mafundisho yapasayo so baadae ndipo akitafuta elimu zaidi anajua nini anafanya either kufuata ujinga au ukweli its up to him or her wengine hawawezi sababu ya jamii hata flood ya Noah kuna wengine walishindwa ingia kwenye safina kwa aibu au kwa ajili ya wazazi wao.

Dhambi Asili hii inatokana na mafundisho kwa Wayahudi na Mungu wao enzi hizo yameandikwa alikuwa ni Bwana wa Majeshi,mwenye Wivu,Hasira n.k hakutaka aabudiwe mwingine zaidi yake na alikuwa na kisasi sio kwako tu bali na uzao wako vizazi hadi saba n.k so Kuambiwa Dahmbi asili ni sehemu ya Mungu kwa Adam na Hawa kosa si tunda kosa ni kutokutii maagizo ndio wakaambiwa lazima Wafe and ndio hivyo we must die sasa unataka kusema hatuelewi kwa lipi goi goi wewe.
Huna somo ulilotoa kwani ndicho somo watu wa makanisa wote wanajua ni bora ufunge tu domolako ukitulia soma ujifunze yaani unasoma alichoandika mtu and ukimaliza unasema wewe ndio utatoa somo copy and paste wewe
💥Kwanye 1)MEMA ... kukazaliwa UTAKATIFU NA THAWABU NA PEPO...ambavyo ni vyema kuliko yale ambayo adam na hawa walipewa kabla ya kula tunda.
We have just craked the code before tunda tulitakiwa kubaki bila knowlegde yeyote kwa aliyetuumba hakuna cha pepo dunia yenyewe inaelea kwenye space so we are already in pepo. our designe tuishi hapa na tupo tu sana yaani no where to go tushacheki other sayari zinazofaa kuishi ila zipo mbali sana
💥kwenye 2)MAOVU ... kukazaliwa DHAMBI NA LAANA NA JEHANAM.
Hivi unajua historia ya neno Jehanam? kasome ni Jalala lililokuwepo Jerusalem enzi hizo kondeni Dampo moto ulikuwa hauzimi kwa takataka zilizokuwa zinatupwa kila siku so kwa akili yako basi Jehanam ni hapa hapa Duniani...
Unaposema Laana kwa Christianity Yesu aliondosha hiyo Laana kwa Kifo chake yaani alikuwa mpatanishi kwetu. so huujui Ukristo get out of here...
Hauna jipya lolote tushapita huko sana utotoni... kafundishe wanao hii thread ni for new secret ambazo watu hawajakutana nazo.. Hadithi ambazo zipo kwa ufupi na bila vyanzo wala mwisho wake katika Biblia watu wanahitaji kufahamu na sio kuja kuvuruga mada kama shetani... unavyoandika tu unaonesha huna akili
 
Sasa wewe zuzu hapa ndiyo umeandika nini ...tumia akili acha kutumia kijambio kufikiri...maisha ni mtihani baina ya mema na mabaya yaani baina ya haki na batili
 
Sasa wewe zuzu hapa ndiyo umeandika nini ...tumia akili acha kutumia kijambio kufikiri...maisha ni mtihani baina ya mema na mabaya yaani baina ya haki na batili
unapiga kelele and you have nothing to say... kuwa shabiki tu nafasi inayokutosha
 
unapiga kelele and you have nothing to say... kuwa shabiki tu nafasi inayokutosha
Ujui unaye bishana naye ...siyo punguani mwenzio akili inachaji haswa
 
Ujui unaye bishana naye ...siyo punguani mwenzio akili inachaji haswa
Unaweza ukawa na akili zinachaji lakini unazitumia hovyo... pengine unahitaji msaada... maana ujio wako ni kushambulia maandishi kwa fikra zako ulizotokanazo huko ulipo.. ambazo sijaona mantiki yake kwenye huu uzi.

Unapopinga kitu njoo na chako original kuthibitisha chako kipo sawa...
 
