Mtu kupigwa Kuna ubaya gani ?Allah karuhusu Wanaume kupiga wake zao.
By the way tulikuwa tunaongelea usawa. Mtoa mada kasema Uislam kuna usawa kwa watu wote.
Je? Kuna sehem wameandika pia kwamba wanaume i wakifanya uasi wapigwe na wake zao?.
Alaf kule peponi wanawake kaz yao ni kutombwa tu.
Yaan mwanamke wa kiislam atende mema duniani ili upate uzima wa milele wa kutombwa.
Inasikitisha sana.!Alaf kule peponi wanawake kaz yao ni kutombwa tu.
Yaan mwanamke wa kiislam atende mema duniani ili akienda peponi arudishiwe bikra na awe anatombwa milele.
Ushasikia kikund cha ugaidi cha Wakristo?.Huna akili kabisa , hiyo ndiyo justification yako kuhusu ugaidi ?
Hayo makundi ni asilimia ngapi ya Waislamu wote ?
Kwa nini Saudi Arabia , UAE , Bahrain, Qatar hakuna nako ni Waislamu ?
Hata Africa tukija Comoro , Eritrea , Morocco, Egpty, Mauritania mbona hakuna ugaidi ?
Tuje central Asia majority Islamic countries kuanzia TURKMENISTAN, Kyrgyzstan, Uzbekistan, Tajikistan na Kazakhstan mbona hamna ?
Wagalatia wa humu akili kisoda kabisa wakati Waislamu haohao ndio wanapambana sana hayo makundi yasipenye nchi yetu , sisi Kijijini kwetu pekee kilicho mpakani na Msumbiji Wananchi wamezui na kukamata Magaidi wengi waliopenya bila Msaada wa vyombo vya Dola na wao ni Waislamu mpaka Jeshi lilipokuja likawapongeza na sasa wako nao bega kwa bega
Kwani Waislamu wote Duniani wajinga hawataki pepo na hawafuati Qur'an ? sasa kwa nini wasijipue kama wenzao ?Sasa nani hajui falsafa ya uislam ni jihad and expansion ukihusisha kuuwa watu na kujitoa mhanga ili kutanua dola na kupata mabikra 72 na pombe tamu huko ahera kama mlivoambiwa na muddy
Al Qaeda, alshabab, Boko Haram na ISIS wote wanajitambulisha waislam
Huu uzi sijasoma kabsa lakini najua kafir mkuu ELI COHEN atakua kacoment pumba uko juu
Kwanza Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake haabudiwi na yoyote yule,hiyo hoja ungewashangaa hao wanao mwabudu binadamu mwenzao🤣🤣🤣
Unajua kuna muda huwa nashangaa sana ni namna gani mwanadamu anaweza kuwa manipulated na mwanadamu mwenzake na akamfanya amuabudu na kumpa maagizo anayoyaita ya kitakatifu ili tu aendeleze haja yake binafsi vizazi na vizazi.
🚮🚮🚮
Irrelevant.Kwani Waislamu wote Duniani wajinga hawataki pepo na hawafuati Qur'an ? sasa kwa nini wasijipue kama wenzao ?
Ikiwa vikajitojeza vijundi vikasema vinafuata falsafa zako na kuanza kufanya uhalifu kwa jina lako tutakubali tu kisa wanasema wanakufuata wewe ?
Ukiambiwa Uislamu unataka kuswali swala 5 mtu anaswali kama anavyojitakia kwa namna atakavyo au kwa kufuata muongozo ? Jihad na Expansion ipo katika Uislamu swali linakuja je , hao wanaodai kufanya jihad na Expansion wanafuata kwa mujibu wa mafundisho kwa Kuzingatia kila kipengele na Sheria za mapambano ?
Hapa nakuwekea aya Moja kuhusu mapambano mpo uwanja wa vita katika Jihadi na washirikina
وَإِنۡ أَحَدٞ مِّنَ ٱلۡمُشۡرِكِينَ ٱسۡتَجَارَكَ فَأَجِرۡهُ حَتَّىٰ يَسۡمَعَ كَلَٰمَ ٱللَّهِ ثُمَّ أَبۡلِغۡهُ مَأۡمَنَهُۥۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمۡ قَوۡمٞ لَّا يَعۡلَمُونَ
Na ikiwa mmoja wapo katika washirikina akikuomba ulinzi, basi mpe ulinzi apate kusikia maneno ya Mwenyezi Mungu. Kisha mfikishe pahala pake pa amani. Haya ni kwa kuwa hao ni watu wasiojua kitu. ( 9 : 6 )
☝️☝️ Hapo vita imepamba moto mnakiwasha halafu mtu amesurrender anakuomba usimue na anataka Amani , hautakiwi kuuliwa tena unatikiwa umsindikize mpaka atoje eneo la mapambano kwa usalama mpaka afike kwao . Yaani wewe Muislamu una jukumu la kuhakikisha usalama wake.
Sasa ukutane na Alshabab kwenye 18 zake umuombe huruma na uweke mikono juu kuwa wewe ni Raia au umetubu una hautaki vita utapona hata ukiwa Muislamu ?
Vikija vikundi vya Kikiristo na kusema vibaya kwa jina la Yesu na kufanya mauaji kwa ajili ya kristo utakubali ukiristo ni ugaidi kisa madai Yao ya kufuata ukiristo ?
We unajua vizuri GenZ.!Mtu kupigwa Kuna ubaya gani ?
Wagalatia Elimu yenu ndogo pamoja uwezo wa kufiri kiasi cha kupelekea kufuata mambo kibubusa .
Kabla ya kusema kupiga umeona process zake mtu anazotaka kupitia ? hapo uoni kwanza mtu anatakiwa aonywe na aelimishwe kwa taratibu zote halafu kupiga ni jambo la mwisho kabisa.
