Kwanini ukimsifia Rais Magufuli CHADEMA wananuna na kutoa dhihaka - Wanahitaji Elimu?

Stupid idiot, huu umbea mngekuwa mnapeleka kule fb na Insta, hapa jamvini watu wana discuss issues za muhimu sio kusifia utopolo
 
Shida ya watu wengine ni pale wanapojaribu kudanganga wengine ,ilhali hawajui haha kuutengeneza uongo wenyewe.
 
Narudia mr. Mhandisi mkufunzi wa wanasheria hata na hili bandiko lako linaonyesha unajua hesabu hujui hisabati!
 
Stupid idiot, huu umbea mngekuwa mnapeleka kule fb na Insta, hapa jamvini watu wana discuss issues za muhimu sio kusifia utopolo
Duuuu! Coaster2015 mbn unakuwa as if umeshuka toka sayari nyingine? Kama waliokuzunguka ni wapumbavu - kama jirani zako ni wapumbavu - kama uliosoma nao ni wapumbavu, na iwapo unaabudu nao ni wapumbavu SASA wewe ni nani?

Heshimu mawazo ya wenzako wakati ukijifunza lugha za staha
 
Tundu lissu (aka msaliti) ndiye aliasisi hiyo sera ya kupinga kila kitu baada ya kumchukia Magufuli, kwa hiyo jambo la kushangaza wafuasi wake kununa na kupinga kila kitu, hata wasivyovielewa!
 
Unataka nijifunze nini wewe zoba ?.
 
Unataka nijifunze nini wewe zoba ?.
Unaweza kuita jina lolote, tusi lolote na dhihaka yoyote - lkn hutanitoa kwenye hoja ya msingi. Sitashughulikia athari ulizosababishiwa na utapiamulo na udumavu, makuzi na malezi, urithi wa vinasaba na koo.
 
Yule siyo Rais wa kuchaguliwa bali aliiba urais ndomana tuna hasira na ipo siku tutamziungua we ngoja ajilengeshe tu
 
Ukisifia wewe na wenzio mnatosha siyo lazima chadema waunge mkono kusifia.
 
Ukisifia wewe na wenzio mnatosha siyo lazima chadema waunge mkono kusifia.
Zuri lisemwe, baya likosolewe - hatuwezi kuwa wakosoaji kwa kila kitu as if hakuna mema na mazuri - umeme unapata, maji unapata, lami unatembea, ndege unapanda, mitandao unapata - why tuwe walalamishi hivyo?
 
Zuri lisemwe, baya likosolewe - hatuwezi kuwa wakosoaji kwa kila kitu as if hakuna mema na mazuri - umeme unapata, maji unapata, lami unatembea, ndege unapanda, mitandao unapata - why tuwe walalamishi hivyo?
Kipi kipya hapo? Au ni kiongozi gani hakufanya hayo?
 
Hivi unafahamu maana ya utafiti au maana ya utafiti imebadilika ndani ya hiyo miaka 6 unayoizungumzia !?
Ulichoandika hapo ni shudu tupu, hakuna proof kuwa wote wanaokosoa ni CDM. Kuna wasio na vyama, kuna wanaCCM na kuna wanachama wa upinzani ikiwemo CDM yenyewe.

Na kama kwa miaka 6 hujaona hoja ya msingi ktk hao waliokosoa na hujaona mapungufu kwa waunga juhudi, hujaona mapungufu ya serikali, uongozi, michakato. Utakuwa kizibo sana na unajiona much know
 
Kwa ujinga na upumbavu wa namna fulani, inatosha kuwa ni elimu.
 
Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.
Ccm na vibaraka wenu mna la kujifunza.
 
Kwani wanasema uongo jamani?
Kama wakoloni waliweza tuletea maendeleo ccm wameshindwa nn,soon tutasherekea miaka 100 ya uhuru Bado tunategemea misaada ya kujengewa vyoo na mabeberu.
 
Asifiaye mvua imemnyea,mbona kange, bashite, nkamia,musiba, Kessy atuwasikii wakisifia mvua siku hizi kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…