Kwanini Ufaransa inafukuzwa Afrika?

Kwanini Ufaransa inafukuzwa Afrika?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Nchi ya Mali na burka Faso wamefukuza mambassada pamoja na majeshi ya Ufaransa nchini mwao na kuwambia hawataki mausiano ya kideplomasia na nchi hiyo.

Hii ina sura gani kwa Afrika?

Na kwanini Ufaransa anafukuzwa Afrika?
 
Nchi za Africa Magharibi hasa zilizotawaliwa na ufaransa zinaamini kbs kwamba Ufaransa ndio chanzo cha umaskini katika nchi hizo ya kwamba wanafadhili migogoro ya kila siku hili waendelee kusomba maliasili za nchi hizo.
 
Ufaransa,Belgium, Canada na USA ndio chanzo cha umasikini wa afrika.wanafadhili ugaidi na kuwafadhili viongozi mbumbumbu wenye kuitikia ndio ndio ndio mkuu ili wapore vyema rasilimali...
Kila mwaka ripoti ya CAG inatoka na taarifa mbaya za ufisadi unaofanywa katika nchi hii lkn hakuna hatua yoyote inayochukuliwa.

Toka uhuru hadi leo angalia ni fedha kiasi gani zimekopwa na zingine za misaada na mataifa ya Afrika lkn jiulize zimefanya nini ktk kulikwamua bara hili kutoka kwenye adha ya umaskini na mbona nyingi zimekuwa zikirudishwa tena na kufichwa hukohuko zilikotoka.

Kadri waafrika watakavyoendelea kuwa na fikra za kipumbavu kama zako hizo, ndivyo hili bara litaendelea kuwa "The Laughing Stock Of the World 🌎🌍."
 
Ufaransa,Belgium, Canada na USA ndio chanzo cha umasikini wa afrika.wanafadhili ugaidi na kuwafadhili viongozi mbumbumbu wenye kuitikia ndio ndio ndio mkuu ili wapore vyema rasilimali...
Wanaofadhili ugaidi ni waarabu na ndio maana wanawatumia waumini wa dini yao ambao nao katika kutekeleza majukumu yao ya kigaidi wanasema wazi tena bila kuficha kwamba wao wanampigania mungu wao anayeitwa "allah."

Sasa utatudanganyaje kwamba hayo mataifa ya magharibi ndio yanafadhili ugaidi na kama ni hivyo kwa nini waislam ndio wakubali kutumiwa na "Makafir" kufanya uovu huo kwa nini wasiwambie wawatumie wakristo basi.
 
Kwa hiyo Umasikini wa Tz una mkono wa nchi gani?
 
Unalima wewe Ila soko la dunia la mazao yako ni lao na wanapanga Bei,unachimba gesi na kutaka kuisafirisha toka visimani kwa kutumia mabomba yenye dimensions chanya kwako kibiashara,wanakwambia hawatokupa mkopo wa kutandaza Bomba hizo Bali za chini yake ambazo hazina tija kwako...na wewe uchumi wako ni WA kuuza rasilimali na si manufacturing...kasomesome neo colonialism na sababu za ukoloni ili upate upate walau kidogo sababu za ukoloni(malighafi)
 
Nchi ya Mali na burka Faso wamefukuza mambassada pamoja na majeshi ya Ufaransa nchini mwao na kuwambia hawataki mausiano ya kideplomasia na nchi hiyo.

Hii ina sura gani kwa Afrika?

Na kwanini Ufaransa anafukuzwa Afrika?
Hayo Mambo huwa yanatokea sana kwa nchi nyingine kuichoka nchi nyingine.

Hata Urusi ameshachokwa na washirika wake wa Zamani wa USSR. Urusi imeshafukuzwa huko Ulaya Mashariki na badala yake anaamua kuzivamia kijeshi. Nchi Kama Goergia,Moldova,Ukraine,Latvia,Estonia,Lithuania,Poland nk wameshaifukuza Urusi mpaka wengine kufikia kujiunga na NATO. Urusi imebaki kulaumu eti NATO EXPANSION bila kugundua kwamba imeshachokwa huko Ulaya Mashariki.

