gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Nimekuuliza mvua hizi zimekuweka kwenye heat!?Nan muhamad?
Nimenukuu vitabu vyenu
Nimekuuliza mvua hizi zimekuweka kwenye heat!?Nan muhamad?
Nimenukuu vitabu vyenu
Unawashwa?Nimekuuliza mvua hizi zimekuweka kwenye heat!?
Mola mlezi ni Mungu wa waislamu na majini:Mola wako mlezi ndio anakwambia njia sahihi ya kumuabudu yeye,kumjua yeye na kufika kwake ukiwa salama ni Uislamu
UNATAHADHALISHWA MAPEMA USIJE UKASEMA SIKUJUA AU SIKUSIKIA
Duh,, kumbe alikuwa Gay...!MTUME MUHAMMAD ALIKUWA ANAMUNYONYA ULIMI MWANAUME AITWAYE HASSAN NDANI YA MSKITI WA ALLAH NA ALLAH HAKUKEMEA
Imesimuliwa na Abu Huraira Alisema, kuwa:
"Sikuwahi kumwambia sa-al-Hasan bila macho yangu kufurika machozi. Hiyo ni kwa sababu Mtume, Rehema na Amani za Allah ziwe juu yake, alitoka siku moja na akanikuta msikitini. alinishika mkono na nikaenda pamoja naye. Hakuniongelesha hadi tulipofika kwenye soko la Banu Qaynuqa '. Alizunguka zunguka na kutazama huku na huku . Kisha akaondoka nami nikaondoka naye mpaka tukafika msikitini ndani. Akakaa akajifunga vazi lake, kisha akasema, Yuko wapi yule mdogo! mwite yule mdogo kwangu. Hasan alikuja mbio na kurukia kwenye mapaja yake mtume. Kisha kijana akaingiza mkono wake kwenye ndevu zake mtume.
🌈🌈🤣Kisha Mtume, Rehema na Amani zimshukie, akafungua kinywa chake (mdomo wake )na kuweka kinywa chake kinywani mwa Hasan na kuanza kumnyonya.😭😭👈😂
Kisha akasema, Ee Allah mimi nimempenda, basi mpende yeye na yule ampendaye! '"
حَدَّثَنَا إِبْرَاهِيمُ بْنُ الْمُنْذِرِ قَالَ: حَدَّثَنِي ابْنُ أَبِي فُدَيْكٍ قَالَ: حَدَّثَنِي هِشَامُ بْنُ سَعْدٍ، عَنْ نُعَيْمِ بْنِ الْمُجْمِرِ، عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ قَالَ: مَا رَأَيْتُ حَسَنًا قَطُّ إِلاَّ فَاضَتْ عَيْنَايَ دُمُوعًا، وَذَلِكَ أَنَّ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم خَرَجَ يَوْمًا، فَوَجَدَنِي فِي الْمَسْجِدِ، فَأَخَذَ بِيَدِي، فَانْطَلَقْتُ مَعَهُ، فَمَا كَلَّمَنِي حَتَّى جِئْنَا سُوقَ بَنِي قَيْنُقَاعٍ، فَطَافَ فِيهِ وَنَظَرَ، ثُمَّ انْصَرَفَ وَأَنَا مَعَهُ، حَتَّى جِئْنَا الْمَسْجِدَ، فَجَلَسَ فَاحْتَبَى ثُمَّ قَالَ: أَيْنَ لَكَاعٌ؟ ادْعُ لِي لَكَاعًا، فَجَاءَ حَسَنٌ يَشْتَدُّ فَوَقَعَ فِي حِجْرِهِ، ثُمَّ أَدْخَلَ يَدَهُ فِي لِحْيَتِهِ، ثُمَّ جَعَلَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم يَفْتَحُ فَاهُ فَيُدْخِلُ فَاهُ فِي فِيهِ، ثُمَّ قَالَ: اللَّهُمَّ إِنِّي أُحِبُّهُ، فَأَحْبِبْهُ، وَأَحِبَّ مَنْ يُحِبُّهُ.
