Kwanini Ukamate?Utaifishe Mfugo? Uue mfugaji ,kisa Mifugo imeíngia Mbugani kula Nyasi/Majani wakati wa Kiangazi ?.

Kwanini Ukamate?Utaifishe Mfugo? Uue mfugaji ,kisa Mifugo imeíngia Mbugani kula Nyasi/Majani wakati wa Kiangazi ?.

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Yaan Mfugaji aloingiza Ng'ombe , Mbuzi na Kondoo wake, kula Majani na Nyasi, kuhusu yeye Kuliwa na wanyama wakali atajijua mwenyewe .

Kwann sasa Ukamate Mifugo yake?? Utaifishe?? Umuue hata Mfugaji??.


Ila inapotokea Tembo kala Mazao ya wakulima, kavamia makazi ya watu ,kaua watu, aaahh hiyo ni sawa tu.


Wafugaji wanaingiza Wanyama wao Mbugan kutafutaa malisho wakati wa Kiangazi , Kwann wasisaidiwe ??.


Hiii Mifugo sindo ambayo wakati wa minada Mnakusanya Ushuru??.


Ifike Mahali MATUMIZI YA AKILI YAFANYEAAMUZI SAHIHI !!.
 
Kwani hampendi ndugu zenu wakiuliwa na wanyamapori mlipwe posho za laki tanotano kwa kila marehemu?Au hamtaki tembo wenye njaa wakila maboga,mahindi,mpunga n.k mlipwe kifuta jasho cha lakilaki kwa kila hekari?Mtakosa mafao, shauri yenu!
 
Back
Top Bottom