sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Wanatumia bongo zao, wenzetu tumeamua kuzitumia kwenye siasa chafu pekee.Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje.
Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower.
Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia nchi kuendelea kuzalisha umeme wa kutosha.
Tukajifunze.
Mkuu ni kwa sababu huko hakuna CCM [emoji23][emoji23][emoji23]Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje.
Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower.
Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia nchi kuendelea kuzalisha umeme wa kutosha.
Tukajifunze.
Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje.
Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower.
Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia nchi kuendelea kuzalisha umeme wa kutosha.
Tukajifunze.
Shirima, acha hizo, mmekata miti milioni tatu mkatengeneza jangwa, Leo mnalia niniIpo mito isiyokauka kizembe zembe kwa vijua uchwara kama huku kwetu.
Unaishi Uganda na misri?huo mgao uko wapi mbona ninapoishi hakuna mgao wala majiNafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje.
Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower.
Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia nchi kuendelea kuzalisha umeme wa kutosha.
Tukajifunze.
Hawana January, February and the likes.Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje.
Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower.
Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia nchi kuendelea kuzalisha umeme wa kutosha.
Tukajifunze.
Waziri wao wa Nishati siyo Januari Makamba. Wapo mainjinia wakiongoza mashirika.Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje.
Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower.
Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia nchi kuendelea kuzalisha umeme wa kutosha.
Tukajifunze.
Pamoja na swali lako kuwa zuri, lakini huwezi kulinganisha mto Nile na hivi vijimito vyetu hapa. Ukame wa kuathiri ujazo wa maji mto Nile ukitokea, basi sisi huku tayari rutakuwa kwenye hali mbaya zaidi, siyo kwenye umeme pekee, bali hata kwenye mambo mengine, hasa chakula.Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje.
Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower.
Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia nchi kuendelea kuzalisha umeme wa kutosha.
Tukajifunze.