Kwanini Uber haziruhusiwi kuchukua abiria Mwalimu Julius Nyerere International Airport?

Mtaibia watalii
 
Mie nikiwa KIA nampigia boda wangu naruka kwa dakika 45 nae kafika huyooo nasepa sitaki upuuzi wakupanda tax za elfu sabini kama nauziwa
 
Inasikitisha sana, ubber humo huwa kama wauza madawa ya kulevya, unawapata kwa kificho. Huku ni kumpangia abiria usafiri wa kuchukua, mbona watu binafsi wanakujaga kuchujuliwa na magari yao, eti lengo ni kuwalindia ajira tax za ndani, upumba.avu kabisa.
 
MADEREVA TAX AIRPORT WAKATAA UBER KUCHUKUA ABIRIA ENEO LA UWANJA WA NDEGE (JNIA) : Hawalipi kodi, maegesho, usalama wa abiria. .....
Source: Nicco Media TV
 
Ningependa sana kupata uhakika kwenye maneno ya rangi nyekundu. Ni kweli Uber wana plate namba za biashara? Mbona nimepanda Uber ambazo hazina? Msaada kwa mwenye uhakika tafadhali!
 
Mi nikishuka zangu natoka nje Puma pale nakula bodaboda hadi nilikopaki gari fresh,niliwahi kupaki gari mle ndani kwa wiki moja niliimba alelele…bado kuna ujinga kwamba aliepanda ndege ana hela sana,dhana potofu na ya kipumbafu
Kwa SAA ni buku 2 Mara wiki ndo unalipa Jumla yake,sijui kwann wanafanya parking ghari sana wakati hakuna chochote kiongezwacho kwenye GARI yako
 
Kwa SAA ni buku 2 Mara wiki ndo unalipa Jumla yake,sijui kwann wanafanya parking ghari sana wakati hakuna chochote kiongezwacho kwenye GARI yako
2000Γ—168=336,000 TZS
Kwamba:168 ni masaa ktk wiki
 
kuna tamko rasmi, mwenye nalo afanye sharing kidogo.
 
Unamaana Uber siyo waaminifu ???????
 
UBBER ZINWVIBAOO VYARANGI YA BIASHARA...RAHISIIKUJUAA..HAPAASHIDAA ZILETAX ZAWAH PALENDANI KYRUHUSU N KULAZAWATOTO NA CHOOKILAINI EBO..JIPANGENI
Kwani kii bodi yako haina sehemu ya kugonga space ili kutengenisha maneno?!!!!!!😑😑😑😑😑
 

Airport kuna taxi za pale kwa ajili ya abiria na wanalipia ushuru JKNIA, wakiruhusu uber madereva wa pale airport hawatafanya kazi coz uber hawalipi ushuru na wanaingia na kutoka
 
Mzee Airport kuna mambo ya Parking fees.Ila wapo wanaoingia inategemea na uzoefu wa mtu
 
Juzi kati nimeitisha Uber kutoka hapo JNIA na aliingia hadi ndani kunichukua.... Seems sasa hivi hali imetulia, wanaingia. Mr. MTUI
 
Kulingana na vigezo na mashart, wanatakiwa kuwa na plate number za biashara. Pia nyinyi hamjaongelea suala la parking fee ambayo dereva Uber huingia kwa kuingia hapo Airport. Unaeweza mpata ni yule ameleta mtu anabuzi buzi kidogo (chini ya saa moja) kama kuna kichwa ndio safari. Either mkubaliane kuwa utalipa parking fee ndio aje kukubeba else tukutune Filling Station pale.
Ningependa sana kupata uhakika kwenye maneno ya rangi nyekundu. Ni kweli Uber wana plate namba za biashara? Mbona nimepanda Uber ambazo hazina? Msaada kwa mwenye uhakika tafadhali!
 
!!!!!!!!!!!?????????
Lugha nyingine ni kiboko
mm namuelewa asemavyo
Gari zote za UBER zina Plate no nyeupe (za biashara wanazolipa TRA km TAXI nyingine, ila wao hawana mistari ya ubavuni au nembo za makampuni mudguard ya ubavuni kulia.
Hivyo ukiita Uber popote mtandao unakupeleka kwa aliye karibu.
sasa kwa Airport huenda wamechongeana kuwa TAXI zisizojulikana zinaenda kuwadhuru wateja kwani hawatarudi tena hapo maskani. Kwa usalama huo uongozi wa Uwanja unaweza weka sharti hilo km vijiwe vyovyotena hata vya Bodaboda
cc Mr. MTUI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…