Vilevile,Ufaransa imekaa Afrika tangu enzi za Ukoloni na hivyo mpaka Sasa imeshaanza kuchokwa kwasababu wamegundua kwamba Uhusiano na Ufaransa hauna faida kwahiyo acha wajaribu Mahusiano na Urusi. Uzuri Ufaransa ikifukuzwa inaondoka tofauti na Urusi ambayo ukiifukuza nchini mwako Basi jua kwamba utavamiwa kijeshi Kama jeshi lako Ni dhaifu.
 
Nonsense

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Sasa wewe unataka majibuu au unataka watu wachangie maana majibu unayo tayari kwani Nani asiyejua hizo n hi pesa zao zina milikiwa na ufaransa ilo moja pili tafuta majibu mwenyewe usitaje kutafuniwa
Nchi ya Mali na burka Faso wamefukuza mambassada pamoja na majeshi ya Ufaransa nchini mwao na kuwambia hawataki mausiano ya kideplomasia na nchi hiyo.

Hii ina sura gani kwa Afrika?

Na kwanini Ufaransa anafukuzwa Afrika?
 
Unalima wewe Ila soko la dunia la mazao yako ni lao na wanapanga Bei,unachimba gesi na kutaka kuisafirisha toka visimani kwa kutumia mabomba yenye dimensions chanya kwako kibiashara,wanakwambia hawatokupa mkopo wa kutandaza Bomba hizo Bali za chini yake ambazo hazina tija kwako...na wewe uchumi wako ni WA kuuza rasilimali na si manufacturing...kasomesome neo colonialism na sababu za ukoloni ili upate upate walau kidogo sababu za ukoloni(malighafi)
Unachekesha sana, tukiondoa madini ni kitu gani twauza marekani?
Hiyo gesi si tulikopa kujenga bomba
 
Lawama zimuendee muzungu kwa ujinga wetu, kweli umasikini na ujinga hautaisha

Wanaowapa ardhi na mali ni hao hao weusi sasa badala ya kubadili Sera wanalaumu muzungu
 
Ufaransa Haijafukuzwa Africa hata kidogo...hizo serikali za Sahel zimechukia baada ya kukosolewa na Ufaransa kuhusu haki za binadamu na kukosekana utawala bora pia kushirikiana na Majambazi wa Wagner waliowekewa vikwazo na nchi za magharibi.

Ila zikija tawala rafiki na France kwenye hizo nchi uhusiano utarudi upya.

Kawaida Sana hali kama hiyo kutokea.
Nchi ya Mali na burka Faso wamefukuza mambassada pamoja na majeshi ya Ufaransa nchini mwao na kuwambia hawataki mausiano ya kideplomasia na nchi hiyo.

Hii ina sura gani kwa Afrika?

Na kwanini Ufaransa anafukuzwa Afrika?
 
Nchi za afrika zina fukuza mabeberu [emoji23] .awamu ya tano ana kwambia pesa zetu za ndani mara hoo mabeberu hawa tupendi.

cha kushangaza hospitali za serikali nyingi zimejengwa kwa msaada ya USAID kuna moja hipo wilaya X hapa alafu wanajisifu mapato ya ndani .
 
Ufaransa ni wa hovyo sana. Wanajitia kuja kulinda amani lakini hamna kitu wanafanya. Walikaa CAR wakijitia kulinda amani miaka na miaka bila lolote la maana kuonekana. Warusi wakaja, ndani ya miezi kadhaa hali ikawa shwari kabisa. Nako hawatakiwi.
 
Wanaofadhili ugaidi ni waarabu na ndio maana wanawatumia waumini wa dini yao ambao nao katika kutekeleza majukumu yao ya kigaidi wanasema wazi tena bila kuficha kwamba wao wanampigania mungu wao anayeitwa "allah."

Sasa utatudanganyaje kwamba hayo mataifa ya magharibi ndio yanafadhili ugaidi na kama ni hivyo kwa nini waislam ndio wakubali kutumiwa na "Makafir" kufanya uovu huo kwa nini wasiwambie wawatumie wakristo basi.
Mwlimu wako kapata kazi sana kukufundisha unaonekana hiko kichwa kina shida mada inazungumzia ufaransa ww umetoka huko unaleta mada ya waarabu kwahyo unataka kuniambia wazungu hawafadhili ugaidi?
 
Back
Top Bottom