Kwanini Ufaransa inafukuzwa Afrika?

Kwanini Ufaransa inafukuzwa Afrika?

Na nchi zilizotawaliwa na ufaransa nasikia kuna hela nyingi sana wanailipa ufaransa kila mwaka
 
Ufaransa, Belgium, Canada na USA ndio chanzo cha umasikini wa Afrika wanafadhili ugaidi na kuwafadhili viongozi mbumbumbu wenye kuitikia ndio ndio ndio mkuu ili wapore vyema rasilimali.
Hizi ndo nchi sizipendi kuzisikia. Hasa belgium. Hii nchi imeua viongozi wengi sana na waasiwengi wanaosaliti nchi za africa huenda belgium na usa
 
Kila mwaka ripoti ya CAG inatoka na taarifa mbaya za ufisadi unaofanywa katika nchi hii lkn hakuna hatua yoyote inayochukuliwa.

Toka uhuru hadi leo angalia ni fedha kiasi gani zimekopwa na zingine za misaada na mataifa ya Afrika lkn jiulize zimefanya nini ktk kulikwamua bara hili kutoka kwenye adha ya umaskini na mbona nyingi zimekuwa zikirudishwa tena na kufichwa hukohuko zilikotoka.

Kadri waafrika watakavyoendelea kuwa na fikra za kipumbavu kama zako hizo, ndivyo hili bara litaendelea kuwa "The Laughing Stock Of the World [emoji289][emoji288]."
[emoji90]
 
Wanaofadhili ugaidi ni waarabu na ndio maana wanawatumia waumini wa dini yao ambao nao katika kutekeleza majukumu yao ya kigaidi wanasema wazi tena bila kuficha kwamba wao wanampigania mungu wao anayeitwa "allah."

Sasa utatudanganyaje kwamba hayo mataifa ya magharibi ndio yanafadhili ugaidi na kama ni hivyo kwa nini waislam ndio wakubali kutumiwa na "Makafir" kufanya uovu huo kwa nini wasiwambie wawatumie wakristo basi.
Umeisoma thd na kuielewa?

Unaonekana udini unakutesa sana,kunywa maji upumzike kwanza.
 
Umeisoma thd na kuielewa?

Unaonekana udini unakutesa sana,kunywa maji upumzike kwanza.
Ngoja nikwambie nilivyo; mimi naamini kwa Mungu lakini siamini katika dini kwani naamini dini zilianzishwa na wanadamu tu na ndio maana Mungu hajasema kwamba dini ndio itamwingiza mtu peponi.

Kwa hiyo kama wewe unaamini kwamba kuna dini itakuingiza peponi basi nakupa pole sana.
 
Mwlimu wako kapata kazi sana kukufundisha unaonekana hiko kichwa kina shida mada inazungumzia ufaransa ww umetoka huko unaleta mada ya waarabu kwahyo unataka kuniambia wazungu hawafadhili ugaidi?
Tupe tu ushahidi kuhusiana na hii mada ya Afrika Magharibi kwa hawa jihadists wanaompigania mungu wao anayeitwa allah jinsi wanavyo fadhiliwa na hao wazungu.
 
Nchi za Africa Magharibi hasa zilizotawaliwa na ufaransa zinaamini kbs kwamba Ufaransa ndio chanzo cha umaskini katika nchi hizo ya kwamba wanafadhili migogoro ya kila siku hili waendelee kusomba maliasili za nchi hizo.
Sio wana amini,France ndio chanzo cha umaskini kwenye hizo nchi.Kila mwaka wanatakiwa kupeleka dola kati ya b20 ufaransa.
 
Ngoja nikwambie nilivyo; mimi naamini kwa Mungu lakini siamini katika dini kwani naamini dini zilianzishwa na wanadamu tu na ndio maana Mungu hajasema kwamba dini ndio itamwingiza mtu peponi.

Kwa hiyo kama wewe unaamini kwamba kuna dini itakuingiza peponi basi nakupa pole sana.
U can't run from yourself
Udini unakusumbua.
 
Usa na belgium

Ulisahau na uingereza iliyomweka madarakani Nyerere baada kupinduliwa na wanajeshi pia kwa kusaidia kuipindua serika iliyochaguliwa na watu zanzibar chini ya Tume huru ya uchaguzi
 
Ufaransa Haijafukuzwa Africa hata kidogo...hizo serikali za Sahel zimechukia baada ya kukosolewa na Ufaransa kuhusu haki za binadamu na kukosekana utawala bora pia kushirikiana na Majambazi wa Wagner waliowekewa vikwazo na nchi za magharibi.

