Kwanini Uber haziruhusiwi kuchukua abiria Mwalimu Julius Nyerere International Airport?

Kwani madereva taxi wakawaida hawaruhusiwi kujiunga uber??
Wanaruhusiwa kujiunga ila wanaona watakosa mapato,mfano anatokea abiria kutoka pale anaweza akampiga elfu 50 lakini kwa uba inaweza soma elfu 20 kwaiyo wanaona kama wanapunjika
 
Airport kuna taxi za pale kwa ajili ya abiria na wanalipia ushuru JKNIA, wakiruhusu uber madereva wa pale airport hawatafanya kazi coz uber hawalipi ushuru na wanaingia na kutoka
USHURU UNA MAANA GANI
HUJUI KILA GARI.IKIINGIA INALIPIÀ LIKEWISE BODA NA PIKPIK LAZIMA WABALIPIA WE UNAONGELEA USHURU UPIUSITAKE NIANDIKE KICONGO ZAIDI BACHOKA BAENDEZAOO
 
USHAJIULIZA KWANN AWAKO ZNZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…