Zile tarasimu ni nini kama sio uchawi
Mumemweka mpaka mzee mzima kwenye Msalaba , Huyo Yesu mumempeleka likizo
Zile tarasimu ni nini kama sio uchawi
Na wewe ni.mchawi mpya wa kiislamu sio
Naona unajaribu kunilogaNa wewe ni.mchawi mpya wa kiislamu sio
Surah At-Tin (95), aya ya 4:
“Laquna al-insana fee ahsani taqweem” “Hakika tumemuumba binadamu katika sura (au umbo) bora kabisa.”
Huo wingi una maanisha nini?
Vipi kuhusu Kiarabu kitumike katika baadhi ya swala?
Surah At-Tin (95), aya ya 4:
“Laquna al-insana fee ahsani taqweem” “Hakika tumemuumba binadamu katika sura (au umbo) bora kabisa.”
Huo wingi una maanisha nini?
Vipi kuhusu Kiarabu kitumike katika baadhi ya swala?
Na mashehe sio lazima wawe waislamu hata wasio na dini wanaweza kuwa mashehe piaKwenye uislamu hakuna mashehe wa kishirikina tuna mashehe tu
Nafurahia sana unapowanyoosha hawa viumbe,,,,nafuatilia kwa karibu sana
- Qur’ani:
“Khalaqna” = wingi wa adhama. Mungu ni Mmoja, anatumia wingi kuonyesha utukufu, si idadi.
- Biblia:
Mwanzo 1:26: “Let us make man in our image”
→ Wakristo wengi hutafsiri kama Utatu,
→ Wayahudi na baadhi ya wanazuoni: lugha ya kifalme / mbinguni, si miungu wengi.
Tofauti kuu:
- Qur’ani → inaweka wazi tawḥīd (Mungu Mmoja) bila mkanganyiko.
- Biblia → wingi huo umeleta tafsiri tofauti, hadi mafundisho ya Utatu.
Umekimbia wewe au umeelewa?Pole sana
Naona unakimbia 😂
Wewe ndio unaiaminii hivyo na sio Dunia ,wengine tunaona ni kikundi cha majini na wahuniii flani waliopo hapa duniani wakutuharibi hii dunia yetu ya wakristo .My people,
Kwa Nini Uislamu Unaaminiwa Kuwa ni Dini Moja kwa Ajili ya Ulimwengu Wote
Uislamu ni dini inayojitambulisha wazi kuwa ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu wote, bila kujali rangi, kabila, taifa au zama. Tofauti na dini zilizokuja kwa jamii au watu maalumu, Uislamu unaaminiwa kuwa ni mwendelezo na ukamilisho wa ujumbe wa mbinguni uliokusudiwa kuongoza ulimwengu mzima.
1. Ujumbe Wake ni wa Kijumla
Uislamu haukubagua watu kwa misingi ya nasaba au jiografia. Qur’ani inawahutubia wanadamu wote, si Waarabu pekee wala kizazi fulani. Mtume Muhammad ﷺ alitumwa kama Mtume wa watu wote, jambo linalothibitisha kuwa Uislamu haukufungwa na mipaka ya taifa au bara. Huu ni ujumbe unaovuka lugha na tamaduni.
2. Unalingana na Fitra ya Mwanadamu
Uislamu unaendana na maumbile ya asili ya binadamu. Unatambua mahitaji ya kiroho, kimaadili na kimwili kwa uwiano. Unafundisha kumuabudu Mungu Mmoja, kufanya mema, kuepuka madhara, na kuishi kwa haki. Mafundisho haya hayapitwi na wakati, kwa sababu yanagusa kiini cha utu wa mwanadamu.
3. Kanuni Zake ni za Haki na Usawa
Uislamu unasimamia haki bila upendeleo. Watu wote ni sawa mbele ya Mwenyezi Mungu; kilicho bora ni uchamungu na matendo mema, si rangi, mali au cheo. Kanuni hii imeifanya dini hii kupokelewa na watu wa mataifa mbalimbali, kwani inabomoa tabaka na kujenga heshima ya kibinadamu.
4. Uislamu Unajumuisha Maisha Yote
Tofauti na mifumo inayogusa ibada pekee, Uislamu unatoa mwongozo wa maisha kwa ujumla: ibada, familia, uchumi, siasa, haki za binadamu, na mahusiano ya kijamii. Hii inaufanya Uislamu uwe dini kamili inayoweza kuongoza jamii katika zama zote, iwe ni nyakati za kale au za kisasa.
5. Qur’ani ni Kitabu cha Milele
Qur’ani Tukufu imehifadhiwa bila kubadilishwa, na ujumbe wake bado ni hai na unaeleweka katika kila kizazi. Inahimiza elimu, tafakuri, na matumizi ya akili. Maudhui yake yanagusa masuala ya maisha ambayo bado ni changamoto kwa binadamu wa leo, jambo linaloifanya iwe rejea ya kudumu kwa wanadamu wote.
6. Mtume Muhammad ﷺ ni Rehema kwa Wote
Mtume Muhammad ﷺ alitumwa kama rehema kwa walimwengu wote. Maisha yake yanaonesha mfano wa huruma, subira, uadilifu na uvumilivu. Alizungumza na watu wa tabaka zote na aliishi kama kielelezo cha maadili ya Uislamu kwa vitendo, si kwa maneno pekee.
Hitimisho
Uislamu unaaminiwa kuwa ni dini ya ulimwengu wote kwa sababu ujumbe wake ni wa kijumla, unaendana na fitra ya mwanadamu, unasimamia haki na usawa, na unatoa mwongozo kamili wa maisha. Ni dini inayounganisha wanadamu chini ya maadili ya kumtambua Mungu Mmoja, kupendana, na kuishi kwa amani. Katika ulimwengu uliojaa migawanyiko, Uislamu unajitokeza kama mwaliko wa umoja na uongofu kwa wote.
