Kwanini tusiache na kukoma kutumia picha ya Rais Samia ?

Adverse Effect

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2017
Posts
3,700
Reaction score
9,570
Wanabodi,

Usinichoshe, nisikuchoshe tusichoshane.

Kuna utaratibu wa kutumia picha za Raisi katika ofisi za umma, taasisi,maeneo ya biashara n.k

Kwa mambo maovu na machafu yaliyotokea katika kipindi cha utawala wa Rais Samia kuanzia kushamiri kwa rushwa, mauaji, utekaji, ufisadi na zaidi matukio ya mauaji ya tarehe 29 na kuendelea ni dhahiri shairi kuwa amedhamiria kuumiza na kuangamiza watanzania hasa wenye asili ya Tanganyika.

Tuanze kupinga kwa maneno pamoja na vitendo kwa kuanza kuondoka picha zake zinazotumika kama Raisi katika maeneo ya kazi, ofisi, maduka, taasisi zinazojitambua n.k.

Ni afadhali kuweka picha za watoto wako, wajukuu, au wazazi wako kuliko kuweka picha ya muuaji .

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Kuweka picha ya Rais kwenye ofisi ya uma na sekta binafsi ni lazima naskia hivyo, wanaoelewa zaidi watafafanua. Ila kwenye kibanda chako cha mangi hata usipoweka haina tatizo
 
Sawa kama mi ofisi yako unaweza Kuondoa ila sidhani kama ni ofisi ya umma Watakubali
 
Wanabodi,

Usinichoshe, nisikuchoshe tusichoshane.

Kuna utaratibu wa kutumia picha za Raisi katika ofisi za umma, taasisi,maeneo ya biashara n.k

Kwa mambo maovu na machafu yaliyotokea katika kipindi cha utawala wa Rais Samia kuanzia kushamiri kwa rushwa, mauaji, utekaji, ufisadi na zaidi matukio ya mauaji ya tarehe 29 na kuendelea ni dhahiri shairi kuwa amedhamiria kuumiza na kuangamiza watanzania hasa wenye asili ya Tanganyika.

Tuanze kupinga kwa maneno pamoja na vitendo kwa kuanza kuondoka picha zake zinazotumika kama Raisi katika maeneo ya kazi, ofisi, maduka, taasisi zinazojitambua n.k.

Ni afadhali kuweka picha za watoto wako, wajukuu, au wazazi wako kuliko kuweka picha ya muuaji .

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
SAMIA NI RAIS🙄🙄🙄🙄
 
Nime maanisha picha zake alivyokuwa Rais kabla ya uchafuzi wa October 29 2025.
Lwiva
 
Back
Top Bottom