Kwanini ukimsifia Rais Magufuli CHADEMA wananuna na kutoa dhihaka - Wanahitaji Elimu?

Siyo sahihi - hata kama itakuwa sahihi basi huenda mkosoaji hatumii busara ktk kufikisha ujumbe

Magufuli hupenda kushauriwa - ndiyo maana mmeona maridhiano Zanzibar
Shehe Ponda kauli ipi chafu keshawahi toa?
Anaeshaurika atembei gizani, anaeshaurika aharibikiwi na Jambo.
 
Kabende Msakila

Ndugu yangu, hivi Umekwisha jiuliza chanzo chake kwa miaka yote hiyo sita au uliamua tu kupotezea? Chanzo chake ni Wizi wa kura miaka nenda rudi.​

Wenye nchi- wananchi wanajua kwamba adhabu ya vibaka na wezi ni kuwamwagiliwa madumu ya petrol na kuchomwa, wezi wa kukwapua heleni za akina mama wanapigwa kipigo cha mbwa mwizi , wanaobomoa nyumba kwa fatuma wanajua adhabu yao wakikamatwa.

Sasa , achilia mbali Chadema, watu wamechoshwa na wizi wa aina yeyote ile... na huu wizi wa kura hawajajua tu namna bora ya kuukomesha, siku wakijua, watakiwasha nchi nzima... inasadika na wengi kwamba ccm na system wanashirikiana kuiba au kufanya magumashi kwenye uchaguzi (ni dhana iliyo tapakaa kila sehemu) halafu wanataka watu wake kimya tu... watu wana hasira sana mioyoni mwao isipokuwa tu hawajapata njia ya kukomesha huu umagumashi wa wizi wa kura na kuchakachua matokeo... hivyo chochote kinachotoka na wizi huo hakipendwi achilia mbali hizi habari za kusifia mtu anayetokana na wizi...hata yeye sio kosa lake... ni basi tu labda hajui...

Ipo siku wenye nchi wakijua namna bora ya kukomesha wizi wa kura, mziki wake watausikia tu hata wakiwa makaburini....
Chadema wanalia sana, Trump analia , tuungane na Trump na Robert Armsterdam tuumalize huu mchezo wa kuibiwa kura kuanzia Amerika hadi Tanzania.

Bob Amsterdam tumsaidie Trump na Lissu kuwapeleka Democratic Party, CCM, Magufuli na Biden mahakama ya The Haque. Naona 2025 tuta washinda tuu hao wezi wa kura.
 
WanaJF, Salaam!

Nimefuatilia kwa takriban miaka sita (6) hivi humu kwenye jamvi huru la siasa. Ukijitokeza kusifia, kuunga mkono jitihada za Serikali inapofanya jambo zuri i.e Ujenzi wa vivuko Busisi - Sengerema, ujenzi wa barabara za lami, ujenzi wa vituo vya afya, uteuzi wa wapinzani, maridhiano ya kitaifa Zanzibar nk nk.

Kwa hayo na mengine mengi ukitokea hadharani na kuyasifia ukweli ni kwamba hawa jamaa wa CDM wanaudhika kweli - wanajaa gesi na hapo unashushiwa dhihaka kibao kama:

(i). Lumumba buku saba - sasa Je, wao wanaposifia Tundu Lissu au Mbowe huwa mmepewa Ufipa kiloba?

(ii). Weka namba ya simu chini ili uteuliwe (as if Serikali ina nafasi ya kuteua kila mtanzania mwenye hisia na mawazo chanya) - Je, ninyi mnaposifia CHADEMA huwa mnafanya hivyo ili chama cha Mbowe kiwateue?

(iii). Wauaji, watekaji na wakandamizaji wa haki za binadamu - hivi huwa mnasahau kwamba ukandamizaji mmeuasisi huko CHADEMA - CCM tumebadili wenyeviti wa taifa mara kadhaa, CHADEMA mmebadili mara ngapi? Mmeshajiuliza kwa nini Silinde, Waitara, Katambi, Dkt Kaburou, Zitto, Dkt. Slaa, Dkt Mashinji, Lijualikali na wengine wengi waliamua kuwaacha?

Nihitimishe kwa kusema kwamba si kwamba Paskali Mayyala, Msakila Kabende nk kuunga mkono jitihada za Serikali ni kutaka teuzi "NO". Things are always clear kwamba Serikali ya JPM iko makini sehemu zote na imeweza kujibu maswali mengi ya upinzani kama dhana ya ufisadi, uwajibikaji, matumizi ya fedha za umma nk

Asubuhi njema wanachadema, ACT-Wazalendo, CUF, NLD, UDP, NCCR nk.
2
Msakila M Kabende
Kigoma
Tanzania
Kwakuwa wanafahamu waimba mapambio ni wasaka tonge la siku ya pambio.
 
Now days wanakuita MATAGA pasipo kujua hata wao wanaweza kuasisi kauli mbiu hiyo pasipo kuelewa ilmrad tu wapo ktk fikra chanya
 
Njaa tupu
Huo ni mtizamo wako - kila mara CDM mnashauriwa sana lkn kutosikiliza ni chanzo cha anguko lenu - huwezi kuongelea upinzani nchini afu Kigoma ukaiweka pembeni - utakosana nao ukitaka kuwafanya makuri
 
WanaJF, Salaam!