Na kupiga mafundisho yanasema si kama unapuga mwizi , haitakiwi kumjeruhi Wala kumpiga usoni ni kama kumsukuma tu kidogo au kumgusa kwa njia ya kumuonya na sio kupiga mnakojua nyie ngumi , bakora na makonde mazito
Kwenye Biblia kuna sehemu wameandika wanawake wakae kimya kanisani je kuna sehemu wameandika wanaume wakae kimya pia?Je? Kuna sehem wameandika pia kwamba wanaume nao wakifanya uasi wapigwe na wake zao?.
Sasa wewe ungependa afanye kinyume chake au?Yaan mwanamke wa kiislam atende mema duniani ili akienda peponi arudishiwe bikra na awe anatombwa milele.
Kwenye Biblia kuna sehemu wameandika wanawake wakae kimya kanisani je kuna sehemu wameandika wanaume wakae kimya pia?
Sawa wewe mwenye jibu toa jibuUnajibu swali kwa kuuliza swali.
😎😎😎 ina maanisha huna jibu.
Ndio maana nasisitiza Wagalatia Elimu yenu ni kukariri laboratory rules point zile zile poor infrastructure, poor gvt support, famine and hunger etc ndio mnajiona wasomi hata kujiongeza na kufikiri sasa hamna huo uwezo bali viburi kujiona wasomi kumbe Scumbabags from poor schools.Ushasikia kikund cha ugaidi cha Wakristo?.
Hayo makund machache aliyoyataja ngara23 ni ya kiislam na kigaidi.
Wapi wamesema umtie jebu kupiga si unaweza kupiga hata na kibunda Cha hela usoni au doti ya khanga ?We unajua vizuri GenZ.!
Yaani kenyewe katoto halafu kameoa katoto, tena kwa Ushauri kutoka kwa Anti yake kuwa akioa ndio atatulia
Aje kusikia Mungu wake hana baya akitandika mtu JeBu.!
Nyie kobazi mnatangaza vita kabla hamjaziishi sijui mpoje
Kwaiyo unapinga hadi Qur'an ilivyofundisha kuwa anayejitoa mhanga atakuta mabikra 72 na pombe tamu peponiKwani Waislamu wote Duniani wajinga hawataki pepo na hawafuati Qur'an ? sasa kwa nini wasijipue kama wenzao ?
Ikiwa vikajitojeza vijundi vikasema vinafuata falsafa zako na kuanza kufanya uhalifu kwa jina lako tutakubali tu kisa wanasema wanakufuata wewe ?
Ukiambiwa Uislamu unataka kuswali swala 5 mtu anaswali kama anavyojitakia kwa namna atakavyo au kwa kufuata muongozo ? Jihad na Expansion ipo katika Uislamu swali linakuja je , hao wanaodai kufanya jihad na Expansion wanafuata kwa mujibu wa mafundisho kwa Kuzingatia kila kipengele na Sheria za mapambano ?
Hapa nakuwekea aya Moja kuhusu mapambano mpo uwanja wa vita katika Jihadi na washirikina
وَإِنۡ أَحَدٞ مِّنَ ٱلۡمُشۡرِكِينَ ٱسۡتَجَارَكَ فَأَجِرۡهُ حَتَّىٰ يَسۡمَعَ كَلَٰمَ ٱللَّهِ ثُمَّ أَبۡلِغۡهُ مَأۡمَنَهُۥۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمۡ قَوۡمٞ لَّا يَعۡلَمُونَ
Na ikiwa mmoja wapo katika washirikina akikuomba ulinzi, basi mpe ulinzi apate kusikia maneno ya Mwenyezi Mungu. Kisha mfikishe pahala pake pa amani. Haya ni kwa kuwa hao ni watu wasiojua kitu. ( 9 : 6 )
☝️☝️ Hapo vita imepamba moto mnakiwasha halafu mtu amesurrender anakuomba usimue na anataka Amani , hautakiwi kuuliwa tena unatikiwa umsindikize mpaka atoje eneo la mapambano kwa usalama mpaka afike kwao . Yaani wewe Muislamu una jukumu la kuhakikisha usalama wake.
Sasa ukutane na Alshabab kwenye 18 zake umuombe huruma na uweke mikono juu kuwa wewe ni Raia au umetubu una hautaki vita utapona hata ukiwa Muislamu ?
Vikija vikundi vya Kikiristo na kusema vibaya kwa jina la Yesu na kufanya mauaji kwa ajili ya kristo utakubali ukiristo ni ugaidi kisa madai Yao ya kufuata ukiristo ?
Sawa wewe mwenye jibu toa jibu
Huyu aliyeleta mambo ya ugaidi na kujitoa mhanga atapata wafuasi wasiojielewaKwanza Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake haabudiwi na yoyote yule,hiyo hoja ungewashangaa hao wanao mwabudu binadamu mwenzao
Ujumbe alioshushiwa Mtume ni hoja kwa wanadamu wote,ujumbe wake ni ushahidi wa hoja ambazo zinakinaisha akili ya mwanadamu na kumtambua Mola wake
Watu hawafuati uislamu kibubusa tu bali wanavutiwa na hoja zenye kumfahamisha mwanadamu juu ya kuwepo kwa Mungu mmoja tu na ambaye ni muweza juu ya kila kitu.
Wapi wamesema umtie jebu kupiga si unaweza kupiga hata na kibunda Cha hela usoni au doti ya khanga ?
hoja yako hapa ni nini?Qurani 4:34 (sehemu ya aya)
“…na wale wanawake mnaoona wana uasi, waonyeni, waacheni peke yao vitandani, na wapigeni. Lakini wakikutii basi msitafute njia dhidi yao…”