Unalima wewe Ila soko la dunia la mazao yako ni lao na wanapanga Bei,unachimba gesi na kutaka kuisafirisha toka visimani kwa kutumia mabomba yenye dimensions chanya kwako kibiashara,wanakwambia hawatokupa mkopo wa kutandaza Bomba hizo Bali za chini yake ambazo hazina tija kwako...na wewe uchumi wako ni WA kuuza rasilimali na si manufacturing...kasomesome neo colonialism na sababu za ukoloni ili upate upate walau kidogo sababu za ukoloni(malighafi)
Ulibahatika kupita shule!?Nini kinachokuzuia wewe kupanga bei za mazao yako?
Anayesema dini inamwingiza mtu mbinguni ndio atoe uthibitisho wa wapi Mungu kasema hilo.Leta ushahidi kua dini haiingizi mtu mbinguni,hayo maneno umeyapata wapi? au ndio umeamua kujiaminisha hivyo tu wewe mwenyewe?
Kumbe nilikua najadili na mtu mwenye low IQAnayesema dini inamwingiza mtu mbinguni ndio atoe uthibitisho wa wapi Mungu kasema hilo.
Wanalipia nini sasa ? Au madeni ?Na nchi zilizotawaliwa na ufaransa nasikia kuna hela nyingi sana wanailipa ufaransa kila mwaka