Nimefuatilia kwa takriban miaka sita (6) hivi humu kwenye jamvi huru la siasa. Ukijitokeza kusifia, kuunga mkono jitihada za Serikali inapofanya jambo zuri i.e Ujenzi wa vivuko Busisi - Sengerema, ujenzi wa barabara za lami, ujenzi wa vituo vya afya, uteuzi wa wapinzani, maridhiano ya kitaifa Zanzibar nk nk.

Kwa hayo na mengine mengi ukitokea hadharani na kuyasifia ukweli ni kwamba hawa jamaa wa CDM wanaudhika kweli - wanajaa gesi na hapo unashushiwa dhihaka kibao kama:

(i). Lumumba buku saba - sasa Je, wao wanaposifia Tundu Lissu au Mbowe huwa mmepewa Ufipa kiloba?

(ii). Weka namba ya simu chini ili uteuliwe (as if Serikali ina nafasi ya kuteua kila mtanzania mwenye hisia na mawazo chanya) - Je, ninyi mnaposifia CHADEMA huwa mnafanya hivyo ili chama cha Mbowe kiwateue?

(iii). Wauaji, watekaji na wakandamizaji wa haki za binadamu - hivi huwa mnasahau kwamba ukandamizaji mmeuasisi huko CHADEMA - CCM tumebadili wenyeviti wa taifa mara kadhaa, CHADEMA mmebadili mara ngapi? Mmeshajiuliza kwa nini Silinde, Waitara, Katambi, Dkt Kaburou, Zitto, Dkt. Slaa, Dkt Mashinji, Lijualikali na wengine wengi waliamua kuwaacha?

Nihitimishe kwa kusema kwamba si kwamba Paskali Mayyala, Msakila Kabende nk kuunga mkono jitihada za Serikali ni kutaka teuzi "NO". Things are always clear kwamba Serikali ya JPM iko makini sehemu zote na imeweza kujibu maswali mengi ya upinzani kama dhana ya ufisadi, uwajibikaji, matumizi ya fedha za umma nk

Asubuhi njema wanachadema, ACT-Wazalendo, CUF, NLD, UDP, NCCR nk.

Msakila M Kabende
Kigoma
Tanzania
mkuu nafasi za uteuzi zimeisha hahahaha ...jokes
 
Sasa unasifiaje mwuaji?
 
Huwezi kukosa kuteuliwa afu ukashindwa kutumikia nafasi yako ya raia mwema - utaugua sonona kwa kufikiria uteuzi!!
duniani hakuna asie na kasoro hivyo heshimu wote wanaomsifu na wasiomsifu hata majambazi na wachawi sugu wanamarafiki na maaskofu wanamaadui itakuwa yeye ka mwanasiasa .kama kuna mtu kachagua mazuri yake ni kweli yapo na tunahesghimu,kama kachagua kukomaana mapungufu nikweli yapo na anastahili heshima ya maoni yake .
Chadema ni chama halali kikatiba na kazi yao ambayo magufuli aliapia katiba inayowatambua mbele yake na mungu wake ,kazi yao kuu ni kukosoa japo hawakatazwi kusifia na nia yao kwa mujibu wa katiba inatakiwa wawaze kuingia madarakani sio kushirikiana na serikali
 
Trump ni bogus alipewa tu sababu aligombea na mwanamke.Kuongoza biashara sio kuongoza watu.
Niliwaambia watu hawezi Rudi kipindi cha pili labda tu Kama angesimamishwa na hilary clinton
Donald Trump ndiye aliwashawishi watu waandamane, huku akiwaita ni watu mhimu sana. Siku hii ya jana katika hotuba yake anasisitiza kuwa Marekani inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na Katiba, na watu wote waliofanya maandamano na kusababisha MADHARA watachukuliwa HATUA

Trump akili zake sometime kama za Bashiru wa ccm
 
Mimi nakushangaa wewe ambaye unahangaika na mawazo ya watu ambao unawajua uwezo wao kifikra.

Nakushauri usihangaike na comment za watu wajinga jinga kama wewe sio mjinga!

Kukwazwa na comment za watu wajinga hata wewe utaonekana ni mjinga!

Wewe weka mada yako, acha wachangiaji wachangie wanavyotaka/kupenda. Kwa kufanya hivyo utakuwa umetimiza waiibu wako!
Atapigia mstari na kukuza maandishi saa ngapi ili uwepo na kazi na juhudi zake zionekane.
 
Mimi nafikiri wanachadema wanaomsifia Tundu Lisu kwa nyimbo, mapambio na mashairi, na kupinga mikakati ya raisi JPM ya kuua tabia ya kutegemea misaada toka nje, wanahitaji kusoma historia ya wazungu jinsi walivyokuja Africa miaka iliyopita walivyowatenda babu zetu nk.

Wanachadema wakasome historia ya maisha ya watu weusi waliyokua wakiishi kabla na baada ya wazungu kuingia Africa, wakimaliza kusoma wafanye tathmini kwa kina, huenda itawasaidia kuelewa kuwa wazungu ni watu wa aina gani, na ni kwann wanatawala karibia dunia nzima.
Mawazo ya kila mtu yafaa kuheshimiwa ila sii ya mpumbavu,wanasema wahenga.
 
Lissu ameshajaza fomu na kurudisha za kugombea ukatibu mkuu UN ...anajibu maombi X1000
 
Back
Top Bottom