Kwani wewe unataka jibu gani kwenye swali gani?
 
Kwani wewe unataka jibu gani kwenye swali gani?
Me sina cha kuuliza nimemeza vingi sana... ndio maana nachozungumza na ukakipinga inabidi ulete ukweli wako kama hauna huna haja ya kupinga.
 
Me sina cha kuuliza nimemeza vingi sana... ndio maana nachozungumza na ukakipinga inabidi ulete ukweli wako kama hauna huna haja ya kupinga.
Tumia logic kupima mambo na kuujua ukweli mfano wa logic mitume wa makanisani wanawaambia waumini wao kwanini wanatoa sadaka ndogo hadi yeye anatembea kwa miguu hana gari...ila mtume huyo huyo anawaambia waumini wake wamuombe mungu magari na fedha au awawaambia waumini wake kuwa imani yao ndogo ndiyo maana awasikiwi na mungu au awaponi magonjwa yao wakati huo huo yeye anaugua magonjwa na kwenda kutibiwa hadi mafua hospital tena VIP na madaktari bingwa ?
Mfano mwingine ni kwa dini zote panapo kuwa na ukame nchini serikali uwaita viongozi wa dini mbali mbali kuombea mvua nao uenda kuombea mvua hapo ukitazama logic ya mungu wa kweli na watumishi wake wa kweli utagundua hao wanao kwenda kuombea mvua ni mashetani tu maana mungu wa kweli kilogic ujiungaminishi na njia za upotovu katika ishara zake ...kwa kuwa mvua ikinyesha kwa hayo maombi ya dini zakila aina na imani za kila aina yrye mungu wa kweli aliye leta mvua kwa maombi ya mtumishi wake wa kweli atajulikanaje ni yeye wakati walio omba mvua ni wote ...ukisoma matukio ya hivyo ndani ya torati na injili yote utsona ni namna gani mungu ujitenganisha na kutojishikamanisha na imani au watumishi potovu ...mfsno kisa cha yona ....mfano wa kisa cha ndoto ya farao na na yusufu ...mfano wa kisa cha mfalme wa Israeli na manabii wake wa uongo dhidi ya nabii mmoja wa kweli kuusu kwenda vitani ....manabii wake wa uongo walimwambia aende akika mungu atawatia adui zake mikononi mwake ndipo wakamwita nabii wa kweli wasikie naye anasemaje ila yule nabii wa kweli alimwambia mfalme kuwa akienda vitani atauliwa ...ndipo mfame kwa hasira akaamrisha huyo nabii afunge hadi hatakapo rudi salama vitani ...hivyo ukitumia logic utajua maneno ya haki ya mungu na maneno potovu ya shetani
 
Umesema Mungu mkuu alikuwa anaitwa Yahwe, hao miungu wengine ambao Mungu mkuu aliwashinda walikuwa wanaitwaje?
Sasa juzi kati nimeona pahala kwamba Mungu mkuu ni HASHEEM.....
Lakini kwa sababu ya ukuu wake wanaogopa kutamka.....
Bali hutamka kutokana na kazi azifanyazo
mfano
Yehova NIssi
Yehova Shalom
Yehova Shama
 
Nyie wazee wa kubishana kwa kutukanana, mnafika mbali sana. Wengine tuko hapa kwa ajili ya maarifa mapya.

Kupokea maarifa sio kitu kibaya nadhani ni uamuzi wa mtu husika kuchukua point au kuziacha.

Mimi niko JF kwa ajili ya kupata maarifa ya Siri ambayo huwezi kuyasikia mahali popote pale kutokana na hali ya jamii zetu zisizokubali kupokea maarifa mapya.

Tafuteni namna nzuri ya kuwasilisha Mada zenu bila kutukanana.
 
