Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nini kinachokuzuia wewe kupanga bei za mazao yako?
Unalima wewe Ila soko la dunia la mazao yako ni lao na wanapanga Bei,unachimba gesi na kutaka kuisafirisha toka visimani kwa kutumia mabomba yenye dimensions chanya kwako kibiashara,wanakwambia hawatokupa mkopo wa kutandaza Bomba hizo Bali za chini yake ambazo hazina tija kwako...na wewe uchumi wako ni WA kuuza rasilimali na si manufacturing...kasomesome neo colonialism na sababu za ukoloni ili upate upate walau kidogo sababu za ukoloni(malighafi)