Grade Hasan (Nzuri)
Al-Adab Al-Mufrad 1183 Kitabu Cha 48, Hadith 9
Dini ya Kiislam kutokana na nukuu mbalimbali za Quran hufundisha kuwa baadhi ya majini walisilimu na kuwa Waislamu safi, kinyume kabisa na mafundisho ya Biblia kuhusu adhabu ya wale malaika woasi waliofukuzwa mbinguni.🤣🤣🤣
Unajua kuna muda huwa nashangaa sana ni namna gani mwanadamu anaweza kuwa manipulated na mwanadamu mwenzake tena pedophile na akamfanya amuabudu na kumpa maagizo anayoyaita ya kitakatifu ili tu aendeleze haja yake binafsi vizazi na vizazi.
🚮🚮🚮
"Tumeisikia Qur’an ya ajabu, inayoongoza kwenye uwongofu. Tumeiamini..."
(Qur’an 72:1–2)
“Na hakika wapo miongoni mwetu walio waislamu na wengine waliojidhulumu...” (Qur’an 72:14)
Huwa sijadiliani na watu wapuuziMola mlezi ni Mungu wa waislamu na majini:
Kwajina anaitwa Allah:
Jesus yupo hadi sasa hiviVipi na Jesus wa zamani, hajawashika akili zote?
Inashangaza sana🤣🤣🤣
Unajua kuna muda huwa nashangaa sana ni namna gani mwanadamu anaweza kuwa manipulated na mwanadamu mwenzake tena pedophile na akamfanya amuabudu na kumpa maagizo anayoyaita ya kitakatifu ili tu aendeleze haja yake binafsi vizazi na vizazi.
🚮🚮🚮
Dini ya Kiislam kutokana na nukuu mbalimbali za Quran hufundisha kuwa baadhi ya majini walisilimu na kuwa Waislamu safi, kinyume kabisa na mafundisho ya Biblia kuhusu adhabu ya wale malaika woasi waliofukuzwa mbinguni.
Surat Al-Jinn (Surah 72) inazungumzia kundi la majini waliomsikiliza Mtume Muhammad (SAW) akisoma Qur'an, kisha wakaisilimu:
Majini hao walisema pia:
Maana yake: ikiwa ni
- Majini ni viumbe walioumbwa kwa moto (Qur'an 55:15) na wana hiari kama binadamu — wanaweza kuamini au kukufuru.
- Wapo majini Waislamu, na wapo waliokufuru.
- Majini Waislamu huabudu Allah, huswali, na hutii amri zake kama binadamu waumini.
Je, fundisho hili ambalo ni moja la kiroho kati ya mengi tata yanatoa uhalali wa jumla wa kuwa dini ya kiulimwemgu?
Je! Kama Qur'an ina misingi katika Torati, Zaburi, na Injili, imepata fundisho hili kutoka chanzo kipi?
Nukuu kutoka katika Biblia
Ufunuo wa Yohana
7 Kisha kulikuwa vita mbinguni. Mikaeli na malaika zake walipigana na joka. Nalo joka na malaika zake wakapigana na Mikaeli pamoja na malaika zake,
8 lakini joka na malaika zake hawakuwa na nguvu za kutosha kushinda, na hivyo wakapoteza nafasi zao mbinguni.
9 Likatupwa chini kutoka mbinguni. (Joka hili kubwa ni nyoka yule wa zamani, aitwaye Ibilisi au Shetani, anayeudanganya ulimwengu wote.) Joka na malaika zake walitupwa duniani.
Na Qur’an inaeleza kwamba miongoni mwa majini kuna waislamu na wasiokuwa waislamu:“.Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto (au kwa moto mkali sana, usio na moshi)” (Qur’an 15:27)
Sasa angalia Biblia : Ufunuo 12:7–9 unaongelea Shetani na malaika zake, si “majini Waislamu”. Hivyo huwezi kutumia habari ya malaika walioasi kuthibitisha kwamba Qur’an imechukua fundisho la majini kutoka hapo.“"Na hakika miongoni mwetu wapo Waislamu, na miongoni mwetu wapo walio potoka kwa dhulma. Na waliosilimu, hao ndio waliofanya bidii kutafuta uongofu.".” (Qur’an 72:14)