Kuna namna fulani naungana na mtoa mada sababu sina uthibitisho wa kutosha ila biblia inatuficha vitu vingi sana. Natamani sana kuujua ukweli halisi. Ila historia za biblia zimeeditiwa na walioedit ndio wamewaacha watu wengi katika Giza.

Naomba mtoa mada na wadau wengine kama nitapata msaada wa vitabu vinavyoweza kunifungua kimaarifa kujua zaidi kuhusiana na mambo haya. Nitashukuru sana.
 
Noma sana!
 
Ethiopian Bible ndio inasemekana haijachakachuliwa sana.. so Story ya Enoch ipo kama Ethiopian walivyoipokea time hizo.. Enoch alikuwa akichukuliwa na Aliens na lujifunza vitu vingi sana.. so issue ya Mungu kushuka na kutembea nae kama marafiki na kumchukua bila kuonja umauti haipo.

Watoto wa Mungu waligeuka makafiri mno ndio chanzo cha flood ya Noah. NOAH Pia hakuwa binadamu kama walikuwepo enzi hizo kwa sasa waeza sema Albino, ngozi nyeupeeee macho yang'aayo kama nyota n.k

Original Bible au tablet au maandishi ya mapangoni yanaandika God's na sio God hivyo tulikuwa na Miungu mingi powerful and hata binadamu walisema tumuumne mtu kwa mfano wetu.. so unapoona mchina, mhindi,jaruo,red Indians mzungu n.k wote wanafanana na waumba wao Gods
 
Ethiopian Bible ndio inasemekana haijachakachuliwa sana.. so Story ya Enoch ipo kama Ethiopian walivyoipokea time hizo.. Enoch alikuwa akichukuliwa na Aliens na lujifunza vitu vingi sana.. so issue ya Mungu kushuka na kutembea nae kama marafiki na kumchukua bila kuonja umauti haipo.

Watoto wa Mungu waligeuka makafiri mno ndio chanzo cha flood ya Noah. NOAH Pia hakuwa binadamu kama walikuwepo enzi hizo kwa sasa waeza sema Albino, ngozi nyeupeeee macho yang'aayo kama nyota n.k
Kuna uzi wa Mzee Pascal Mayalla a amelist vitabu kadhaa ukipita pita utapata elimu za siri nyingi..

Kuna aya ya ufunuo wa yohana unasema watakatifu 144,000 tu ndio wataingia peponi
Wengine ni wasindikizaji tu.. hiyo namba ina siri kubwa mimi ndio nataka anza kujifunza..
Ni power fulani tunazo binadamu ila hatujui na ukizijua unaweza enda peponi na kurudi na kwenda actually..

I will shared someday nikiweza elewa au nikikwama pia.. ila imani ni one of these power..
 
Fikiria kuhusu hilo. Hatukuumbwa kutawala dunia kama tulivyohadithiwa eti tutawale wanyama na viumbe vyote, tuliumbwa kufanya kazi kwa ajili ya wale waliofanya hivyo Miungu. Na hili sio wazo tu la kuwa eti tumeumbwa ili kuja kustarehe.
Kwa hiyo mleta mada unataka kusema kwamba ni Kama vile tunafuga Punda ili itubebe mizigo then baadae Punda wanazaliana na kupata akili wanaanza kujitawala? Na baada ya hapo wanagoma kufanya zile kazi tulizokusudia?
 
Kwa hiyo mleta mada unataka kusema kwamba ni Kama vile tunafuga Punda ili itubebe mizigo then baadae Punda wanazaliana na kupata akili wanaanza kujitawala? Na baada ya hapo wanagoma kufanya zile kazi tulizokusudia?
Mimi nimeletaa story hii kwa kuwa kuna siri ambazo atuzijui and tumeficha kwa kusudi kwa ajili ya faida ya watu fulani au miungu fulani n.k je wajua Roman Empire bado ipo na inatawala kama enzi hizo ila now wanatumia Dini,

Khusu punda! je, Ushajiuliza na ukapata jibu why wanyama wa polini hawafugiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…