Kwanini Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania hufanyika sana Mwezi Oktoba na siyo Miezi mingine?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wakati mkijiandaa Kunijibu GENTAMYCINE naendelea Kusisitiza kuwa tuacheni sana Imani za Uchawi / Ushirikina Okay?
 
Kwa sababu tulianza kufanya uchaguzi mwezi October. Mfano japo sio mwanzo wa uchaguzi, October 1995 na kila miaka mitano huishia October tena mwaka wa uchaguzi
 
Hiyo sio sababu mkuu.
Kwa nini uchaguzi wa kwanza haukufanyika miezi mingine tofauti na October? Why walichagua October. Ni kama kupandisha mwenge kilimanjaro tu
 
Kwa sababu za hali ya hewa; vivyo hivyo kwa Sensa, n.k
 
2005 ulifanyika December
Ulifanyika December baada ya kifo cha mgombea mwenza wa Chadema Jumbe Rajabu Jumbe siku 4 kabla ya uchaguzi tarehe 26 Oktober 2005.
Kulikuwa na sababu maalum.
Marekani wana siku yao maalum ya Uchaguzi Jumanne ya kwanza ya November kila baada ya miaka 4 na wao pia ni ushirikina?Mtu anaweza kawa kasoma lakini haachi ujinga wa kuamini ujinga.
 
2005 ulifanyika December
Miaka mingine yote ilifanyika Mwezi kama uliofanyika mwaka 200%? Kwahiyo hujui ni dharula gani ilifanya Uchanguzi Mkuu wa mwaka 2005 usifanyike Mwezi Oktoba kama ilivyozoeleka?
 
Asante kwa Kunijibia huyo Juha.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Miaka mingine yote ilifanyika Mwezi kama uliofanyika mwaka 200%? Kwahiyo hujui ni dharula gani ilifanya Uchanguzi Mkuu wa mwaka 2005 usifanyike Mwezi Oktoba kama ilivyozoeleka?
Kuna mgombea mwenza wa CDM alifariki.
 
Back
Top Bottom