Aaah itabidi kuwakaushia......Ukiwa huna kipato kuna baadhi ya changamoto unazipotezea kutokana na hali ya uchumi...lakini ukiwa na uwezo wa kuzimudu unaanza kuwa makini nazo na namna ya kuzitatua......ipo pia hivyo kwa ndugu jamaa na marafiki.....ukiwa huna kitu watu hawawezi kukufikishia shida zao kwa kuwa wanajua huna uwezo wa kuzitatua lakini ukiwa nazo wanajua wamepata mkombozi.......
Zaka unatoa kwa nani? ,Kwa hawa matajiri wetu manabii?Unatoa zaka? Unasaidia ndugu/wahitaji? Usipofanya hayo niamini mimi mifuko itatoboka na hela itatoka kwa matatizo mbalimbali
Ni sh? Hiyo inayokufanya usiumwe njaa?Mimi nikiwa na pesa hata njaa sisikii kwahiyo matumizi ya msosi yanashuka sana hata nikitembea kwa miguu sichoki nauli inapungua sana matumizi yake
Ni sh? Hiyo inayokufanya usiumwe njaaMimi nikiwa na pesa hata njaa sisikii kwahiyo matumizi ya msosi yanashuka sana hata nikitembea kwa miguu sichoki nauli inapungua sana matumizi yake
Kwa Mungu wa ukweli. Kupitia ile dini/kanisa lako la toka awali. Achana na haya mengine ya wapiga dili. Wale wa leta laki upate muujiza.Zaka unatoa kwa nani? ,Kwa hawa matajiri wetu manabii?