Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Yahudi umefurahi sana
Sanaaa mkuu, it just cracks me up how much you guys are in a cult then you call it religion😂😂Yahudi umefurahi sana
Defensive mechanism of the first degree.Quran 3 : 7
"Yeye ndiye aliyekuteremshia Kitabu. Ndani yake mna aya zilizo wazi (muhkam), hizo ndizo msingi wa Kitabu na nyingine ni aya zenye utata (mutashabih). Basi wale ambao mioyoni mwao mna upotovu hufuata zile zilizo na utata, wakitafuta fitina na kutafuta tafsiri yake. Na hakuna ajuaye tafsiri yake isipokuwa Mwenyezi Mungu. Na wale walio thabiti katika elimu husema: “Tumeziamini; zote zinatoka kwa Mola wetu.” Na hakuna anayekumbuka ila wenye akili."
..."waacheni...wapigeni"..(!?)Siyo kuhamasisha mafarakano na ugomvi?Qurani 4:34 (sehemu ya aya)
“…na wale wanawake mnaoona wana uasi, waonyeni, waacheni peke yao vitandani, na wapigeni. Lakini wakikutii basi msitafute njia dhidi yao…”
😂😂😂Eti
Anayetaka Dini isiyokuwa ya kiislamu haitakubalika kwake:
Utasikia
Hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake:
Kinajifagilia balaa:
Na Amri ilitolewa:
"Whoever leave the Religion Kill him:"
Dini isiyokuwa na shaka inatumiaje ulaghai na vitisho:
Hapo shida Iko wapi hauoni mafundisho mazuri yaliyonyooka ?Qurani 4:34 (sehemu ya aya)
“…na wale wanawake mnaoona wana uasi, waonyeni, waacheni peke yao vitandani, na wapigeni. Lakini wakikutii basi msitafute njia dhidi yao…”
Hapo shida Iko wapi hauoni mafundisho mazuri yaliyonyooka ?
Huna akili kabisa , hiyo ndiyo justification yako kuhusu ugaidi ?Uislam ni ugaidi
Refer al Qaeda, alshabab, Boko Haram, wahuni huko Msumbiji
Sasa nani hajui falsafa ya uislam ni jihad and expansion ukihusisha kuuwa watu na kujitoa mhanga ili kutanua dola na kupata mabikra 72 na pombe tamu huko ahera kama mlivoambiwa na muddyHuna akili kabisa , hiyo ndiyo justification yako kuhusu ugaidi ?
Hayo makundi ni asilimia ngapi ya Waislamu wote ?
Kwa nini Saudi Arabia , UAE , Bahrain, Qatar hakuna nako ni Waislamu ?
Hata Africa tukija Comoro , Eritrea , Morocco, Egpty, Mauritania mbona hakuna ugaidi ?
Tuje central Asia majority Islamic countries kuanzia TURKMENISTAN, Kyrgyzstan, Uzbekistan, Tajikistan na Kazakhstan mbona hamna ?
Wagalatia wa humu akili kisoda kabisa wakati Waislamu haohao ndio wanapambana sana hayo makundi yasipenye nchi yetu , sisi Kijijini kwetu pekee kilicho mpakani na Msumbiji Wananchi wamezui na kukamata Magaidi wengi waliopenya bila Msaada wa vyombo vya Dola na wao ni Waislamu mpaka Jeshi lilipokuja likawapongeza na sasa wako nao bega kwa bega
Vipi na Jesus wa zamani, hajawashika akili zote?Shida ni jinsi mnavyo lazimisha kila mtu awe mwislamu:
Wanawashinda hata Wahadzabe:
Wanaoishi kwa Amani na Mila zao:
Mwarabu wazamani kawashikia akili zote: