Kwanini Uganda na Egypt hawana mgao wa umeme na wanategemea maji kuzalisha umeme?



Tupo juu wapo chini. Watatugemea siku zote kuishi,maisha yao. Vyanzo kwetu ni vingi sana.
 

Jeshi lihusuke. Kusimamia serikali ya mpito Mwaka mmoja miwili. Kuunda katiba mpya bila kinga kwa wastaafu, tume huru, kuwapa wagombea huru nafasi. Muungano ujadiliwe.

Katiba mpya kutoa cheo cha Vice President, uchaguzi mpya, katiba mpya, tume huru,wongea wote wachunguzwe, kuhusu pesa, maadili uadilifu uaminifu
 
Shirima, acha hizo, mmekata miti milioni tatu mkatengeneza jangwa, Leo mnalia nini
Kwahiyo Tz ni waharibifu wa mazingira kuliko China na USA ambao wanalipa kwa sasa? Kama vipi tulipe.

Ni mjinga tu anaweza kuelewa sababu hii ikaeleweka kwake
 
Hamna cha kujifunza popote, bila kuliondoa hili dude linaitwa CCM sio janga la umeme tuu bali tunaweza kukosa hata maji ya kumwagilia mchicha na pia ya kuoga.
Nchi ambayo viongozi wake wakuu wamekalia uongo tuu na wengine kama mazuzu wanashangilia bila aibu ni ya hovyo sana.
Tatizo ni CCM pekee, na ukipata Kansa ya mguuni dawa ni kuukata tuu la sivyo itakula mwili mzima. Tuiondoe hii kansa CCM ndio pona ya nchi na vizazi vijavyo
 
Kisumu ipo Uganda??.
 
mabwawa apa TZ yamejaa matope na kupunguza kina cha maji
 
Unalialia bila suluhisho,useless as them
 
Shirima, acha hizo, mmekata miti milioni tatu mkatengeneza jangwa, Leo mnalia nini
Tatizo siyo kukata miti kwa sababu miti ipo pia ili ikatwe kwa matumizi mengine tatizo ni upandaji wa miti serikali inashindwa kutumia wafungwa na magereza kuzarasha miche na kutumia nguvu kazi ya wafunga kuipanda ,ila kila siku ni kelele tu serikali nayo inalalamika kama raia wa kawaida ....ni upumbavu
 
JIFUNZE KUHUSU MTO NILE MKUU
 
Sisi tumekalili kuwa maji tu ndio chanzo Cha kuzalisha umeme.
 
na wanatumia ziwa victoria na mto nile(mto kagera) ambavyo sisi tunavyo pia hapo uki jiuliza unaona ngoja niwe mpole 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…