Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Misri ni Misri,
Tanzania ni Tanzania.
Usilinganishe uji na matope.
Tanzania ni Tanzania.
Usilinganishe uji na matope.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na swali lako kuwa zuri, lakini huwezi kulinganisha mto Nile na hivi vijimito vyetu hapa. Ukame wa kuathiri ujazo wa maji mto Nile ukitokea, basi sisi huku tayari rutakuwa kwenye hali mbaya zaidi, siyo kwenye umeme pekee, bali hata kwenye mambo mengine, hasa chakula.
Lakini kumbuka kwa nini Egypt yupo tayari kwenda vitani na yeyote anayetumia maji hayo ya Nile. Hujasikia akipiga kelele juu ya mradi wa Ethiopia?
Uganda wao wana tatizo jingine. Mabwawa yao yanasababisha mafuriko katika maeneo kama ya Kisumu na kwingine mvua zinapozidi kuwa nyingi. Kwa hiyo usidhani kwamba hata wao hawana matatizo.
Niwaambieni jambo,
Moja ya issue iliomtesa JPM ni mkataba wa Dowans na Symbion ambao JK alikuwa ameingia wakati wake,
Mkataba ile ulisainiwa kww vipengele vya kuifunga Tanesco isichomoke,
1: Mkataba ulikuwa inaitaka Tanesco itumie umeme wa Dowans/Symbion kwa Miaka yote,
2: Mkataba ulikuwa umeandika Tanesco watumie au wasitumie Umeme wa Dowans / Symbion wanapaswa kumlipa kila siku ,Kila Mwezi,maisha yote...
JPM alipouona akamteua Mkurugenzi DR Mwinuka Clean , Procurement clean man na wanasheria kadhaa ili wachambue waangalie weakness ilipo ili wauvunje,
Walipokaa walifanikiwa kupata vipengele vya kuwakamata Dowans/Symbion
1: Walipata Kuwa Dowans /Symbion hawakuwahi kulipa Kodi Miaka yote walikuwa wanadaiwa Trillion zaidi 40 ukwepaji kodi
2: Dowans/Symbion hawakuwa na Mitambo ya kuzalishia ,Kumbe walikuwa wanatumia Mitambo ya serikali kww Hiyo ikawa point Muhimu kuwa hawakuleta Mitambo mipya kama mkataba unavyo sema.
Matokeo yake:
JPM akawa amwakamata pabaya Dowans na Symbion ya JK Kikwete na Obama....
Wakaingia kwenye mazungumzo Symbion wakaona kwa vigezo hivyo hawachomoki
Bahati Mbaya Jpm akafariki wakiwa katikati kutaka kukimbia na kuachana kudai Serikali
Baadae Team Msoga ,Akiwemo Rostam na wenzake wakabuni mkakati wa namna ya kurudisha fedha ile
Wakajifanya kumzunguka Mama na kudanganya kuwa amteue Makamba,Mama bila kujua akamteua,
Makamba alipofika ili utekelezaji wa malipo Symbion ufanyinikiwe Makamba akaivunja Team yote ya Tanesco, akamtimua DR Mwinuka na team yake yote akamteua jamaa aliekuwepo DStv ambae hata calculation ya umeme hana uzoefu,
Akateua board ya Tanesco mpya wote wakiwemo wamiliki / CEO wa Dowans na Symbion na kubadilisha baadhi ya watalaamu ambao wamekutanishwa na wamiliki wa Dowans na Symbion Kule Dubai,JK Kikwete nadhani mmeona picha zile Kule Dubai wako pamoja linalojadiliwa hata Mama Samia hajui hata sisi wananchi hatujui
3: Lakini kubwa ni kuhakikisha Umeme wa Rufiji wanaletwa watu nyuma ya Pazia kununua Share na watajifanya wanaleta mitaji,watajifanya wanakuja kiwekeza lengo ni kuwa mradi Dowans na Symbion wapate cha kufanya
4: Mkakati mzima iliopo wametengeneza kumhujumu mama Samia 2025 watahakikisha hagombei na plan zao wanazopanga sasa hivi hatari lengo ili Makamba apate nafasi waendelee na Upigaji na utekelezaji
4 : Jambo mbaya mkakati mbaya uliopo ni Kuihujumu serikali ya Mama Samia
Nini kifanyike,
1: Mama Ondoa Makamba na team yote Nishati,
2: Mama asiruhusu uwekezaji wowote kwenye umeme ni bora tujenge Taratibu tutamaliza mradi umeme itarudi tena kawaida
3: Mama aangalie vizuri team yake ndani ya ofisi yake na Chama kww sababu JK anazidi kupandia mizizi
4: Mama asikubali kupangiwa na mtu yeyote na mama aache ushauri nje ya Idara ya Tiss ingawa na kwenye kunahitaji reshafle
5: Mama arudishe zile taskforce zilizowekwa na JPM kudhibiti maovu ikiwemo ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa mizigo Bandarini
6: Kuna watu wanauza Risiti za EFD kariakoo imepelekea kushuka kwa mapato,
7: Mama Ahakikishe vituo vya Mizani iwe ni sehemu ya kukagulia Kodi na Risiti za EFD atabaini mengi.
