Ni kwasbabu demand is equal to quality supplied. In otherwords mahitaji ya binaadamu kuendana sambamba na income recieved.Wakuu habari za jumapili. Natumai nyote hamjambo.
Twende kwenye mada tajwa, kwa nini mtu ukianza kupata pesa matatizo, changamoto huongezeka.
Matatizo meng huwa ni ya kiuchumi mradi tu usiweke savings,
Je ni mimi tu ninayekutana na hili au kuna na wengine?
Karibuni tujadili.
Wakuu habari za jumapili. Natumai nyote hamjambo.
Twende kwenye mada tajwa, kwa nini mtu ukianza kupata pesa matatizo, changamoto huongezeka.
Matatizo meng huwa ni ya kiuchumi mradi tu usiweke savings,
Je ni mimi tu ninayekutana na hili au kuna na wengine?
Karibuni tujadili.
Watu wote wenye hela wana utaratibu wakufanya savings wanafanya mambo yao wanaishi ndani ya bajeti ndio mana wana hela hao unaosema wewe changamoto zinaongezeka wanapopata pesa hao bado ni masikini wasiokuwa na malengo na wanapenda kuishi maisha nje ya bajetiWakuu habari za jumapili. Natumai nyote hamjambo.
Twende kwenye mada tajwa, kwa nini mtu ukianza kupata pesa matatizo, changamoto huongezeka.
Matatizo meng huwa ni ya kiuchumi mradi tu usiweke savings,
Je ni mimi tu ninayekutana na hili au kuna na wengine?
Karibuni tujadili.
Dah facts mkuu 🤝Watu wote wenye hela wana utaratibu wakufanya savings wanafanya mambo yao wanaishi ndani ya bajeti ndio mana wana hela hao unaosema wewe changamoto zinaongezeka wanapopata pesa hao bado ni masikini wasiokuwa na malengo na wanapenda kuishi maisha nje ya bajeti
Mkuu point hii lakini kuna some serious problems hutokea.Watu wote wenye hela wana utaratibu wakufanya savings wanafanya mambo yao wanaishi ndani ya bajeti ndio mana wana hela hao unaosema wewe changamoto zinaongezeka wanapopata pesa hao bado ni masikini wasiokuwa na malengo na wanapenda kuishi maisha nje ya bajeti
Kazi ya hela ni kutatua matatizo ukiona hela yako inaisha tambua mzunguko wako ni mdogoWakuu habari za jumapili. Natumai nyote hamjambo.
Twende kwenye mada tajwa, kwa nini mtu ukianza kupata pesa matatizo, changamoto huongezeka.
Matatizo meng huwa ni ya kiuchumi mradi tu usiweke savings.
Je, ni mimi tu ninayekutana na hili au kuna na wengine?
Karibuni tujadili.
Hela inayo mzuzua mtu ni hela ya urithi rushwa wizi kuokota kupewa,lakini mfano umefanya kibarua ukapata mtaji wa kuuza yebo yebo mtaji ukapanda .paka ukafungua duka la jumla hela hizo hazizuzui mtu mishahara tu ndio umzingua mtuUkiwa huna hela una uwezo mkubwa wa kupuuza mambo, hata mtoto akiumwa, mnaweza mpa Panadol, siku zikaenda akatulia.
Ukiwa una hela, kuna wendawazimu fulani unakuingia, wachache sana wanaweza kumanage hii hali, basi utataka umalize matatizo yote.
Cha kufanya, kabla hujawa ma hela, weka vipaumbele vyako vyote, na ukipata hela stick kwa hivyo vitu kama ulivyopanga, hata kama hela ikiisha.
Hela inayo mzuzua mtu ni hela ya urithi rushwa wizi kuokota kupewa,lakini mfano umefanya kibarua ukapata mtaji wa kuuza yebo yebo mtaji ukapanda .paka ukafungua duka la jumla hela hizo hazizuzui mtu mishahara tu ndio umzingua mtu