Kwanini tuzo za BET2020 hakuna msanii hata mmoja kutoka Afrika Mashariki?

Kwanini tuzo za BET2020 hakuna msanii hata mmoja kutoka Afrika Mashariki?

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,818
Nimejaribu kucheck orodha sijaona hata msanii mmoja kutoka nyumban na EA kwa ujumla, hii maana yake nini? Mziki wetu umeshuka? Au wasanii wetu washalizika? Au tuseme ushindani umezidi...

Majina ya wanaowania tuzo kwa wasanii kutoka Afrika;

Burna boy (Nigeria), Innos B (Congo), Sho madjiz (Afrika kusini), S.PRI Noir (Ufaransa), Ninho (Ufaransa),Dave (Uingereza) na stormzy (Uingereza)
 
Wasanii wetu bado sana kushindana na hao watu tuzo ya kushinda sisi ni live act tu.
 
Back
Top Bottom