8: Symbion /Dowans wapelekwe Mahakamani kwa kukwepa kodi na uhujumu Uchumi.
9: JK Kikwete apunguziwe safari za nje maana wananchi wanahoji why mkwere kila siku safari budget anatoa wapi?
10: Mama atengue mkuu wa Mkoa Dar essalaam halafu Ras wa Dar awe mkuu wa Mkoa
11: Maeneo ya wazo wapewe Machinga na Mama Ntilie kwa muda wakati huo yanajengwa Majengo kwa ajili ya wamachinga...zoezi hili ni kwa Dar es salaam Kariakoo na Posts,
Walioko mbezi waachwe waendelee
12: Mama aende kwenye Mafuta kuna hujuma huko nyingi sana ....
13: Mama aachwe afanye kazi kww uhuru bila kuingiliwa na JK maana hamtakii mema.
Akikuita, uniete na mimi pia!Wakikupa jibu linaloeleweka niite.
Kwahiyo Tz ni waharibifu wa mazingira kuliko China na USA ambao wanalipa kwa sasa? Kama vipi tulipe.Shirima, acha hizo, mmekata miti milioni tatu mkatengeneza jangwa, Leo mnalia nini
Hamna cha kujifunza popote, bila kuliondoa hili dude linaitwa CCM sio janga la umeme tuu bali tunaweza kukosa hata maji ya kumwagilia mchicha na pia ya kuoga.Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje.
Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower.
Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia nchi kuendelea kuzalisha umeme wa kutosha.
Tukajifunze.
Ukivitaja hivyo vimito itakuwa vizuriIpo mito isiyokauka kizembe zembe kwa vijua uchwara kama huku kwetu.
Huyu Mwamba ni muongo Sana.
Kisumu ipo Uganda??.Pamoja na swali lako kuwa zuri, lakini huwezi kulinganisha mto Nile na hivi vijimito vyetu hapa. Ukame wa kuathiri ujazo wa maji mto Nile ukitokea, basi sisi huku tayari rutakuwa kwenye hali mbaya zaidi, siyo kwenye umeme pekee, bali hata kwenye mambo mengine, hasa chakula.
Lakini kumbuka kwa nini Egypt yupo tayari kwenda vitani na yeyote anayetumia maji hayo ya Nile. Hujasikia akipiga kelele juu ya mradi wa Ethiopia?
Uganda wao wana tatizo jingine. Mabwawa yao yanasababisha mafuriko katika maeneo kama ya Kisumu na kwingine mvua zinapozidi kuwa nyingi. Kwa hiyo usidhani kwamba hata wao hawana matatizo.
Hawana January, February and the likes.
Huyu Mwamba ni muongo Sana.
Na tunapata madhara kubwa Sana.Unprincipled - njaa iliyopitiliza ni kipaumbele [emoji16][emoji16]
Na tunapata madhara kubwa Sana.
Unalialia bila suluhisho,useless as themUkame upo tangu Enzi za akina Ibrahimu , Isaka na Yakobo , upo tangu Enzi za nabii Eliya , Leo hii mtu anakuja na visababu et mabadriko ya tabia ya nchi aisee hii inchi ina viongozi vilaza Sana , Enzi za kikwete bwawa la mtera halikutumika Enzi za jiwe likatumika , few months baada ya kifo cha jiwe tunaambiwa Bwawa lipo out of range , mara crane ,mara mitambo yaan bla bla kibao, ili watu wafanye biashara huu uongozi Mungu anatakiwa auondoe madarakani mara moja pamoja na Wazir husika...sometime tuombeane Vifo tu
Tatizo siyo kukata miti kwa sababu miti ipo pia ili ikatwe kwa matumizi mengine tatizo ni upandaji wa miti serikali inashindwa kutumia wafungwa na magereza kuzarasha miche na kutumia nguvu kazi ya wafunga kuipanda ,ila kila siku ni kelele tu serikali nayo inalalamika kama raia wa kawaida ....ni upumbavuShirima, acha hizo, mmekata miti milioni tatu mkatengeneza jangwa, Leo mnalia nini
JIFUNZE KUHUSU MTO NILE MKUUNafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje.
Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower.
Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia nchi kuendelea kuzalisha umeme wa kutosha.
Tukajifunze.