Ila zikija tawala rafiki na France kwenye hizo nchi uhusiano utarudi upya.

Kawaida Sana hali kama hiyo kutokea.
Wafaransa wezi sana , bora Wagner wako serious sana na watu wameona matokeo chanya
 
Kila mwaka ripoti ya CAG inatoka na taarifa mbaya za ufisadi unaofanywa katika nchi hii lkn hakuna hatua yoyote inayochukuliwa.

Toka uhuru hadi leo angalia ni fedha kiasi gani zimekopwa na zingine za misaada na mataifa ya Afrika lkn jiulize zimefanya nini ktk kulikwamua bara hili kutoka kwenye adha ya umaskini na mbona nyingi zimekuwa zikirudishwa tena na kufichwa hukohuko zilikotoka.

Kadri waafrika watakavyoendelea kuwa na fikra za kipumbavu kama zako hizo, ndivyo hili bara litaendelea kuwa "The Laughing Stock Of the World [emoji289][emoji288]."
Ndio tuseme ishaloa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hayo Mambo huwa yanatokea sana kwa nchi nyingine kuichoka nchi nyingine.

Hata Urusi ameshachokwa na washirika wake wa Zamani wa USSR. Urusi imeshafukuzwa huko Ulaya Mashariki na badala yake anaamua kuzivamia kijeshi. Nchi Kama Goergia,Moldova,Ukraine,Latvia,Estonia,Lithuania,Poland nk wameshaifukuza Urusi mpaka wengine kufikia kujiunga na NATO. Urusi imebaki kulaumu eti NATO EXPANSION bila kugundua kwamba imeshachokwa huko Ulaya Mashariki.

Vilevile,Ufaransa imekaa Afrika tangu enzi za Ukoloni na hivyo mpaka Sasa imeshaanza kuchokwa kwasababu wamegundua kwamba Uhusiano na Ufaransa hauna faida kwahiyo acha wajaribu Mahusiano na Urusi. Uzuri Ufaransa ikifukuzwa inaondoka tofauti na Urusi ambayo ukiifukuza nchini mwako Basi jua kwamba utavamiwa kijeshi Kama jeshi lako Ni dhaifu.
Dah!![emoji38][emoji850]
 
Mwlimu wako kapata kazi sana kukufundisha unaonekana hiko kichwa kina shida mada inazungumzia ufaransa ww umetoka huko unaleta mada ya waarabu kwahyo unataka kuniambia wazungu hawafadhili ugaidi?
Oya achana nayo ishaloa hiyo [emoji1][emoji1]
 
Nimekuambia dini haiingizi mtu mbinguni hivyo sina sababu ya kuamini dini kwani ni sawa na siasa tu.
Leta ushahidi kua dini haiingizi mtu mbinguni,hayo maneno umeyapata wapi? au ndio umeamua kujiaminisha hivyo tu wewe mwenyewe?
 
Hayo Mambo huwa yanatokea sana kwa nchi nyingine kuichoka nchi nyingine.

Hata Urusi ameshachokwa na washirika wake wa Zamani wa USSR. Urusi imeshafukuzwa huko Ulaya Mashariki na badala yake anaamua kuzivamia kijeshi. Nchi Kama Goergia,Moldova,Ukraine,Latvia,Estonia,Lithuania,Poland nk wameshaifukuza Urusi mpaka wengine kufikia kujiunga na NATO. Urusi imebaki kulaumu eti NATO EXPANSION bila kugundua kwamba imeshachokwa huko Ulaya Mashariki.

Vilevile,Ufaransa imekaa Afrika tangu enzi za Ukoloni na hivyo mpaka Sasa imeshaanza kuchokwa kwasababu wamegundua kwamba Uhusiano na Ufaransa hauna faida kwahiyo acha wajaribu Mahusiano na Urusi. Uzuri Ufaransa ikifukuzwa inaondoka tofauti na Urusi ambayo ukiifukuza nchini mwako Basi jua kwamba utavamiwa kijeshi Kama jeshi lako Ni dhaifu.
Unaulizwa kuhusu ufaransa we unaleta blah blah nyingi za kuilaumu Urusi Nanda kwenye mada husiki
 
Back
Top Bottom