Kwanini Uganda na Egypt hawana mgao wa umeme na wanategemea maji kuzalisha umeme?

Kwahiyo Tz ni waharibifu wa mazingira kuliko China na USA ambao wanalipa kwa sasa? Kama vipi tulipe.

Ni mjinga tu anaweza kuelewa sababu hii ikaeleweka kwake
Mjinga Kama wewe huwezi kuelewa ninachokisema
 
Viongozi wa Serikali ya CCM waongo ,wapiga dil
Tuliambiwa mradi wa gesii ukikamilika,tutauza nchi za jirani.Tupo wapi
 
Ninakubaliana na wewe juu ya CCM, lakini siyo kuhusu hiyo "kansa ya mguu."
 
Watu wamekuwa wababe kwenye vyanzo vya maji kwani hujaambiwa juzi mwanza mkuuu.
 

A Glimpse of How Cairo's Residents Cope with Power Shortages​

June 19, 2019 12:13 PM
Egypt has been working to diversify its sources of electricity, building wind, solar and nuclear plants, in addition to boosting traditional oil and gas-fired energy production in a bid to end chronic power shortages. The push comes after the country experienced crippling blackouts during the summer of 2014. As temperature soared, so did the tempers of Egyptians. The year before, anger over power cuts had fueled demonstrations that led to the fall of the Muslim Brotherhood government and the ouster of the late President Mohamed Morsi. Today, as in years past, many Egyptians blame corruption for the decrepit state of Egypt’s power grid and many welcome the government’s efforts to modernize it.
 
sijui unaishi dunia gani mkuu
 
Chanzo cha maji ya MTO naili niz iwa Victoria,kumbuka 3/4 ya maji ya ziwa Victoria yapo Tanzania kama shida in maji ya mito kukauka unaweza kutengeneza maporomoko ya maji kwa kutumia maji ya ziwa victoria
 
Hivi Nchi ilipofikia kuikomboa ni apatikane mtu aliye nje ya mfumo wa siasa za Tanzania aweke mifumo sawa
 
Chanzo cha maji ya MTO naili niz iwa Victoria,kumbuka 3/4 ya maji ya ziwa Victoria yapo Tanzania kama shida in maji ya mito kukauka unaweza kutengeneza maporomoko ya maji kwa kutumia maji ya ziwa victoria
Mkuu, 'Econometrician', hilo haliwezekani kabisa.

Ziwa Victoria ni kama' baseni'tu kubwa lililojazwa maji, na vimirija vidogovidogo (vimito) toka sehemu mbalimbali vikijaza maji yake kwenye baseni hilo. Panapokuwepo na ukame, na hivyo vimirija vinakauka, na jua linabeba sehemu kubwa ya maji, ujazo wa hilo baseni nao hupungua.

Sasa hapa wewe unapendekeza tuweke maporomoko ya maji toka kwenye hili baseni, si ndio tutakuwa tumeliua ziwa kabisa? Hata hayo maji yanayochukuliwa ziwani kupelekwa Shinyanga, Tabora na kwingine, sehemu hizo zikizidi kupanuka ujazo wa maji ndani ya ziwa nao utabadilika kufuatana na kiasi kinachochotwa humo kwa matumizi hayo, na kama mvua za kutosha zinanyesha au la.

Bahati ya Uganda ni kwamba wao mto Nile ulishakuwepo toka maumbile, kwa hiyo wanatumia fursa hiyo kuchenjua umeme. Kamwe haiwezekani kabisa kwa sisi kutumia maji ya ziwa kwa matumizi ya namna hiyo bila ya kuathiri ziwa lenyewe. Labda ipatikane teknologia nyingine ambayo ni 'efficient zaidi na haipotezi maji mengi kwa kufua umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…