Kwanini Uislamu unaaminiwa ni dini moja kwa walimwengu wote

Ma mae dini kwenye ibada inawataka races zote wa swali ki arababu
Si utapeli huo🤣🤣
Et qu ran imeshushwa *****?
Ulikuepo? Thibitisha
 
Muasisi wa hiyo imani ni nani?

Nasikia umepewa uongoz wa ukafir nyumba kumi, hivi ndo mnaiitaje huko?

Pengne humjui vizur muasisi.

Soma mstar huu wa Biblia

Yuda 1:4
Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.



"gallow bird, post: 55524438, member: 771878"]
Mathayo 26:29 (BHN) - Nawaambieni, sitakunywa tena divai | YouVersion Mathayo 26:29 (BHN) - Nawaambieni, sitakunywa tena divai | YouVersion

Kidume kitalewa tilalila na kobazi zake,madem bikra watakoma
[/QUOTE]

Yusu hawez kuwepo kwenye pepo ya ngono.

Pepo ya ngono na mvinjo ni ya Waislamu.
 
Kuuliza si ujinga:Kwa nini Quran inazungumzia watumwa/utumwa ndani ya jamii kwamba ulikuwepo/walikuwepo?Ukiwa muislam,unautafsiri vipi utumwa?Je,watumwa nao wanaruhusiwa kujinasibisha na kuiona Quran ni yao?
Katika jamii za zamani watumwa walikuwepo,madaraja ya maisha hayakuanza leo,kuna watumishi na wanao tumikiwa

lakini pili kuna watumwa wale ambao walikuwa mateka wa vita,hao walikuwa wanawatumikia mabwana wakubwa

lakini baadae utumwa ukaondolewa kwanza kwa kuwaahidi waumini,wale wanao waacha huru watumwa basi wana malipo yao

uislamu umekuja kwa wanadamu wote hauna tabaka au wala mipaka,huyo muadhini mkuu enzi za uhai wa Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake alikuwa mwafrika kutoka Ethiopia,alikombolewa kutoka utumwani,akaja kuwa anaadhini kwa ajili ya swala, mbona hakuchaguliwa muarabu??

Inaonyesha katika uislamu binadamu wote ni sawa aliyembora ni yule mcha mungu zaidi,kwahiyo wote wanasoma qur'an na wako proud kwa hilo
 

Yusu hawez kuwepo kwenye pepo ya ngono.

Pepo ya ngono na mvinjo ni ya Waislamu.
[/QUOTE]
Huoni msitari hapo atakinywa tilalila
 
Yesu mwenyewe anasema atakuwa peponi wewe unasemaje hawezi kuwepo?
 
Yaani mwarabu katika maisha ya kawaida alivyo wa ajabu Leo aniletee dini yake niseme ni nzuri? Nitakuwa Sina ubongo
 
Ushasikia kikund cha ugaidi cha Wakristo?.

Hayo makund machache aliyoyataja ngara23 ni ya kiislam na kigaidi.
Kuna baadhi ya waumini wa dini nyingi ulimwenguni hutumia hizi dini vibaya na si mafundisho ya dini yenyewe, kwa mfano tuangalie hivi vikundi vya kigaidi kwenye historia yetu:-
Lord’s Resistance Army (LRA) – Uganda
Anti-Balaka – Jamhuri ya Afrika ya Kati
Christian Identity Movement – Marekani (itikadi)
Ku Klux Klan (KKK) – Marekani (kihistoria)
Nationalist Christian Militias (vikundi vidogo vidogo)
Manmasi National Christian Army - India

​

 
Yaani mwarabu katika maisha ya kawaida alivyo wa ajabu Leo aniletee dini yake niseme ni nzuri? Nitakuwa Sina ubongo
Ni kweli huna ubongo kwasababu unamjaji muarabu badala ya kujaji maandiko na kuona ukweli wa hoja zake

think big
 
Yaani mwarabu katika maisha ya kawaida alivyo wa ajabu Leo aniletee dini yake niseme ni nzuri? Nitakuwa Sina ubongo
Tuchukue waarabu wa hapahapa afrika tu je kuna hata mmoja nchi yako inampata kwa chochote?

Kijeshi, uchumi, elimu, teknolojia hata kilimo japo wapo jangwani?
 
Uislam ni ugaidi
Refer al Qaeda, alshabab, Boko Haram, wahuni huko Msumbiji
Kwahiyo ndugu zako baadhi wakiwa wezi inamaana nyie wote mkoo mzima ni wezi.

Kama jibu wote sio wezi,basi hata katika uislamu kuna watu wanaotimiza matakwa yao kwa njia ya uhalifu,ugaidi na uporaji kwa jina la uislamu

Uislamu upo mbali na sifa hizo
 
Shida ni jinsi mnavyo lazimisha kila mtu awe mwislamu:
Wanawashinda hata Wahadzabe:
Wanaoishi kwa Amani na Mila zao:
Mwarabu wazamani kawashikia akili zote:
unaweza kudhibitisha hayo madai yako?
 
Mola wako mlezi ndio anakwambia njia sahihi ya kumuabudu yeye,kumjua yeye na kufika kwake ukiwa salama ni Uislamu

UNATAHADHALISHWA MAPEMA USIJE UKASEMA SIKUJUA AU SIKUSIKIA
 
KUNA WATU UNAWEZA UKAWAPA HOJA NA KUCHUKUA MUDA WAKO KUWAELIMISHA,LAKINI SIO KWA KICHWA HIKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…