Ndege zinafaida mtambuka ambazo CAG hazikagui. Tujenge kwa fedha zetu khalafu waliobuni huo mradi wale vipi.
Ni wazo zuri inaweza kujengwa hatua kwa hatua. Hatua ya kwanza unajenga mpaka ianze kuoparate kwa uhitaji wa sasa. Hatua nyengine zitaendelezwa kwa faida itokanayo na hatua ya kwanza na mahitaji yakiongezeka.
They didn't over estimate, hiyo ni investment na walikuwa wanakopa hela kutoka Oman, and why waoverestimate since hawapewi hela bure????? Simple logic tu.Kaka point ni watanzania na serikali yetu iwe na share zaidi ya 50% or kiasi kwa ujumla ndani ya hiyo Bandari.
Na kumbuka kama hizi estimation na mchoro wameleta Wachina. Wanaweza kuwa wame over estimated kaka.
Anyway mawazo yangu tuu. Kulika kuwapa 100%.
Wasiliana nao kwa hizo email....Nami nina hisa lakini sina taarifa kinachoendelea, waweza nisaidia jinsi ya kuwapata, tafadhali.
Msomi anarise hoja kwa kukupa facts Kama ulizozitoa wewe na wasomi wenzie wenzie wanambishia kwa kumpa facts zingine wanazozijua kitaalamu. Darasa la Saba wanakulazimisha tu uamini mawazo ya mtu Fulani bila kukupa upembuzi yakinifu kuhusu msimamo huo. Pia darasa lasaba wanakujibu hoja moja wakati wewe umetoa hoja kumi na wanakuhukumu kwa hoja moja Kati ya kumi ulizotoa.Unamaana gan Daniel.? Sijakupata.
Asante sana mkuu nitafuatiliaWasiliana nao kwa hizo email....
registrar@csdr.co.tz,registrar@csdr.co.tz
Cc: invest@nico.co.tz,invest@nico.co.tz
Mimi nilisikia tangazo la Mkutano mwaka jana ndio nikawacheki.
Tatizo ni menejiment.Vizuri ni bora tununue menejiment toka nje itusaidie kusimamia vyetuInanikumbusha NICOL, hivi bado ipo? Maana duuh!!!
Shirika la serikali hawezi kupandisha bei ya huduma kizembe, shirika binafsi hawawezi kubeba nembo ya taifa kuonyesha ufahari wa nchi, shirika binafsi wakipata hasara mara moja haooo wanaondoka zao, nk,nk..faida mtambuka za atcl ni zipi?
..Je, mashirika binafsi ya ndege hayawezi kutupatia faida mtambuka zinazoletwa na atcl.
Hii pesa hata bank ya wanawake ingeweza kuwakopesha na sio kuanza kutudhalilisha huko duniani, mama saa100 awaite awaambie hizo hisa wanazotapanya serikali itazinunuaMfano hivi kweli tumeshindwa chimba wenyewe Hellium na kuuza wenyewe.
Soma hii document toka Hellium One Company.
http://www.helium-one.com/wp-content/uploads/2021/04/21-04-15-Helium-One-Presentation-April-2021.pdfCapital yake ya uwekezaji hivi tumeshindwa raise pesa na kuita wataalamu waje wajenge na tuwalipe..?
Mtazamo wangu tuu.
Shirika la serikali hawezi kupandisha bei ya huduma kizembe, shirika binafsi hawawezi kubeba nembo ya taifa kuonyesha ufahari wa nchi, shirika binafsi wakipata hasara mara moja haooo wanaondoka zao, nk,nk