Kwanini Ufaransa inafukuzwa Afrika?

Na nchi zilizotawaliwa na ufaransa nasikia kuna hela nyingi sana wanailipa ufaransa kila mwaka
 
Ufaransa, Belgium, Canada na USA ndio chanzo cha umasikini wa Afrika wanafadhili ugaidi na kuwafadhili viongozi mbumbumbu wenye kuitikia ndio ndio ndio mkuu ili wapore vyema rasilimali.
Hizi ndo nchi sizipendi kuzisikia. Hasa belgium. Hii nchi imeua viongozi wengi sana na waasiwengi wanaosaliti nchi za africa huenda belgium na usa
 
[emoji90]
 
Umeisoma thd na kuielewa?

Unaonekana udini unakutesa sana,kunywa maji upumzike kwanza.
 
Umeisoma thd na kuielewa?

Unaonekana udini unakutesa sana,kunywa maji upumzike kwanza.
Ngoja nikwambie nilivyo; mimi naamini kwa Mungu lakini siamini katika dini kwani naamini dini zilianzishwa na wanadamu tu na ndio maana Mungu hajasema kwamba dini ndio itamwingiza mtu peponi.

Kwa hiyo kama wewe unaamini kwamba kuna dini itakuingiza peponi basi nakupa pole sana.
 
Mwlimu wako kapata kazi sana kukufundisha unaonekana hiko kichwa kina shida mada inazungumzia ufaransa ww umetoka huko unaleta mada ya waarabu kwahyo unataka kuniambia wazungu hawafadhili ugaidi?
Tupe tu ushahidi kuhusiana na hii mada ya Afrika Magharibi kwa hawa jihadists wanaompigania mungu wao anayeitwa allah jinsi wanavyo fadhiliwa na hao wazungu.
 
Nchi za Africa Magharibi hasa zilizotawaliwa na ufaransa zinaamini kbs kwamba Ufaransa ndio chanzo cha umaskini katika nchi hizo ya kwamba wanafadhili migogoro ya kila siku hili waendelee kusomba maliasili za nchi hizo.
Sio wana amini,France ndio chanzo cha umaskini kwenye hizo nchi.Kila mwaka wanatakiwa kupeleka dola kati ya b20 ufaransa.
 
U can't run from yourself
Udini unakusumbua.
 
Usa na belgium


Ulisahau na uingereza iliyomweka madarakani Nyerere baada kupinduliwa na wanajeshi pia kwa kusaidia kuipindua serika iliyochaguliwa na watu zanzibar chini ya Tume huru ya uchaguzi
 
Wafaransa wezi sana , bora Wagner wako serious sana na watu wameona matokeo chanya
 
Ndio tuseme ishaloa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Dah!![emoji38][emoji850]
 
Mwlimu wako kapata kazi sana kukufundisha unaonekana hiko kichwa kina shida mada inazungumzia ufaransa ww umetoka huko unaleta mada ya waarabu kwahyo unataka kuniambia wazungu hawafadhili ugaidi?
Oya achana nayo ishaloa hiyo [emoji1][emoji1]
 
Nimekuambia dini haiingizi mtu mbinguni hivyo sina sababu ya kuamini dini kwani ni sawa na siasa tu.
Leta ushahidi kua dini haiingizi mtu mbinguni,hayo maneno umeyapata wapi? au ndio umeamua kujiaminisha hivyo tu wewe mwenyewe?
 
Unaulizwa kuhusu ufaransa we unaleta blah blah nyingi za kuilaumu Urusi Nanda kwenye mada husiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…