Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Stupid idiot, huu umbea mngekuwa mnapeleka kule fb na Insta, hapa jamvini watu wana discuss issues za muhimu sio kusifia utopolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ya watu wengine ni pale wanapojaribu kudanganga wengine ,ilhali hawajui haha kuutengeneza uongo wenyewe.Mimi nafikiri wanachadema wanaomsifia Tundu Lisu kwa nyimbo, mapambio na mashairi, na kupinga mikakati ya raisi JPM ya kuua tabia ya kutegemea misaada toka nje, wanahitaji kusoma historia ya wazungu jinsi walivyokuja Africa miaka iliyopita walivyowatenda babu zetu nk.
Wanachadema wakasome historia ya maisha ya watu weusi waliyokua wakiishi kabla na baada ya wazungu kuingia Africa, wakimaliza kusoma wafanye tathmini kwa kina, huenda itawasaidia kuelewa kuwa wazungu ni watu wa aina gani, na ni kwann wanatawala karibia dunia nzima.
Narudia mr. Mhandisi mkufunzi wa wanasheria hata na hili bandiko lako linaonyesha unajua hesabu hujui hisabati!Siyo wizi wa kura "miaka nenda rudi" kwa sababu magufuli alisimama mwaka 2015 tu, na CHADEAM wakaanza kununa tangu hapo; haya matokeo ya 2020 ni muendelezo ule wa kununa.
Sababu kubwa ni kuwa Magufuli aliwafutia sera zao zote. Sera kuu za Chadema zilikuwa ni kulaumu kuwa serikali haifanyi mambo ya muhimu ikiwa ni pamoja na kuendeleza huduma za afya na elimu vijijini, kupigana na ufisadai, kufufua ATCL, kufufua reli na kuondoa ukiritimba serikalini, kueneza umeme vijinini, barabara vijijini. Jamaa akafanya yote hayo na kuwaacha CHADEMA hawana la kusema, ndiyo maana wakamchukuia na kuanza kuzipinga sera hizo hizwmo walizokuwa wakijidai kusimamia.
Duuuu! Coaster2015 mbn unakuwa as if umeshuka toka sayari nyingine? Kama waliokuzunguka ni wapumbavu - kama jirani zako ni wapumbavu - kama uliosoma nao ni wapumbavu, na iwapo unaabudu nao ni wapumbavu SASA wewe ni nani?Stupid idiot, huu umbea mngekuwa mnapeleka kule fb na Insta, hapa jamvini watu wana discuss issues za muhimu sio kusifia utopolo
Tundu lissu (aka msaliti) ndiye aliasisi hiyo sera ya kupinga kila kitu baada ya kumchukia Magufuli, kwa hiyo jambo la kushangaza wafuasi wake kununa na kupinga kila kitu, hata wasivyovielewa!Sababu kubwa ni kuwa Magufuli aliwafutia sera zao zote. Sera kuu za Chadema zilikuwa ni kulaumu kuwa serikali haifanyi mambo ya muhimu ikiwa ni pamoja na kuendeleza huduma za afya na elimu vijijini, kupigana na ufisadai, kufufua ATCL, kufufua reli na kuondoa ukiritimba serikalini, kueneza umeme vijinini, barabara vijijini. Jamaa akafanya yote hayo na kuwaacha CHADEMA hawana la kusema, ndiyo maana wakamchukuia na kuanza kuzipinga sera hizo hizo walizokuwa wakijidai kusimamia.
Unataka nijifunze nini wewe zoba ?.Duuuu! Coaster2015 mbn unakuwa as if umeshuka toka sayari nyingine? Kama waliokuzunguka ni wapumbavu - kama jirani zako ni wapumbavu - kama uliosoma nao ni wapumbavu, na iwapo unaabudu nao ni wapumbavu SASA wewe ni nani?
Heshimu mawazo ya wenzako wakati ukijifunza lugha za staha
Unaweza kuita jina lolote, tusi lolote na dhihaka yoyote - lkn hutanitoa kwenye hoja ya msingi. Sitashughulikia athari ulizosababishiwa na utapiamulo na udumavu, makuzi na malezi, urithi wa vinasaba na koo.Unataka nijifunze nini wewe zoba ?.
SawaHaiwezi kutokea kamwe
Labda dunia iwe rectangle ndio itatokea
Ukisifia wewe na wenzio mnatosha siyo lazima chadema waunge mkono kusifia.
Zuri lisemwe, baya likosolewe - hatuwezi kuwa wakosoaji kwa kila kitu as if hakuna mema na mazuri - umeme unapata, maji unapata, lami unatembea, ndege unapanda, mitandao unapata - why tuwe walalamishi hivyo?Ukisifia wewe na wenzio mnatosha siyo lazima chadema waunge mkono kusifia.
Kipi kipya hapo? Au ni kiongozi gani hakufanya hayo?Zuri lisemwe, baya likosolewe - hatuwezi kuwa wakosoaji kwa kila kitu as if hakuna mema na mazuri - umeme unapata, maji unapata, lami unatembea, ndege unapanda, mitandao unapata - why tuwe walalamishi hivyo?
Kwa sababu pia inakuuma mwingine akitumia haki yake kukosoa.Umesema kweli. Tatizo Kwanini Sasa akitumia haki yake kusifia wewe jirani inakuuma
Kwani wanasema uongo jamani?Unfortunately kuna kikundi cha watu haswa upinzani hua wanajiona wamepatia maisha na kuita wengine wajinga! wao wanadhan sku CCM itatoka CCM basi yaisha yao yataboreka, wapuuzi wa mwisho kabisa hawa!
Mtu anasema chanzo cha umaskini tanzania ni ccm kuwepo madarkani apo apo hajiamini kama anaweza kwenda kufanya kazi nje ya nchi yeye serikali ndo mwisho wa kilio chake, WTF!