Kwanini ukianza kupata fedha, kama hukuwa nazo mwanzoni, changamoto na matatizo huongezeka?

Mynd177

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2022
Posts
3,167
Reaction score
5,661
Wakuu habari za jumapili. Natumai nyote hamjambo.

Twende kwenye mada tajwa, kwa nini mtu ukianza kupata pesa matatizo, changamoto huongezeka.
Matatizo meng huwa ni ya kiuchumi mradi tu usiweke savings.

Je, ni mimi tu ninayekutana na hili au kuna na wengine?

Karibuni tujadili.
 
Matatizo meng huwa ni ya kiuchumi mradi tu usiweke savings,
Je ni mimi tu ninayekutana na hili au kuna na wengine?

Karibuni tujadili.
Ni kwasbabu demand is equal to quality supplied. In otherwords mahitaji ya binaadamu kuendana sambamba na income recieved.
 
Wakuu habari za jumapili. Natumai nyote hamjambo.

Twende kwenye mada tajwa, kwa nini mtu ukianza kupata pesa matatizo, changamoto huongezeka.
Matatizo meng huwa ni ya kiuchumi mradi tu usiweke savings,
Je ni mimi tu ninayekutana na hili au kuna na wengine?

Karibuni tujadili.

Ukiwa huna hela una uwezo mkubwa wa kupuuza mambo, hata mtoto akiumwa, mnaweza mpa Panadol, siku zikaenda akatulia.

Ukiwa una hela, kuna wendawazimu fulani unakuingia, wachache sana wanaweza kumanage hii hali, basi utataka umalize matatizo yote.

Cha kufanya, kabla hujawa ma hela, weka vipaumbele vyako vyote, na ukipata hela stick kwa hivyo vitu kama ulivyopanga, hata kama hela ikiisha.
 
Watu wote wenye hela wana utaratibu wakufanya savings wanafanya mambo yao wanaishi ndani ya bajeti ndio mana wana hela hao unaosema wewe changamoto zinaongezeka wanapopata pesa hao bado ni masikini wasiokuwa na malengo na wanapenda kuishi maisha nje ya bajeti
 
Mkuu point hii lakini kuna some serious problems hutokea.
 
Ukiwa maskini hakuna mwny shida na ww ila ukianza kupata pesa wachawi na wenye shida ndo mida yao kukusaka..

Ko ni swala la nature tu
 
Wakuu habari za jumapili. Natumai nyote hamjambo.

Twende kwenye mada tajwa, kwa nini mtu ukianza kupata pesa matatizo, changamoto huongezeka.
Matatizo meng huwa ni ya kiuchumi mradi tu usiweke savings.

Je, ni mimi tu ninayekutana na hili au kuna na wengine?

Karibuni tujadili.
Kazi ya hela ni kutatua matatizo ukiona hela yako inaisha tambua mzunguko wako ni mdogo
 
Ukiwa huna hela una uwezo mkubwa wa kupuuza mambo, hata mtoto akiumwa, mnaweza mpa Panadol, siku zikaenda akatulia.

Ukiwa una hela, kuna wendawazimu fulani unakuingia, wachache sana wanaweza kumanage hii hali, basi utataka umalize matatizo yote.

Cha kufanya, kabla hujawa ma hela, weka vipaumbele vyako vyote, na ukipata hela stick kwa hivyo vitu kama ulivyopanga, hata kama hela ikiisha.
Hela inayo mzuzua mtu ni hela ya urithi rushwa wizi kuokota kupewa,lakini mfano umefanya kibarua ukapata mtaji wa kuuza yebo yebo mtaji ukapanda .paka ukafungua duka la jumla hela hizo hazizuzui mtu mishahara tu ndio umzingua mtu
 
Sawa.
 
Sikuzote maji hufuata mkondo, na ndivyo matatizo yanavyo iona pesa ilipo.
Kwani mkuu.....
Ulisha wahi kuona maji yakipanda mlima...🙄
 
Back
Top Bottom