Ni hayo tu!
Hivi umejisikia kwanza wakati unazungumza, kwangu unasema sio watu ila ni mimi ndio naona,lakini kwako unasema wengine tunaonaWewe ndio unaiaminii hivyo na sio Dunia ,wengine tunaona ni kikundi cha majini na wahuniii flani waliopo hapa duniani wakutuharibi hii dunia yetu ya wakristo .
😅😅🤣🤣🤣
Unajua kuna muda huwa nashangaa sana ni namna gani mwanadamu anaweza kuwa manipulated na mwanadamu mwenzake tena pedophile na akamfanya amuabudu na kumpa maagizo anayoyaita ya kitakatifu ili tu aendeleze haja yake binafsi vizazi na vizazi.
🚮🚮🚮
Ma mae dini kwenye ibada inawataka races zote wa swali ki arababu
Si utapeli huo🤣🤣
Et qu ran imeshushwa *****?
Ulikuepo? Thibitisha
JESUS IS COMING AGAIN
Get ready, Be prepared!
🤣🤣🤣
Unajua kuna muda huwa nashangaa sana ni namna gani mwanadamu anaweza kuwa manipulated na mwanadamu mwenzake tena pedophile na akamfanya amuabudu na kumpa maagizo anayoyaita ya kitakatifu ili tu aendeleze haja yake binafsi vizazi na vizazi.
🚮🚮🚮
Kivipi embu fafanuaNa mashehe sio lazima wawe waislamu hata wasio na dini wanaweza kuwa mashehe pia
Kwanza unajua maana ya sheheKivipi embu fafanua
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA ANAMUNYONYA ULIMI MWANAUME AITWAYE HASSAN NDANI YA MSKITI WA ALLAH NA ALLAH HAKUKEMEAImagine yesu kalewa tilalila peponi yupo na totozi!
Unazuga nini wewe jamaa nimeomba unieleze inawezekanaje mtu akawa shehe na asiwe muislamuKwanza unajua maana ya shehe
Naona nyyege zimekupata na mvua hiziMTUME MUHAMMAD ALIKUWA ANAMUNYONYA ULIMI MWANAUME AITWAYE HASSAN NDANI YA MSKITI WA ALLAH NA ALLAH HAKUKEMEA
Imesimuliwa na Abu Huraira Alisema, kuwa:
"Sikuwahi kumwambia sa-al-Hasan bila macho yangu kufurika machozi. Hiyo ni kwa sababu Mtume, Rehema na Amani za Allah ziwe juu yake, alitoka siku moja na akanikuta msikitini. alinishika mkono na nikaenda pamoja naye. Hakuniongelesha hadi tulipofika kwenye soko la Banu Qaynuqa '. Alizunguka zunguka na kutazama huku na huku . Kisha akaondoka nami nikaondoka naye mpaka tukafika msikitini ndani. Akakaa akajifunga vazi lake, kisha akasema, Yuko wapi yule mdogo! mwite yule mdogo kwangu. Hasan alikuja mbio na kurukia kwenye mapaja yake mtume. Kisha kijana akaingiza mkono wake kwenye ndevu zake mtume.
🌈🌈🤣Kisha Mtume, Rehema na Amani zimshukie, akafungua kinywa chake (mdomo wake )na kuweka kinywa chake kinywani mwa Hasan na kuanza kumnyonya.😭😭👈😂
Kisha akasema, Ee Allah mimi nimempenda, basi mpende yeye na yule ampendaye! '"
حَدَّثَنَا إِبْرَاهِيمُ بْنُ الْمُنْذِرِ قَالَ: حَدَّثَنِي ابْنُ أَبِي فُدَيْكٍ قَالَ: حَدَّثَنِي هِشَامُ بْنُ سَعْدٍ، عَنْ نُعَيْمِ بْنِ الْمُجْمِرِ، عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ قَالَ: مَا رَأَيْتُ حَسَنًا قَطُّ إِلاَّ فَاضَتْ عَيْنَايَ دُمُوعًا، وَذَلِكَ أَنَّ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم خَرَجَ يَوْمًا، فَوَجَدَنِي فِي الْمَسْجِدِ، فَأَخَذَ بِيَدِي، فَانْطَلَقْتُ مَعَهُ، فَمَا كَلَّمَنِي حَتَّى جِئْنَا سُوقَ بَنِي قَيْنُقَاعٍ، فَطَافَ فِيهِ وَنَظَرَ، ثُمَّ انْصَرَفَ وَأَنَا مَعَهُ، حَتَّى جِئْنَا الْمَسْجِدَ، فَجَلَسَ فَاحْتَبَى ثُمَّ قَالَ: أَيْنَ لَكَاعٌ؟ ادْعُ لِي لَكَاعًا، فَجَاءَ حَسَنٌ يَشْتَدُّ فَوَقَعَ فِي حِجْرِهِ، ثُمَّ أَدْخَلَ يَدَهُ فِي لِحْيَتِهِ، ثُمَّ جَعَلَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم يَفْتَحُ فَاهُ فَيُدْخِلُ فَاهُ فِي فِيهِ، ثُمَّ قَالَ: اللَّهُمَّ إِنِّي أُحِبُّهُ، فَأَحْبِبْهُ، وَأَحِبَّ مَنْ يُحِبُّهُ.
Grade Hasan (Nzuri)
Al-Adab Al-Mufrad 1183 Kitabu Cha 48, Hadith 9
Nan muhamad?Naona nyyege zimekupata na mvua hizi